arusha

  1. Kiukweli Arusha ilinuka Mh. Polepole ulichelewa sana kumshauri Rais kama yule DC wa Mara

    Naomba nichukue muda kumshukuru. Mh rais kwa yale mazuri anayoendelea kufanya ikiwemo. Kutoangalia wanaokichafua chama. Na serikali yake. Niweke wazi viongozi wa CCM mnaomsaidia mh raisi kama mtaacha dhana ya kujuana ama Kulindana mtamsaidia sana mh rais. Nioongee machache kuna DC Mara alikuwa...
  2. J

    GE2020 Je, Godbless Lema atagombea tena Arusha au anahamia Hai?

    Kwa muda sasa pamekuwepo tetesi kwamba mbunge wa Arusha mjini mtumishi Godbless Lema ataachana na jimbo lake la sasa la Arusha mjini na kuhamia Hai. Tetesi hizo zilishika kasi baada ya mbunge wa Hai mzee Mbowe kutia nia ya kugombea urais. Hata hivyo ilisemekana pia Lema ana hali ngumu sana ya...
  3. Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

    UTEUZI WA RC ARUSHA NA DC ARUSHA WATENGULIA Rais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Idd Kimanta Pia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro na nafasi yake imechukuliwa...
  4. R

    National College of Tourism Arusha na Institute of Rural Development Planning - Dodoma

    Wapendwa, naomba kusaidiwa. 1. Chuo cha Mafunzo ya Utalii yanakupa ujuzi gani-expertise? Na baada ya kumaliza kazi za mhitimu (in case ameajiriwa) ni zipi? Day to day activities. Mafunzo yanajumuisha acquired skills zipi. 2. Chuo cha Rural Development Planning - DODOMA (Chuo cha Mipango)...
  5. B

    RC Gambo aumbuka. Vijana wa CCM Arusha wamshambulia mitandaoni, aamua “ku left “

    Rc Gambo aumbuka,vijana wa Ccm Arusha wamshambulia mitandaoni aamua “kuleft”. Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo amejikuta akiumbuka katika mitandao ya kijamii hali iliyomlazimu kujiondoa huku baadhi ya vijana wa Ccm Arusha wakimshauri aache jeuri na awe karibu na vijana. Tukio hilo lilitokea...
  6. Msamaha: Mzee Kinana amuangukia Rais Magufuli kufuatia mazungumzo yake na makada wenzake wa CCM yaliyovuja

    Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Abdulrahman Kinana amejitokeza na kumuomba radhi Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Dkt. John Magufuli kufuatia matukio yaliyojitokeza siku za nyuma ikiwemo mazungumzo ya simu baina yake na baadhi ya viongozi wakongwe wa CCM yakimlenga moja kwa moja Rais Magufuli...
  7. Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Licha ya Tanzania kuongoza Afrika Mashariki kwa wageni wanaotalii mbugani, bado Utalii wa Ndani, umeendelea kuwa chini kulinganisha na Nchi nyingine kama Kenya na hivyo kuendelea kudumaaa kwa Sekta ya Usafirishaji na ya Huduma hasa Mahoteli katika maeneo yaliyo mbali na Kanda Kuu za Kiutalii...
  8. Kadogosa: Tutarejesha safari za treni kati ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha ndani ya muda mfupi

    Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli Tanzania - TRC Ndg. Masanja Kungu Kadogosa ametembelea kipande cha reli kati ya stesheni za Buiko na Hedaru mkoani Kilimanjaro ambacho kimefunikwa na maji kwa zaidi ya juma moja baada ya mafuriko yaliyosabishwa na mto Pangani kujaa kutokana na mvua zinazonyesha...
  9. Kesi ya Felicien Kabuga anayetuhumiwa kufadhili mauaji ya kimbari ya Rwanda (1994) kusikilizwa Arusha, Tanzania

    Kesi ya Felicien Kabuga ambaye anashtakiwa kwa mauaji ya kimbari yaliyotokea Rwanda mwaka 1994 inatarajiwa kusikilizwa hapa nchini Mwendesha Mashtaka Mkuu wa MICT, Serge Brammertz amesema kesi hiyo inatarajiwa kusikilizwa jijini Arusha, mahali ambapo Mtuhumiwa huyo alishtakiwa kwa makosa saba...
  10. J

