KKKT Konde yazidi kumuandama Askofu Mwaikali. Yaanzisha vita mpya kudai maeneo

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,098
9,994
Screenshot_20230524-180501_1.jpg

Picha: Askofu Mwaikali

Lile kanisa lililo bomoka vipande vipande, dayosisi la konde limeendelea kumuandama Askofu Mwaikali aliyejitenga na kanisa hilo mwaka jana.

Baada ya kuwanyang'anya wafuasi wa mwaikali magari, makanisa sasa ni vita mpya ya kuwanyang'anya kila walichobakiwa nacho warutheli hao walio jitenga.

IMG_20230524_174756.jpg

Wito wangu kwa KKKT,
Endelezeni injili vita ni vya Bwana. Nunueni vya kwenu kwani hamna hela? Mbona kila siku nyie tuu mnawachokoza wenzenu
 
Mungu alituagiza wanyakyusa kueneza dini Tanzania lakini sasa tumeanza Mambo ya kichaga aisee
 
Nashauri:: kasi ya kumwandama iboreshwe yaaani kasi izidi mpaka huko kwake, ila si vyema kumwandama mtumishi wa Mungu
Asante 😳😳😳
 
View attachment 2633488
Picha: Askofu Mwaikali

Lile kanisa lililo bomoka vipande vipande, dayosisi la konde limeendelea kumuandama Askofu Mwaikali aliyejitenga na kanisa hilo mwaka jana.

Baada ya kuwanyang'anya wafuasi wa mwaikali magari, makanisa sasa ni vita mpya ya kuwanyang'anya kila walichobakiwa nacho warutheli hao walio jitenga.

View attachment 2633476

Wito wangu kwa KKKT,
Endelezeni injili vita ni vya Bwana. Nunueni vya kwenu kwani hamna hela? Mbona kila siku nyie tuu mnawachokoza wenzenu
Ujinga maeneo yote Mwaikali na wajinga wenziee yalipatikana kwa mwavuli wa KKKT na hati za KKKT

Yawe majengo nk hayakujengwa kwa sadaka tu za waumini wa eneo husika tu walichangishwa KKKT wa dayodisi sharika kibao ndani ya Dayosisi za KKKT za Dayosisi husika na nje ya Dayosisi na nje ya nchi

Mwaikali na wajinga wenzie kila kitu kilichopatikana chini ya KKKT arudishe akatafute vyake

Huwezi sema hili jengo langu wakati hati za KKKT

Injili haihubiriwi kwenye majengo umeiba na kinanda ,speaker nk umeiba mali za KKKT

Mungu hasifiwi wala kuabudiwa kwa mali za wizi yawe majengo,speaker,Mic nk

Katafuteni vyenu vya KKKT rudisheni vyote

Mungu haabudiwi kwenye majengo au vyombo vya wizi vya kupora
Eti ohh inabubujika kwenye umepora na miC na kinanda nk umepora KKKT hivi akili zimo kichwani wewe?

Katafute vyako kabubujikie kwenye vyako vya KKKT achana navyo
 
Umeongea fact mjinga wewe
1. Mmenyang'anya mali zote bila kukumbuka kuwa tulinunua wote?
Mnaleta mambo ya kishetani kanisani. Mmenyang'anya magari, mabenchi, majengo bila kuwaza wenzenu wanaenda kusalia nini na tulinunua wote. Leo hata vichache tulivyo navyo mnanyang'anya kwa nguvu ya mahakama.
2. Matema tumewaachia kanisa nasikia wanasali popo na mmeanza kulimega muuze.
3. Tumewaachia magari tukaondoka kwa miguu kumbe mnayauza.
Mtafika mmechoka nyie na sijui mbingu gani mnaitafuta.
Mmewahi kutuona sie tunahangaika mahakamani au kwa mapolisi?
 
Mlinunua wote we jamaa kumbe wajinga hivi arudishe mali za kkkt
Kama anamtaji wa waumi kwanin anganganje mali za kkkt aanze upya
 
View attachment 2633488
Picha: Askofu Mwaikali

Lile kanisa lililo bomoka vipande vipande, dayosisi la konde limeendelea kumuandama Askofu Mwaikali aliyejitenga na kanisa hilo mwaka jana.

Baada ya kuwanyang'anya wafuasi wa mwaikali magari, makanisa sasa ni vita mpya ya kuwanyang'anya kila walichobakiwa nacho warutheli hao walio jitenga.

View attachment 2633476

Wito wangu kwa KKKT,
Endelezeni injili vita ni vya Bwana. Nunueni vya kwenu kwani hamna hela? Mbona kila siku nyie tuu mnawachokoza wenzenu
Mfumo wa kuheshimu Uongozi hairakia ndio uliolisaidia Kanisa Katoliki kutokuwa na kasumba ya Waumini kuwa attack Viongozi wao bila utaratibu.Tuliombee Kanisa la KKKT wawe na Umoja.
 
Mtu kwa sababu alihudumu kama kiongozi wa kanisa sasa kaondoka anataka kubeba mali za kanisa kama kila kiongozi akitumia style ya mwamba kanisa litabakia na kitu kweli
 
Umeongea fact mjinga wewe
1. Mmenyang'anya mali zote bila kukumbuka kuwa tulinunua wote?
Mnaleta mambo ya kishetani kanisani. Mmenyang'anya magari, mabenchi, majengo bila kuwaza wenzenu wanaenda kusalia nini na tulinunua wote. Leo hata vichache tulivyo navyo mnanyang'anya kwa nguvu ya mahakama.
2. Matema tumewaachia kanisa nasikia wanasali popo na mmeanza kulimega muuze.
3. Tumewaachia magari tukaondoka kwa miguu kumbe mnayauza.
Mtafika mmechoka nyie na sijui mbingu gani mnaitafuta.
Mmewahi kutuona sie tunahangaika mahakamani au kwa mapolisi?
KKKT hawanyang"anya mali ni za kwao utasemaje wamenyang'anya?

Pili sadaka ukitoa kiwe kiwanya ,pesa ,vyombo au chochote kwa kanisa umiliki wake hauwi wako.tena.au wa yeyote hiyo inakuwa mali ya kanisa husika ulipotoa
Huwezi kisheria baadaye ukasema ni.mali yako.Sadaka na vyote vilivyotolewa uliea.unasali KKKT ni mali ya. KKKT .Huna haki ya kisheria kuvipora na kusema vyako

Tatu kama vyao KKKT wana uhuru.wa kufanya chochote kwenye majengo yao iwe.kufuga popo kuuza au chochote sio kazi tako kuwapangia KKKT cha kufanya na mali zao

Kama ni majengo warudishie.majengo hata kama hayatakuwa na mtu hata mmoja anayesali hayakuhusu

Wewe katafute vya Kwako.Mjue.hata huko KKAM mlikoenda sadaka na mali mtakazotoa zitakuwa za hilo Kanisa la KKAM
Mkija kuvurugana huko.pia mjue mali na majengo.Mtawaachia.KKAM
 
Warudishe mali za kanisa, waumini wanaomuunga mkono wafanye harambee wanunue vya kwao, KKKT wako sahihi tena wamkabe haswa atoe kila kitu na iwe fundisho kwa mamluki wengineo wote

KKKT ni moja kanisa linalothamini waumini/washarika wake uwazi katika maamuzi na imewapa nguvu ya kuamua, viongozi nao ni binadamu hawako timilifu, sasa upande ule mwingine wanaojinasibu kuwa hawana migogoro kumbe waumini wamefanywa kondoo wanalawiti watoto na kunyamaza km majinga, sasa km mwanao kalawitiwa na unaona sawa nguvu ya kuulizia mali za kanisa utaitoa wapi?
 
View attachment 2633488
Picha: Askofu Mwaikali

Lile kanisa lililo bomoka vipande vipande, dayosisi la konde limeendelea kumuandama Askofu Mwaikali aliyejitenga na kanisa hilo mwaka jana.

Baada ya kuwanyang'anya wafuasi wa mwaikali magari, makanisa sasa ni vita mpya ya kuwanyang'anya kila walichobakiwa nacho warutheli hao walio jitenga.

View attachment 2633476

Wito wangu kwa KKKT,
Endelezeni injili vita ni vya Bwana. Nunueni vya kwenu kwani hamna hela? Mbona kila siku nyie tuu mnawachokoza wenzenu
Askofu mkuu ni kutoka kanda inayoamini mali kukuko imani.

Vita haiishi kesho hii
 
Mtu kwa sababu alihudumu kama kiongozi wa kanisa sasa kaondoka anataka kubeba mali za kanisa kama kila kiongozi akitumia style ya mwamba kanisa litabakia na kitu kweli
Mliruhusu vipi yeye kuondoka na mali za Kanisa?.Hakukuwa na utaratibu wa kukabidhi mali za Kanisa ?
 
Back
Top Bottom