ardhi

  1. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tufuate utaratibu huu; migogoro yote itaisha nchini

    Naam, jamaa ni yule yule sijui ni wale wale I don't know. Namna ya kutatua migogoro ya Ardhi nchini. Jisomee mwenyewe. Halafu, wapinzani njooni kosoeni tuone hoja zenu na CCM tuchukue ========== MIGOGORO YA ARDHI – TANZANIA (Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha za vijana wa...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ipi siri ya kanisa Katoliki kujimilikisha ardhi kubwa kwa jina la Vatican?

    Kanisa Katoliki kwa miaka nenda rudi wamekuwa na utamaduni wa kujilimbikizia maeneo makubwa ya ardhi nchi mbalimbali, na ardhi hiyo huwa inasauiliwa Vatican kama milki yao halali. Kanisa limekuwa likifundisha kwamba tusijiwekee akiba duniani, lakini lenyewe ndio kinara wa kujilimbikizia ardhi...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Jerusalem: Sababu tatu za kuzuka kwa ghasia kati ya Wapalestina na Wayahudi

    REUTERS: Ghasia zilizuka nje ya msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa zamani wa Jerusalem Jerusalem imekuwa ikigonga vichwa vya habari kufuatia ghasia ambazo zimekuwa zikiripotiwa mjini humo kati ya Wapalestina na vikosi vya usalama vya Israeli ambazo zimewaacha mamia wakijeruhiwa mbali na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wakenya na Ardhi ya Tanzania. Tuweni Makini!

    Leo nikiwa mmoja ya Watanzania walioalikwa kwenye mnuso na Wakenya iliyofanyika nyumbani kwa Mkenya mmoja maeneo ya Mbezi Beach, baada ya kupiga gambe la uhakika, Wakenya walianza kuropoka. Ila nilishtushwa na kushanganzwa jinsi walivyokuwa wakisema waziwazi, kwamba maendeleo ya Kenya hasa...
  5. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje milipuko ya ardhi ( volcano ) hutokea milimani?

    Wakuu, naomba tukumbushane ni sababu zipi zinazopelekea milipuko mingi kutokea milimani?
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Usiku wa kwanza katika ardhi ya Tanzania, Junior alilala mahabusu Keko

    Junior ni Mholanzi mwenye asili ya Tanzania. Wazazi wake walihamia Uholanzi wakiwa bado vijana. Maisha yake yote Junior ameishi Amsterdam. Alikuja Tanzania kwa mara ya kwanza akiwa na miaka mitano. Baada ya sherehe yake ya kuzaliwa akifikisha miaka 18, babu na bibi walimnunulia tiketi aje...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Restituta Mbogo: Wakina Mama hakikisheni Wanaume wanaandika majina yenu pindi wanaponunua ardhi

    Mbunge wa Viti Maalum Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Mhe. Taska Restituta Mbogo, ametoa wito kwa akina mama nchini kuhakikisha wanaume zao wanaandika majina yao wanapokwenda kununua ardhi ili kuepuka matatizo ya baadaye pindi mmoja wao anapofariki dunia. Mhe. Restituta ametoa ushauri...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Serikali iwe na utaratibu mzuri wa kufanya uthamini na kulipa wananchi

    Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa, ameitaka Serikali kuweka Utaratibu mzuri wa kufanya uthamini na kulipa Wananchi kwa wakati akisisitiza lazima Fedha ziwe zimeshatengwa wakati uthamini unafanyika Wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi, amesema "Mara nyingi uthamini unafanyika...
  9. mwagito25

    JamiiForums Tanzania Tuchangamkie fursa za kununua ardhi mapema

    Habarini wanajamvi, kama wewe ni muumini katika kuwekeza ardhi basi chukua hii. Chuo kikuu cha ardhi kinatarajia kujenga chuo kishiriki kikubwa saana jijini Dodoma. Eneo walilolenga kujenga lipo wastani wa 25km kutoka njia kuu(lami). Wakazi na wakulima wa eneo hilo tayari washaanza kuandaliwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania DED monduli na tanesco wamedhulumu taasisi za dini fidia ya ardhi

    Hii imetokea katika kijiji cha Makuyuni mkoani Arusha tangu 2017 hadi leo ambapo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli amedhulumu taasisi za dini ya kiislam na kikristo na baadhi ya wananchi fidia ya ardhi yao baada ya TANESCO kupitisha umeme wa kilovolti 400 katika maeneo yao. Makuyuni ni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania DED Monduli na TANESCO wamedhulumu taasisi za dini fidia ya ardhi

    Hii imetokea katia kijiji cha Makuyuni tangu 2017 hadi leo ambapo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli amedhulumu taasisi za dini ya kiislam na kikristo na baadhi ya wananchi fidia ya ardhi yao baada ya TANESCO kupitisha umeme wa kilovolti 400 katika maeneo yao. Makuyuni ni kijiji lakini ili...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, Deep Poll kabla haijasajiliwa Wizara ya Ardhi inakubalika?