    Habari njema: SIDO Arusha watengeneza Hema la kujifukizia nyungu

    Watanzania wameendelea kuwa wabunifu katika kujenga mikakati imara ya kukabiliana na janga hili hatari la Corona. SIDO mkoani Arusha wametengeneza hema maalumu kwa ajili ya kujifukizia au ukipenda kupiga nyungu. Hema hilo ni mfano wa kama kibanda kidogo cha turubai ambacho mhusika ataingia...
  11. Msando si chaguo sahihi kwa Arusha na wana Arusha, namshauri afunge breki

    Hapo vip!! Huyu Msando anayejipendekeza kwa wana Arusha na mshauri aache kutafuta publicity kwa vyombo vya habari na kujipendekeza kulamba lamba miguu wakubwa. Arusha kwa sasa haimtaki mtu kama Msando au Lema. Wana Arusha wanataka kiongozi Mzalendo anayeipenda Arusha na kuwapenda wana Arusha...
  12. Majambazi Arusha yakamatwa

    Kazi nzuri makamanda japo hua tunawachukia
  13. Barakoa za mafungu nyoso

    Bongo nyoso sana
  14. N

    Video: Mtu kaanguka Arusha watu wanampita, maneno ya mke wa Bill Gates yanatimia

    Sina ya kusema kwa kweli,wananchi wenyewe washaona serikali yao vuluvulu,ni mwendo wa kuachwa ufe pale unapoanguka barabarani KWA CHANGAMOTO YA UPUMUAJI. So sad hii clip ni karibu na soko la Samunge Arusha, wengine wanadai kwenye comments huyo ni mlevi na kwamba ni ya siku nyingi hiyo...
  15. J

    RC Gambo: Mazishi yoyote yatakayofanyika mkoani Arusha yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10 bila kujali ugonjwa uliomuuwa marehemu

    Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema mazishi yoyote yatakayofanyika mkoani Arusha yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10 hata kama marehemu hajafa kwa ugonjwa wa Corona. Gambo amesema mkoa umechukua hatua hiyo ili kudhibiti misongamano ya watu katika kipindi hiki cha janga hili la Corona...
  16. J

    Waandishi Clouds 360 wamshukia kama mwewe wakili Msando kwa kupotosha kuwa Arusha hali ni mbaya kwa Corona

    Watangazaji wa Clouds tv Sasali, Kabaye na Ngoma wamesema wakili msomi Albert Msando hana haki ya kuwasemea wananchi wa Arusha kuhusu Corona. Ngoma amesema RC Gambo ndio anajua hali halisi ya mkoa wake, Msando anapaswa kuelezea waliofisadi mali za CCM waliowachunguza na siyo Corona. Amesisitiza...
  17. Albert Msando ‘amwaga’ vifaa vya Corona kwa wanahabari Arusha, adai hali ni mbaya sana

    Wakili wa Kijitegemea, Alberti Msando ametoa msaada wa barakoa 100 pamoja na vitakasa mikono 100 kwa waandishi wa habari Mkoa wa Arusha ili kujikinga na maambukizi ya Covid-19 kutokana na kazi yao kuwa na mwingiliano wa watu. Akikabidhi msaada huo leo kwenye Ofisi za Chama cha Waandishi wa...
  18. Aliyekuwa Afisa Elimu Arusha afariki dunia na kuzikwa na Serikali

    Aliyekuwa afisa elimu Arusha! Ndugu ndiyo wamemaliza kuona amezikwa na serikali Pumzika mwalimu
  19. H

    Naishauri Serikali ya Tanzania, watu wasiruhusiwe kuingia wala kutoka Dar, Arusha na Mwanza

    Huu ni mtazamo wangu katika kuunga mkono juhudi za Serikali kupambana na COVID-19. Watu wasikae ndani moja kwa moja lakini, ili kupunguza kuenea kwa tatizo nchi nzima, ni vizuri Serikali ikaamua watu wa dar wafanyie Shughuli zao Dar, Arusha na Mwanza kadhalika...Hii ni mikoa ya biashara hivyo...
  20. Maisha ya Ingrid mjini Arusha mpaka Dar-es-Salaam

    Ingrid msichana mrembo, alianza kuishi ghetto baada ya kukorofishana na mama yake. Baba yake alifariki Ingrid akiwa bado mdogo. Ghetto waliishi maisha ya fighting for survival. Kitanda kimoja na ilikuwa ni marufuku kurudi na mwanaume. Siku moja Jumamosi akiwa club alikutana na Damian kijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…