Askofu Gwajima asema ahadi yake kwa wakazi wa Kawe kuwapeleka Birmingham (Uingereza) bado ipo

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Baada ya kuwepo kwa maneno mengi ya utani na mengine ‘serious’ kuhusu ahadi aliyoitoa kwa kwa baadhi ya wanakazi wa Kawe (Dar es Salaam) kuwa atawapeleka Jijini Birmingham Nchini England, hatimaye akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amefunguka.

Amesema “Bahati mbaya watu wana misuse, Tanzania ina watu waliosoma na wasiosoma, wakati nazindua kampeni pale Bunju nilisema hivi:

“Nina uhusiano na Meya wa Birmingham na tunaweza kufanya exchange programs, kwamba vijana wetu wa huku ambao wana kidhi mahitaji wanakwenda kule na vijana wao wa kule wanakuja huku.

“Exchange Programs zinafanywa kwa Wanafunzi na watu wengine. Mungu akinisaidia ningependa kuitimiza ahadi niliyosema.”

Makanisa yote haya ni ya kitapeli na wapumbavu ndio wanauliwa vichwa,huyu ni tapeli anayecheza na upumbavu wa watanzania wengi, ujinga ni mtaji mkubwa wa watawala wetu, angalia alichokifanya tapeli bushiri pale SA,amekimbia kesi ya utapeli na raping na bado kuna wapumbavu bado wanamwona kama no 1
 
Baada ya kuwepo kwa maneno mengi ya utani na mengine ‘serious’ kuhusu ahadi aliyoitoa kwa kwa baadhi ya wanakazi wa Kawe (Dar es Salaam) kuwa atawapeleka Jijini Birmingham Nchini England, hatimaye akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amefunguka.

Amesema “Bahati mbaya watu wana misuse, Tanzania ina watu waliosoma na wasiosoma, wakati nazindua kampeni pale Bunju nilisema hivi:

“Nina uhusiano na Meya wa Birmingham na tunaweza kufanya exchange programs, kwamba vijana wetu wa huku ambao wana kidhi mahitaji wanakwenda kule na vijana wao wa kule wanakuja huku.

“Exchange Programs zinafanywa kwa Wanafunzi na watu wengine. Mungu akinisaidia ningependa kuitimiza ahadi niliyosema.”
Aachane na mambo ya kijinga, atetee kutengeneza barabara kwanza. Mfano barabara inayotoka madale mwisho kwenda mbopo inamalìza magari na imekùwa ngumu kupitika yeye analeta mizaha
 
Baada ya kuwepo kwa maneno mengi ya utani na mengine ‘serious’ kuhusu ahadi aliyoitoa kwa kwa baadhi ya wanakazi wa Kawe (Dar es Salaam) kuwa atawapeleka Jijini Birmingham Nchini England, hatimaye akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amefunguka.

Amesema “Bahati mbaya watu wana misuse, Tanzania ina watu waliosoma na wasiosoma, wakati nazindua kampeni pale Bunju nilisema hivi:

“Nina uhusiano na Meya wa Birmingham na tunaweza kufanya exchange programs, kwamba vijana wetu wa huku ambao wana kidhi mahitaji wanakwenda kule na vijana wao wa kule wanakuja huku.

“Exchange Programs zinafanywa kwa Wanafunzi na watu wengine. Mungu akinisaidia ningependa kuitimiza ahadi niliyosema.”
Pumbavu zake
 
Kwa hiyo kawe yote hakuna mwanafunzi wa chuo kikuu chochote anayekidhi hivyo vigezo vya exchange program?

Gwajima jibu
 
Ameshindwa kuhimiza kutatuliwa kwa migogoro ya ardhi hususa ule wa Mbopo ,

Cha kuchosha zaidi ni pale anapofanyika kikwazo katika kutatua mgogoro huo
 
Back
Top Bottom