arusha

  1. Habari Leo

    JamiiForums Tanzania Kero ya wauza maziwa Arusha kuweka maji na unga wa ngano

    Kama kichwa kinavyo jieleza. Hili ni janga la muda mrefu na hali hii inazidi kukomaa hali inayopelekea maziwa kutokuaminika kabisa. Wauzaji kuanzia wafugaji wanao kamua maziwa hadi wenye maduka wanaouza rejareja, wengi wao wanaweka maji ili maziwa yawe mengi na kisha kuweka unga wa ngano ili...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kimsingi Polisi hawana matatizo yoyote na Wananchi, Picha hii kutoka Arusha ni Ushahidi kamili

    Mara zote tumewashutumu polisi humu jf na kwingineko , na hata tumefikia na kuazimia kulivunja Jeshi hilo ilii liundwe upya, Lakini kiukweli Polisi ni watu wazuri tu , Shida kubwa ni hao viongozi wao wanaotaka kila askari awe mtumwa wa CCM, kwa vile wao wameteuliwa na Mwenyekiti wa CCM kwenye...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Arusha ni ngome ya CHADEMA. CCM tuachane nayo!

    Matukio mawili yametokea jijini Arusha ambayo yalitosha kusambaratisha maandamano ya Chadema. Mosi ni ajali iliyoua watu 25 wakiwemo watoto sita (6). Ni simannzi nzito sana. Pili ni mvua kubwa iliyoandamana na upepo mkali na radi iliyosambaratisha jukwaa la viongozi. Cha ajabu viongozi...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

    Kama ilivyoelezwa tangu awali, hatimaye ile Neema ya Maandamano ya Kupinga Ugumu wa Maisha, Dhiki na Ufukara ikiwa ni pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi Imeingia Jijini Arusha. Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika. Kama...
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania Samia aagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure

    Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel amesema Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure Dkt Godwin Mollel amesema hayo leo Februari, 25, 2024 alipowajulia hali majeruhi wa ajali hiyo iliyohusisha magari manne...
  6. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Huzuni Nyingine Yaikumba Arusha: Ajali Yachukua Roho Za Watu 15 Jioni Hii

    Watu 15 wamefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari kubwa aina ya Scania kufeli breki na kwenda kuparamia magari mengine katika eneo la Kibaoni Ngaramtoni Wilayani Arumeru Mkoani Arusha. Ombeni Kirusha ambaye ni Shuhuda wa tukio hilo amesema “Kilichotokea ni ajali, nilikuwa na gari...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha IAA Arusha hakina mchanganuo unaoeleweka kwenye malipo ya ada

    Chuo cha uhasibu Arusha (IAA) kimekuwa na gharama kubwa ya malipo ya Ada kulinganisha na vyuo vingine vya serikali pia mlipaji hapewe mchanganuo wa malipo hayo ya Ada. Kiasi kilicho pelekea baadhi ya wanafunzi kusitisha masomo Kwa kukosa Ada hiyo yenye kima cha juu. Ambapo wanatoza 1,833,000...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere pichani akihudhuria mkutano wa Chadema Arusha

    Pichani ni Andrew Nyerere (mwenye mvi) mtoto wa Rais wa kwanza wa Tanzania, akiwa katika mkutano wa Chadema Sanawari, Arusha.
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha: Zimebakia siku 6 tu kabla Neema ya Maandamano ya Amani

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yaliyoletwa na Mungu, ya kupinga Dhiki, Ufukara, Ugumu wa Maisha, Bei kubwa ya bidhaa zote ikiwemo Vyakula, pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi, Maandamano yanayoandaliwa na Chama chenye Maono CHADEMA, Sasa yameingia...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ndege moja ATCL kwa safari za Arusha-Dar ni sababu zilizopo hazitoshi?

    Hivi ni kweli kuwa Airtanzania hawana ndege? Kiasi kwamba wanaweka kandege kamoja tu Arusha to Dar hata siku busy kama Ijumaa?
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Usalama Arusha yampongeza SACP Masejo kwa kupandishwa cheo na Rais

    Kamati ya Usalama Mkoa wa Arusha imempongeza Kamanda wa Polisi Mkoani humo kwa kupandishwa Cheo hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Akitoa Pongezi hizo Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu John...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt. John Pima na wenzake wameshinda rufaa ya kupinga kifungo cha miaka 20 jela

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk John Pima na wenzake wawili wameshinda rufaa waliyokata kupinga hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Hukumu hiyo imesomwa leo Ijumaa, Februari 16, 2024 na Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Twendeni msibani Monduli - Arusha: zaidi ya ng'ombe 100 watachinjwa na kuliwa nyama kwenye msiba wa Laigwananani Edward Ngoyai Lowassa

    Hii ni kali kwelikweli, sijawahi ona ng'ombe wengi kiasi hiki (zaidi ya 100) kwenye msiba mmoja na wenye afya kama hawa wakichinjwa kuliwa nyama msibani.. Bila shaka Arusha, Manyara na Kilimanjaro yote inahamia Monduli kwenda kula nyama na kumwaga Mzee Edward Ngoyai Lowassa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Meneja TANESCO Mkoa wa Arusha umempuuza Makonda kuhusu mgawo wa umeme?

    Alipokuja katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo wananchi wa Arusha walilalamika kuwa mgawo wa umeme unaoendelea siyo fair. Unakuta kuna eneo linakatwa umeme kila siku kuanzia asubuhi mpaka jioni, kuna eneo lenyewe lina umeme kila siku mchana wanakatiwa jioni, hawa kila siku jioni wanakuwa...
  15. Tatu

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji Mjini Arusha sasa limekuwa sugu

    Tatizo la maji mjini Arusha sasa limekuwa sugu. Inakuwaje maji yanakatwa kwa zaidi ya siku tatu bila accountability yoyote? Shida hasa ni nini? Kumekuwa na mvua za kutosha Arusha na mikoa yote kwa ujumla kwa hiyo suala la upungufu wa maji isiwe kisingizio. Kwa kweli hii hali haikubaliki hata...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

    Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku. Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na...
  17. Desierto

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa mkoa wa Arusha wasaidiwe malezi kwa watoto wao

    Wazazi hawa wameshindwa kabisa kulea watoto wao hasa wa kiume Unakuta mtoto ameshafikisha umri wa kujitegemea lakini bado anaiehi kwa wazazi wake Tena anajiona ndani pale yeye ni kidume Kati ya vijana 10 walioachiwa urithi hasa wa mashamba Ni mmoja tu au wawili ndo walivitumia vizuri...
  18. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

    Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo,Benson Ngowi(32) anashikiliwa na jeshi la Polisi katika kituo cha Loliondo,Wasso kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Wasso wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha. Hakimu huyo, ambaye pia alifanya kazi ya uwakili kwenye Kampuni ya...
  19. princ kadur

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu contacts za Puma petrol station Arusha msaada

    Habar wakuu msaada mwenye kufahamu E-mail Ama Namba za simu ya Petrol station za puma hasa Arusha..
  20. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Dispensary inauzwa sekei Arusha

    Karibuni wote dispensary inauzwa . Sekei Arusha umbali ni mt 100 sio ile barabara ya lami almashauri ni ile ingine ya ambayo ni rafu road . Bei ml 250 ,ni heka moja kamilifu napia ina hati zote . Wasiliana na mimi 0699-227942
Back
Top Bottom