vijana wa Arusha wanapigana kwa visu. Wanaume tunazichapa kavu na maisha yanaendelea

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Kisu ni moja ya silaha hatari sana ila watu wanachukulia poa. Kuna sehemu kisu kikigusa ni kitendo cha sekunde kadhaa tu unapoteza lita za damu

Hivi karibuni kuna kijana kachomwa kisu ikiwa ni muendelezo wa matukio haya ya kinyama, Pichani ni Marehemu Bennyrick Lamar akiwa kapakiwa kwenye pikipiki alipochomwa kisu.

FB_IMG_1699437995628.jpg


ARUSHA ifike mahali tunapogombana na kushindwa kujizuia hasira zetu, basi zipigwe kavu, Huu mtindo wa kukimbilia kupigana visu sio kabisa, ni ushamba.

Mbaya zaidi ni hata vijana wastaarabu wanapigwa visu, kuna vijana wa Arusha wanapenda sana ugomvi hata wa kuutafuta ilimradi tu kuwe na ugomvi, ukijitetea unaweza pigwa kisu, hata Marehemu Faza Nelly alikuwa ni mwanamziki wa huko alisifika kea ustaarab wake kuishi vizuri na watu lakini kitendo cha kutaka kusuluhisha ugomvi wa majirani akapigwa kisu na kufariki.
 
Acha kubonga uwaki vita ni vita muraa,unapozidiwa unatafuta silaha eti kuzichapa kavu kavu kwani wapo ulingoni??ukizingua unakula beto 2 beto
Punguzeni kunywa madadi... Tutakuja kuwasukumia ngumi mpaka mteme ugolo huo.
 
Ni miendelezo wa matukio ya vijana kupigana kwa visu badala ya kuzichapa kavu

ARUSHA ifike mahali tunapogombana na kushindwa kujizuia hasira zetu, basi zipigwe kavu, Huu mtindo wa kukimbilia kupigana visu sio kabisa, ni ushamba !! Pumzika kwa amani Bennyrick Lamar (pichani kapakizwa kwenye pikipiki baada ya kupigwa kisu)


View attachment 2807797

Mbaya zaidi ni hata vijana wastaarabu wanapigwa visu, mtu anajipitia zake mhuni anaanza kumletea pigo sizo kujionyesha ni mbabe mwishowe anampiga kisu, hata Marehemu Faza Nelly alikuwa ni mwanamziki wa huko alisifika kea ustaarab wake kuishi vizuri na watu lakini kitendo cha kutaka kusuluhisha ugomvi wa majirani akapigwa kisu na kufariki.
Wakati zinachapwa/wanapigana hawa watu wote wanakua pembeni wakishabikia baada ya mtu kuchomwa kisu ndo wanaanza kutoa msaada, inasikitisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom