Alagwa
Member
- May 30, 2012
- 97
- 89
Leo nimechelewa kidogo kukwaajili ya safari ya arusha dar nimekuta basi la harambee stendi ya arusha yani huduma, basi lenyewe na utaratibu ni mbovu sana.
Image abiria wanaanza kuingia kwenye gari ndio wanawekwa siti za nyuma alafu wanaokuja kwa kuchelewa ndio siti za kati na mbele mhhh alafu gari ni 3 by 2 nauli wanataka 25,000/=
Ivi nauli elekezi kwa basi kama hili la 3 by 2 ni bei gani