The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,077
Nimeona kipeperushi cha kongamano la wanaume wa Arusha.
Kongamano hilo lililenga kukutanisha wanaume ili wakazungumzie matatizo wanayokabiliana nayo na kuhimizana kutokaa na jambo moyoni.
Sijajua kama walikutana jana ama lah lakini kongamano linawaomba wanaume wa Arusha wasiwe wakimiya, waseme.
Mshangao wangu ni kua wanaume wa Arusha wanahimizana kuwa wanaongea ongea chochote kinachowakwaza, mahala popote kama kina mama?
Wanaume tutabakia kuwa wa Kanda ya Ziwa tu.
Ile manhood inaanza kuondoka taratibu, ilianzia Dar kule Kinondoni wanaume wanaogopa hadi panya, Ilala wanaume wanakimbia paka wanaolia usiku.
Mwanaume huwezi kua unaonga ongea tu kila unalokabiliana nalo, ndio maana unaitwa Mwanaume, whatever the case nature imeweka responsibility kubwa kwako, nature ilikupa strength, physicality, masculinity na kadhalika. Hilo lazima ulijue.
Sasa hizi hadithi za wanaharakati za kutaka wanaume tuwe tunaongea ongea hovyo tu ndivyo zilianzia huko Ulaya na unajua matokeo yake.
Wanaume mnakutana kupeana deals, kufurahi, sio kuongea eti mpunguze maumivu mioyoni, huu ni usengerema.