Mapokezi ya Mhashamu Askofu Mkuu Protase Rugambwa aliyeteuliwa na Papa Francis kuwa Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,897
941
Ifucha, Tabora

Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, Leo tarehe 25 Juni, 2023 ameungana na Waumini wa Kanisa Katoliki kushiriki adhimisho la Misa Takatifu ya kumpokea Mhashamu Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa alieteuliwa na Baba Mtakatifu , Papa Francis kuwa Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.

Misa Takatifu imefanyika kwenye Kituo cha Hija cha Ifucha na kuhudhuria wa Viongozi wa Serikali, Viongozi wa Madhehebu ya Dini mbalimbali, Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Waumini wa Kanisa Katoliki na wenye mapenzi mema kutoka ndani na nje ya Nchi.

Tunamtakia matashi mema Mhashamu Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa.

“KAZI NA MAENDELEO"

Imetokea na:
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Igunga

WhatsApp Image 2023-06-25 at 16.36.37.jpeg
WhatsApp Image 2023-06-25 at 16.36.38.jpeg
WhatsApp Image 2023-06-25 at 16.36.38(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-06-25 at 16.36.39.jpeg
WhatsApp Image 2023-06-25 at 16.36.39(1).jpeg
 
Pole sana kwa maumivu uliyopitia. Amekuwa sasa Muadhama Kardinali Protase Rugambwa. Kwa hiyo bado kujitangaza kuko pale pale.
Hujaelewa Mkuu, anaongelea kujitangaza kwa Mbunge wa Igunga kupitia mapokezi ya Kardinali Rugambwa
 
Back
Top Bottom