https://youtu.be/CsfIiDj5LQY
Askofu profesa Victor Chisanga kwenye mahojiano yake na Jambo TV kadai ana maelekezo ya Mwenyezi Mungu lazima apinge mamlaka kwenye uwekezaji wa bandari na asipofanya hivyo atakwenda motoni.
Viongozi wa dini wamemsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuifungua nchi kibiashara kwa kuwajengea wote wenye nia ya biashara kuingia kufanya hivyo, huku akiondoa vikwazo vinavyonyima fursa.
Akizungumza kwa niaba ya viongozi wenzake, Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Masheikh ya...
Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla.
Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani...
Friends and Enemies,
Hali inazidi kuwa mbaya, katika mkutano wa CHADEMA na maaskofu katika suala lao la kulumbana na serikali juu ya masuala ya bandari maaskofu wamezidi kutema kauli zao ambazo ni tatanishi.
Amesikika kwa uwazi kabisa Askofu Mwamalanga akisema kwamba wao kama maaskofu...
Askofu Mwamakula amesema Uhuru wa wa kutoa maoni umelindwa na katiba, hivyo hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kumdhuru mtu sababu ya kutoa maoni yake.
Askofu Mwamakula amesema yoyote atakaetoa maoni au kunung'unika mkata huu wa bandari ikitokea akadhurika kutekwa au kuuliwa kwa namna yoyote ile...
Amekuwa akijinasibu kuwa mtetezi wa maliasili na uzalendo kwa Taifa.
Mpaka sasa hii ni wiki ya tatu sasa sijamsikia Kauli yake.
Juzi Jumapili nimeenda kwake lakini sikusikia akisema lolote?
Je ni Gwajima huyu yule wa zamani wa enzi za Corona au huyu tumebadilishiwa?
Ujumbe ufuatao umetoka kwa mwanachama wa CCM ambaye amekuwa Mteule wa Rais wa muda mrefu. Kwa kuogopa kufukuzwa CCM, ameomba afikishe ujumbe kupitia kwa Askofu.
Mpendwa Baba Askofu Mwamakula!
Kwenye vikao vilivyoisha (Kamati Kuu ya CCM na Halmashauru Kuu ya CCM) imeelezwa kuwa Wajumbe...
Kardinali Rugambwa akiwa na Rais Kikwete, lakini kabla hajawa Kardinali
Kwa dhati, nampongeza Askofu Protase Rugambwa Prosper Iholana, ambaye familia yake inayo makazi ya kudumu katika Kijiji cha Kasheshe, Kata ya Nyaishozi, Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya...
Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa
Mhashamu Protase Rugambwa sasa Mhadhama.
Baba Mtakatifu Fransisco amemteua Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa kuwa Kadinali. Mhashamu Protase Rugambwa ni mwandamizi wa kiti cha uaskofu Jimbo kuu Katoliki la Tabora.
Hongera sana Mhashamu Rugambwa...
ASKOFU wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga, Mhashamu Liberatus Sangu, amewataka wazazi na walezi nchini kujenga misingi imara ya imani na maadili kwa watoto wao na kuwalinda dhidi ya ushoga.
Kiongozi huyo wa kiroho alitoa rai hivo juzi wakati wa sherehe za kumpa daraja. la upadre James Mrema...
Ameandika Baba Askofu Stephen Munga
MKATABA WA BANDARI UMETUSAIDIA KUJUANA ZAIDI
"Na hivi ndivyo tunavyoweza kutambua wazi kati ya walio watoto wa Mungu na walio watoto wa shetani. Mtu ye yote asiyetenda lililo haki si wa Mungu; wala asiyempenda ndugu yake si wa Mungu."
(1 Yohana 3:10)...
Ni Askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo Katoliki la Rulenge, Ngara ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook
===
Hiyo picha chini inaonyesha janga la uharibifu wa mazingira eneo la Segerea, mto Msimbazi! Miaka 27 iliyopita mto huu haukuwa mpana hivi. Palikuwa na daraja unavuka toka pale seminari...
Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Dkt. Josephat Gwajima (MNEC) ameandikisha zaidi ya wanachama 500 Wapya wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Bunju Mtaa wa Boko Chama 02-07-2023
Ifucha, Tabora
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, Leo tarehe 25 Juni, 2023 ameungana na Waumini wa Kanisa Katoliki kushiriki adhimisho la Misa Takatifu ya kumpokea Mhashamu Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa alieteuliwa na Baba Mtakatifu , Papa Francis kuwa Askofu Mkuu...
Kauli za Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima "Mimi niko thabiti kwenye mambo ya Ubunge wangu, sikuwa Mbunge ili niuze sura na sikuwa Mbunge ili ‘nidundulize’, lengo langu ni kusaidia watu, nikishindwa basi bora niache.
"Jimbo la Kawe tuna bahari na takribani Kata 4 zipo baharini, maana yaka ya...
Baada ya kuwepo kwa maneno mengi ya utani na mengine ‘serious’ kuhusu ahadi aliyoitoa kwa kwa baadhi ya wanakazi wa Kawe (Dar es Salaam) kuwa atawapeleka Jijini Birmingham Nchini England, hatimaye akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.