Tuhuma nzito ya ufisadi wa kupora ardhi mpaka sasa haijajibiwa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Nashindwa kuamini kuwa mpaka muda huu hakuna hata mmoja wao miongoni waliotajwa aliweza kutoka hadharani kukanusha au kufafanua juu ya tuhuma hizi. Yaani hata ofisi zao zimeshindwa kuwatetea!

Swali la msingi hapa ni je, kama tuhuma ni za uongo, kwanini ichukue muda kujibu?

Tutaelewana tu mwaka huu.
 
Sio kila upuuzi lazima ujibiwe! Karagwe na mkoa wa Kagera kwa ujumla ardhi ipo ya kutosha na ndio sababu hapajawahi kuwepo na migogoro ya ardhi kama mikoa mingine, kuna mapoli mengi yanayohitaji uwekezaji!

Akili zako za umaskini ndio unaanzisha mada ya kijinga, kwa wenye akili tutanunua mashamba jirani na Mheshimiwa ili tufaidi miundombinu, huduma za ugani na masoko!
 
Nashindwa kuamini kuwa mpaka muda huu hakuna hata mmoja wao miongoni waliotajwa aliweza kutoka hadharani kukanusha au kufafanua juu ya tuhuma hizi. Yaani hata ofisi zao zimeshindwa kuwatetea!

Swali la msingi hapa ni je, kama tuhuma ni za uongo, kwanini ichukue muda kujibu?

Tutaelewana tu mwaka huu.
Magufuli ni smart hawezi kujishughulisha na taarifa za udaku
Au hujui kwamba Chato nzima katika watu wachache wenye Phd adimu Magufuli ni mmoja wao ?
 
Kwa Rais aliyeko madarkaani tuhuma nzito hivi haziwezi kupita bila kujibiwa.

This is too much.

Mr Lissu slow down please.
 
Magufuli ni smart hawezi kujishughulisha na taarifa za udaku
Au hujui kwamba Chato nzima katika watu wachache wenye Phd adimu Magufuli ni mmoja wao ?
Smart wapiiii na kiingereza hajui na wakati toka secondary hadi PhD mafundisho ni ya kiingereza?

Usmart wake huko wapi sasa? Ama kutuibia matrillion bila aibu ndio usmart?
 
Back
Top Bottom