Kwa maoni yangu, Arusha inaongoza kuwa na warembo Kanda ya Kaskazini

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,712
5,703
Hasahasa maeneo ya Arusha Mjini, usipokua makini unaweza gongwa na bajaji kwa kushangaa wanawake.

Wanawake wengi huku Arusha wana makalio makubwa yenye shepu nzuri balaaa, miguu ya bia ilionona daah, huwa saa nyingine nakutana na pisi, naishia tu kuguna kwa tamaa!
 
Mkuu bado unahishi kwa shemeJi yako
Hasahasa maeneo ya arusha mjini, usipokua makini unaweza gongwa na bajaji kwa kushangaa wadada, wadada wengi huku arusha wanajambia mbali, Wana makalio makubwa yenye shepu nzuri baalaaa miguu ya bia ilionona daah, huwaga saa ingine nakutana na pisi, naishia tu kuguna kwa tamaa
 
Arusha inaharibiwa na wale matom boys ila ni wazuri sema mazingira....Interaction ya watu wa Babati ,karatu ,singida na kondoa(Dodoma ) imeleta afueni ya wadada ..Tatizo lao wanafanya kazi kweny bars basi wanakuwa hovyo kabisa.


Kukuta demu mweupe halafu ana mdogo mweusi kama kunguru ni kawaida .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom