ardhi

  1. The Boss

    JamiiForums Tanzania Serikali ndo chanzo cha migogoro ya ardhi

    Nimeona tangazo waziri Lukuvi anasema wanakuja na utaratibu mpya .. Viwanja ambavyo wenyewe hawapo kwenye sijui vitambulisho vya Taifa..watanyang'anywa na vitapigwa mnada... Toka serikali ianzishe utaratibu wa kubadili policy zinazohusu ardhi na sheria zake karibu kila mwaka .. migogoro...
  2. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Ardhi Jiji la Dodoma imezidiwa na wateja au kuna uzembe?

    Wanabodi, napenda kupata uzoefu kwenu kuhusu hali ya msongamano wa watu wa kila siku za kazi za juma katika Idara hii ya Ardhi Jijini Dodoma ambayo haipunguwi kama wagonjwa wanaokwenda kutibiwa hospitali wakati wa mlipuko. Nimekuwa mhanga pia wa kuhudhulia katika ofisi hiyo kwa Jambo moja...
  3. Mpingamkoloni

    JamiiForums Tanzania Barua Kwa Mheshiwa Rais: Tunaomba Utupe Ardhi ya Tanganyika Packers Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Tawi la Mbeya

    Mheshimiwa Rais! Mimi ni mwananchi wa kawaida sana hapa Tanzania. Mimi ni mwanachama mwaminifu wa CCM tokea enzi za siku za mwisho za TANU. Mheshimiwa Rais, sitopoteza muda wangu kutaja mambo mema mengi uliyowafanyia watanzania, maana nitatumia siku nzima na hivyo barua yangu itakosa maana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa tunaojua Kusali hasa tuziombee sana Fedha na Ardhi zetu kwani Mchina Kazivamia kwa Kasi akitaka Kuzimaliza

    Sasa nimeamini kuwa Mchina kama aliweza Kuingia kwa Wabishi na Wababe Marekani na Uingereza angeshindwa vipi Kuziingilia Fedha za Tanzania pamoja na Ardhi yake pia? Ombi tu kwa wale Watanzania tunaojua hasa Kusali kwa Mwenyezi Mungu ni kwamba hebu tumuombe amfukuze Mchina aliyeng'ang'ania sasa...
  5. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

    Yaani Mbunge wa Vunjo mwenye PhD anamwomba Waziri wa Ardhi awapatie Wachagga wa Vunjo ardhi kwingineko katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sababu ni ili walime kwani kwao wamegawana ardhi kwa mila zao na kujikuta na vipande vidogo sana ambavyo mtu hawezi kulima. Eti wamesongamana, si...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Jifunze na uyajue madhara ya unyakuaji wa ardhi

    Mahitaji ya ardhi yameongezeka wakati wawekezaji wanatafuta maeneo ya kupanda chakula cha kuuza nje, au kukuza nishati ya mimea, au tu kupata faida. Hii hupelekea unyakuaji wa ardhi kutoka kwa jamii za hali ya chini ambao ni wamiliki wa asili wa ardhi hizo. Unyakuaji wa ardhi huwaathiri...
  7. mgt software

    JamiiForums Tanzania Kabla ya MaDC kufukuzwa kwa baa la njaa tujiulize nani aliuza ardhi ya vijiji? Walengwa walime wapi?

    Wana Jf, Nawaonea huruma sana MaDC kwa kuishi kimashaka kama ikitokea kwao baa la njaa likawakumba, pengine ni kutokana na jiographia kuwa wananchi wazazi wao walipopachagua kuishi na kupaita kwao ni full ukame na wanaishi hapo kwa kutangatanga kufuatia urithi walioukuta. Wengine...
  8. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Ardhi University wasitisha utaratibu wa kuweka sahihi ya mahudhurio kazini kwa watumishi wake

    Chuo kikuu cha ardhi kimesitisha utaratibu wa kuweka sahihi ya mahudhurio kazini kwa watumishi wote kwa sababu zisizojulikana hadi itakapotangazwa hapo baadae. Watumishi wameombwa kuendelea kujali muda wa kufika kazini kama walivyozoea na wakuu wa vitengo wameombwa kuendelea kufuatilia...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Elimu: Hotel Desderia yatumika kufundishia Landscaping Ardhi University

    Hotel ya kisasa ya nyota 3 ya Desderia iliyoko Jijini Mbeya imejiongezea majukumu yake baada ya sasa kuanza kutumika kwenye masomo ya Chuo Kikuu nchi Tanzania. Pichani ni wasomi kutoka Ardhi University ya Dar es Salaam wakiwa na MD wa Hotel hiyo Mh Joseph Mbilinyi walipofika Hotelini hapo...
  10. Hisha Sorel

    JamiiForums Tanzania Umasikini wetu ni wa kujichagulia. Je! Inaleta maana yoyote? Bara lenye ardhi yenye rutuba, idadi kubwa ya vijana, madini adimu kuwa maskini? Hapana!

