Askofu Aliyetimuliwa KKKT Dayosisi ya Konde Aunda Kanisa Lake na Kujisimika kuwa Askofu

Tunashauri kila siku haya mambo ya kiroho yadhibitiwe. Kuna watu wameshajua kuna hela huko kwa ujinga wa watu wetu hawataki kutoka uongozi hata wakitimuliwa hawakubali. Tufike mahali tuseme madhehebu zenye kutambuliwa ni hizi ambazo zina historia. Tusikubali eti makanisa yanaweza kuanzishwa kama kampuni.
 
Mbeya-Mchungaji Mwakanyamale asimikwa.kuwa askofu wa Kanisa la Kiinjili la Afrika Mashariki ambalo ameliunda baada ya kuenguliwa KKKT Dayosisi ya Konde.
Epuka kupotosha watu.
Kilichoundwa huwa ni kipya. KKAM lipo muda mrefu tu mkoani Mbeya rejea mgogoro wa Mchungaji Mwaikali vs Mchungaji Mwakihaba katika kanisa hilo. Nadhani Mwaikali ndiye boss Mkuu wa kanisa hili mkoani Mbeya kama sijakosea(sina uhakika)
 
Kanisa la kiinjili la Afrika mashariki hajaliunda yeye lipo muda mrefu ...ANDIKA AMEJIUNGA MA KANISA LA KIINJILI LA AFRIKA MASHARIKI
Uko sahihi

Mwandishi kachanganya Askofu sio aliyejiengua bali aliyetimuliwa ninAskofu Mwaikali

Askofu aliyekuwepo yule mumeru kaingia mitini au ?

Sema labda kuna uchaguzi ulifanyiks yule askofu.mumeru akampisha huyo mnyakyusa aliyetoroka na Mwaikali askofu mjanja wa mjini mwabudu Pesa ambaye pesa na mali zinatakiwa kuwa mbele kama tai kuliko Injili au kuzingatia taratibu za kanisa au sheria za usajili wa kanisa kuwa waweza hata chukua fedha na mali za KKKT ukazifanya zako hata ukienda KKAM zinabidi zikufuate

Sababu yeye askofu wa pesa na.mali
 
Back
Top Bottom