askofu

  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu wa KKKT, waumini wako wanahitaji kufafanuliwa zaidi

    Kwa wenye uelewa tulikuelwa vizuri kwamba kanisa linaunga mkono uwekezaji, lakini huku nyuma umesahau kwamba kuna akina kitenge na mwijaku wanaopindisha manaeno, sasa unalishwa maneno kwamba kanisa linaunga mkono mkataba wa bandari jambo amabalo siyo kweli. Ulisema kuna mapendekezo mlimpa raisi...
  2. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Walianza kupotosha hotuba ya Dkt. Slaa, na sasa wanapotosha hotuba ya Askofu Shoo, watawala wanajua nini kitafuata?

    Mara ya kwanza Dkt. Slaa akitoa maoni yake rasmi kuhusu sakata la bandari za Tanganyika kupewa waarabu wa DP world, aliweka wazi msimamo wake kuupinga mkataba ule. Jambo la ajabu ni kuwa vyombo rasmi vya habari hapa Tanzania (hususani magazeti) yakaja na upotoshaji mkubwa huku yakitengeneza...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=0du5OfCnYHM Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo Kasema tukiwakemea msiseme tunachanganya dini na siasa kama tulivofanya sasa

    Hello JF, Baba Askofu Shoo, kamaliza kaonesha Umoja wa tamko kasema hata tukiwakemea kama tulivofanya sasa msiseme tunachanganya dini na siasa. Baba Askofu Shoo kamaliza kila kitu. Tumsifu Mola wetu. Asante Baba ASKOFU SHOO 🙏🙏🙏🙏. Ni hayo tu.
  5. Patriot

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo Hajasema anaunga mkono Mkataba. Kasema uwekezaji

    Naangalia maoni ya wasomaji, na maneno ya rais, ufahamu ni tatizo. Kuna dalili za kushabikia maoni ya Askofu Shoo kama ahueni kufuatia Waraka wa Katoliki kumbe ni uzi ule ule! Katoliki hawakupinga Uwekezaji. Tatizo ni Mkataba. Askofu Shoo anasema anaunga mkono Uwekezaji. Hajasema anaunga mkono...
  6. Ritz

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Fredrick Shoo: Tusiwagawe watu kwa misingi ya dini

    Wanaukumbi. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Fredrick Shoo ameiomba Serikali kukataa na kukemea kwa nguvu yote wale wote wanaoonesha dalili za kuwagawa watu kwa utofauti wa Dini na kusema hata pale Mtu anaposema jambo la kuipendeza Serikali iwapo amejenga...
  7. President of China

    JamiiForums Tanzania Askofu Desmond Mpilo Tutu wa Afrika ya Kusini hakukaa kimya kuwatetea watu weusi (Dini vs Siasa)

    Kumekuwa na discussion kuhusu kuchanganya dini na siasa. Kusema kweli jambo hili limafikirisha sana. Askofu Desmond Tutu wa Afrika ya kusini alisimama na waafrika kupinga sera za ubaguzi wa rangi huko Afrika ya kusini. Ukombozi wa mtu mweusi umekuwa ukipiganiwa na maaskofu miaka mingi. Hapa...
  8. chariti

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo nitawaita Maaskofu wasomi au Askofu msomi, wao wanaichezea sana dokta sikuizi tuna dokta Msukuma

    Wasomi kweli kweli seminary zimetoa watu makini sina shaka hizi shule zilikua zinatoa division one form four na form six kama mvua discipline ya hatari disciples, mkikutana nao kwenye football wanawagonga darasani wanawacharaza, uthibitisho wa usomi wao. 1.Vyombo vya habari vimebanwa haswa...
  9. Rutashubanyuma

    JamiiForums Tanzania Askofu Profesa Victor Chisanga kaambiwa na Mwenyezi Mungu asitii mamlaka kwenye swala na bandari bali ampinge Rais

    https://youtu.be/CsfIiDj5LQY Askofu profesa Victor Chisanga kwenye mahojiano yake na Jambo TV kadai ana maelekezo ya Mwenyezi Mungu lazima apinge mamlaka kwenye uwekezaji wa bandari na asipofanya hivyo atakwenda motoni.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamalanga Amsifu Rais Samia Kuifungua nchi Kibiashara