    Je! Inaleta maana yoyote kwamba Bara lenye ardhi yenye rutuba, idadi kubwa ya vijana, madini adimu, na maji tosha; kuwa masikini zaidi ulimwenguni. Umasikini wetu ni ule wa kujichagulia, Afrika inapaswa kutafakari tena mfumo wake wa uchumi na metriki za kupima mafanikio. Wengi wenu bado...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Balcony inachukua nafasi kubwa ya eneo, unaweza kujenga ghorofa bila balcony

    Nimeona hii nyumba na kutafakari. Kwa wale wapenzi wa ghorofahii ni plan ni ya bei nafuu. Juu Ina vyumba vitatu vya kulala a family bathroom. Chini ina jiko, choo, sebule na dining. Katika kiwanja cha kawaida cha 1/4 eka unaweza kujenga hii nyumba na nyuma ukapata nafasi ya banda la kuku...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni Mahakama za Ardhi kwani zimejaa wapigaji. Kesi zote za Ardhi rudisheni Mahakama za kawaida ili zikamilike mapema

    Hii inchi jambo haliwi jambo hadi limfike mtu! Kwa mjibu wa sheria za Tanzania! Migogoro na kesi zimegawanywa kusikilizwa katika makundi tofauti ya mahakama! 1. Kesi za jinai, madai na uchumi zinasikilizwa MAHAKAMA ZA KAWAIDA 2. Kesi za kibiashara na uwekezaji zinasikilizwa na MAHAKAMA ZA...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi awataka wamiliki wa ardhi kujenga kwa kufuata sheria

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka wamiliki wa ardhi wanaotaka kujenga kuhakikisha wanafuata sheria na taratibu zote wakati wa kufanya ujenzi. Waziri Lukuvi alisema hayo mwishoni mwa wiki hii katika ofisi yake ya ardhi ya mkoani Dar es Salaam na Pwani...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Jengo Maarufu Zanzibar kwa utalii, Beit Al Ajaib laporomoka

    Jengo hili lilikua ndio sura ya mji Mkongwe Zanzibar na kivutio Kiki kikubwa cha utaliii, lakini serekali imeshindwa kulitunza. Serekali ya Oman 🇴🇲 ilikua tayari kulikarabati lakini inaonekana wamefanyiwa urasimu na watendaji wenye tamaa. === Jengo la Beit al Ajaib lilijengwa na sultan wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Lukuvi hivi unawatafuta nini wananchi kwenye ardhi? Hebu tuliza spidi unaenda kasi isiyo na faida

    Majuzi umetoa kauli tata kuhusu umiliki wa ardhi katika ndoa, tumekueleza kuwa uwe makini na kaulikauli hizi. Kisha naona unatoa kauli nyingine kutishiatishia wananchi kutwaa ardhi zao. Ni hivi ndugu Lukuvi, sisi wananchi hatupendi stress, kutishwatishwa, kusukumwasukumwa, kupelekwapelekwa...
  16. mjegejo

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anataka kunidhulumu ardhi niliyorithi toka kwa mzee. Naombeni msaada wa kisheria

    Niko 'frustrated' naomba mniwie radhi kama uandishi na mpangilio wa hoja yangu utashindwa kueleweka kwenu. Ni hivi, Mimi pamoja na kaka yangu mkubwa tumbo moja na baba tulikuwa tukiishi vizuri lakini uhusiano wetu ulianza kuingia doa baada ya mzee wetu kufariki. Baada ya mzee kufariki...
  17. mama D

    JamiiForums Tanzania Rais, Mawaziri, Wakurugenzi bado kuna shida kubwa kwenye mchakato wa uwekezaji nchini

    Baada ya kuisoma ilani ya chama tawala CCM na kusikiliza hotuba ya rais alipokua anafungua bunge watanzania wengi tuliiona nia ya dhati ya serikali yetu kuboresha uchumi kwa kiasi kikubwa haswa kwa kuhakikisha wawekezaji wanapewa support na serikali kwa kujengewa mazingira mazuri na rafiki ya...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Vyoo vya Wanafunzi Chuo cha Ardhi Morogoro ni hatari kwa afya za Wanachuo

    Chuo cha ARDHI Morogoro ni miongoni mwa Vyuo vikongwe vya Serikali ambavyo vinatoa wataalamu mbalimbali kwa ajili ya Sekta ya ARDHI Ni Jambo la kusikitisha ambalo inawezekana sio la kiungwana kuhusu hali ya vyoo vinavyotumiwa na wanachuo. Hakijulikani tatizo ni nini na nani anawajibika na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Je, Sheria inasema nini kuhusu ardhi ya mtu binafsi kutumika kwa ajili ya manufaa ya Umma?

    Sheria ya Utwaaji wa Ardhi ( Land Acquisition Act Cap. 118 R.E. 2002 katika kifungu chake cha 3 imempa nguvu na madaraka Rais ya kuchukua ardhi inayomilikiwa na mtu binafsi kwa ajili ya manufaa ya umma. Rais anaweza kufanya hivi endapo tu ataona au watu wanataka ardhi hiyo kwa ajili ya...
  20. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Yule Mkurugenzi wa Temeke aliyemtolea maneno ya kuudhi Mwandishi wa Habari aliyetaka kupata ufafanuzi dhidi ya mgogoro wa ardhi mbona hawajibishwi?

    Sina mengi lakini suala la utawala bora nchi hii bado sana. Hivi karibuni Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Temeke alitoa maneno ya kuudhi dhidi ya Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Television cha ITV, Shaka lililotafsiriwa kama ukiukwaji mkubwa wa maadili kwa kiongozi Huyo wa Umma. Lakini pia...
Back
Top Bottom