    Naomba kuuliza kwa wanaofahamu. Je kabla deed poll haijasajiliwa wizara ya ardhi je inakubalika kuitumia? Nauliza kwa sababu inabidi niitumie kwenye application ya kazi na kule ardhi wanasema itachjkua siku 7 za kazi ili mchakato wa kuisajili ukamilike. Hapo muda wa applicationutakuwa umepita...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanasheria nauliza; Hivi Deed Poll kabla yakuisajili wizara ya ardhi inaweza kutumika?

    Naomba ushauri wa haraka kuhusu hili. Vyeti vyangu vyote mpaka chuo kikuu nina majina mawili. Kitambulisho cha Taifa kina majina matatu. Jina la kwanza na la mwisho kwenye NIDA ndio majjna yangu kwenye vyeti. Nina-apply kazi na inabidi niambatanishe hiyo Deed poll. Kule ardhi usajili...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Sheria na taratibu za umiliki wa ardhi Tanzania Bara

    SURA YA KWANZA HISTORIA YA MFUMO WA MILKI YA ARDHI Chimbuko na misingi ya mfumo wa umiliki na matumizi ya ardhi yaliyopo sasa umepitia katika vipindi vifuatavyo:- A. MFUMO WA MILKI YA ARDHI KABLA YA UKOLONI Katika kipindi hiki mfumo wa milki ulikuwa na sifa nne zifuatazo:- · Ardhi yote...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tusaidie; DED Monduli na RC wa Arusha wametupora fidia ya ardhi Makuyuni

    DED wa Halmashauri ya Monduli pamoja na RC wa sasa wa Arusha Idd Kimanta wamepora fidia ya ardhi kwa taasisi za dini ya Kikristo na Kiislam pamoja na mwanamke mmoja waliopitiwa na umeme wa Kilovolt 400 kutoka Singida -Namanga katika Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha. Mwaka...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wizara ya ardhi DSM iliamua kupima mbuga na mabonde yote ya kulima mpunga kuwa sehemu ya makazi?

    Ukizunguka mkoa wa Dar es salam! Maeneo yote yenye chemchem za maji ndiyo yaliyopimwa viwanja rasmi kwa ajili ya makazi ya binadam! Je; ni kwanini wizara iliacha kupima maeneo salama ikakimbilia kupima mashamba ya mpunga kuwa makazi? Mbezi beach yote, kunduchi, ununio na mbweni kote huku...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yapewa siku 14 kulipa kodi ya ardhi jumla ya Tshs milioni 77

    Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam ( kupitia Baraza la Ardhi na Nyumba) imeipa Klabu ya Simba muda wa siku 14 kulipa tshs milioni 77 kama fidia ya kodi ya ardhi vinginevyo mali za Klabu hiyo ikiwemo kiwanja cha Bunju kitashikiliwa au kitauzwa Utekelezaji wa agizo hilo...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kamishna wa ardhi mkoa wa Geita haonekani ofisini, anaishi mkoa wa Mwanza

    Mh. William Lukuvi, tunaomba utusaidie kumwajibisha kamishina wa ardhi mkoa wa Geita akae ofisi ahudumie wananchi. Mtumishi huyu amekuwa haonekani ofisini na anaishi mkoa wa Mwanza anafanyia kazimkoa wa Geita. Wananchi wanateseka kupata huduma kupitia ofisi yake na ukizingatia kuwa nafasi...
  19. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Nani aliyehisi tetemeko la ardhi tarehe 22 Machi, 2021 jijini Dar es Salaam?

    Hope mko njema, Binafsi jana nikiawa nimetulia kibarazanii mida ya saa mbili usiku nilihisi mtikisiko wa nguvu tu uliodumu kama sekunde 10 hivi. Sikutilia maanani maana nilikua nipo bize na simu ila nilihis kama tinga tinga la kushindilia lami limepita kwa ule mtikisiko Nikasema niingie ndani...
  20. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania UDSM, SUA, Ardhi Institute, Muhimbili, Mloganzila, UDOM and other relevant institutions please help us we have a serious pollution problem

    When I was young I could see kilometres away. Visibility was not a problem. You could see an iron sheet corrugated house miles away,and if you had good eyes, you could see even trees and vegetation on mountain tops and sides.Oh my,not any more. In the mornings, afternoons and evenings, it's...
Back
Top Bottom