    Viongozi wa dini wamemsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuifungua nchi kibiashara kwa kuwajengea wote wenye nia ya biashara kuingia kufanya hivyo, huku akiondoa vikwazo vinavyonyima fursa. Akizungumza kwa niaba ya viongozi wenzake, Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Masheikh ya...
  11. Unasemeje

    JamiiForums Tanzania Top Manyota Top Manyota, Chesko mzee wa Matunda, Manka Mushi, Baba Askofu

    Wakali wa salamu, walikuwa ni hatari sana kupiga simu namba 2700588 ya radio one na kusambaza upendo.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Usalama wa maisha ya Peter Madeleka uko hatarini Gerezani kisongo, Arusha!

    .
  13. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

    Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla. Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani...
  14. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamalanga: Tunalijua genge na kiongozi wake linalompangia Rais nini cha kufanya

    Friends and Enemies, Hali inazidi kuwa mbaya, katika mkutano wa CHADEMA na maaskofu katika suala lao la kulumbana na serikali juu ya masuala ya bandari maaskofu wamezidi kutema kauli zao ambazo ni tatanishi. Amesikika kwa uwazi kabisa Askofu Mwamalanga akisema kwamba wao kama maaskofu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Ikiwa mtu atadhurika au kuuliwa sababu ya kutoa maoni kuhusu bandari serikali na viongozi waliotoa vitisho watawajibika

    Askofu Mwamakula amesema Uhuru wa wa kutoa maoni umelindwa na katiba, hivyo hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kumdhuru mtu sababu ya kutoa maoni yake. Askofu Mwamakula amesema yoyote atakaetoa maoni au kunung'unika mkata huu wa bandari ikitokea akadhurika kutekwa au kuuliwa kwa namna yoyote ile...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nasubiri kauli ya Dkt. Askofu Gwajima juu ya haya yanayoendelea

    Amekuwa akijinasibu kuwa mtetezi wa maliasili na uzalendo kwa Taifa. Mpaka sasa hii ni wiki ya tatu sasa sijamsikia Kauli yake. Juzi Jumapili nimeenda kwake lakini sikusikia akisema lolote? Je ni Gwajima huyu yule wa zamani wa enzi za Corona au huyu tumebadilishiwa?
  17. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa kamati kuu ya CCM amuomba Askofu Mwamakula kumfikishia ujumbe wake kwa Wananchi kuhusu mkataba wa bandari Ili asifukuzwe uanachama

    Ujumbe ufuatao umetoka kwa mwanachama wa CCM ambaye amekuwa Mteule wa Rais wa muda mrefu. Kwa kuogopa kufukuzwa CCM, ameomba afikishe ujumbe kupitia kwa Askofu. Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Kwenye vikao vilivyoisha (Kamati Kuu ya CCM na Halmashauru Kuu ya CCM) imeelezwa kuwa Wajumbe...
  18. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Askofu Rugambwa wa Nyaishozi kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya

    Kardinali Rugambwa akiwa na Rais Kikwete, lakini kabla hajawa Kardinali Kwa dhati, nampongeza Askofu Protase Rugambwa Prosper Iholana, ambaye familia yake inayo makazi ya kudumu katika Kijiji cha Kasheshe, Kata ya Nyaishozi, Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya...
  19. ndiuka

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

    Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa Mhashamu Protase Rugambwa sasa Mhadhama. Baba Mtakatifu Fransisco amemteua Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa kuwa Kadinali. Mhashamu Protase Rugambwa ni mwandamizi wa kiti cha uaskofu Jimbo kuu Katoliki la Tabora. Hongera sana Mhashamu Rugambwa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe Aungana na Tundu Lissu: Ni Kuhusu Tanganyika na Zanzibar. Afafanua kwa mapana

Back
Top Bottom