ardhi

  1. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Waziri Ardhi na maendeleo ya makazi, Upimaji Viwanja wa MKURABITA Uangaziwe jicho sasa

    Wakuu, Hili ni bandiko la manung'uniko kuhusu Mkurabita upimaji viwanja na mchakato wa kupata hati. Wananchi wengi waliojengwa au kuuziwa viwanja kwenye maeneo ambayo yalikuwa bado kupimwa na serikali wanalalamika, wengine wamelipia ada ya shilingi 310,000/= tangu 2016, 2017 hadi leo hakuna...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Hii sasa ni kali. Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi" Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha Ardhi jiji la Dodoma kimeoza

    Inasikitisha sana kitengo hiki watu wanajifanya miungu watu na hawawezi kuguswa na mtu yeyeote, sasa Mheshimiwa Rais tunakuomba sana sie wakazi wa Dodoma jiji utusaidie sana maana watu wanaporwa ardhi na kuwapa madalali wauze na hivyo kuwafanya wananchi kujisikia kuwa serikali yao haiwajali...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa ni mzizi mrefu chini ya ardhi

    Hotuba ya mkuu wa taifa na yale tunayaona wenye akili tunajuwa Majaliwa ni mzizi mrefu sana chini ya Ardhi. Huenda muda utajibu haya niyasemayo, ila fuatilia uteuzi wa Pinda na kabla ya uteuzi wake. Kwa wale wazee wakusoma msg zinazojifuta mtakumbuka kabla ya uteuzi wa Lowassa Jina la Pinda...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kodi ya ardhi hulipiwa Halmashauri au Wizara ya Ardhi?

    Wakuu naomba mnijuze kuhusu hizi kodi za ardhi zinalipiwa wapi kwa sasa maana nikiingia kwenye website ya WIZARA Wana mfumo wa kulipia na huko HALMASHAURI wana utaratibu wao?
  6. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Investing/ A growing Dodoma: I think President JPM hajaeleweka kuhusu mapato ya ardhi na nyumba

    Greetings! Nia ya President JPM ya kuifanya Dodoma kuwa capital city kwa vitendo was great. Ninaomba afanikiwe. Jiji la Dodoma ni kubwa geographically na ni zuri ki-usalama na kwa serikali kukaa hapo tofauti na a notable commercial city like Dar. My intention is to advise the CiC kuhusu...
  7. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Kikongwe wa miaka 90 arejeshewa Ardhi yake

    Kikongwe wa miaka 90 arejeshewa Ardhi yake Baraza la Ardhi na Nyumba wilaya ya Mwanza, limefanikiwa kumrejeshea eneo lake kikongwe wa miaka 90 Anastazia Ndazi. Baraza hilo limemrejeshea eneo lake lenye ukubwa wa mita 60 (urefu) na upana wa mita 30 lililopo Bwiru Ziwani Ilemela mkoani Mwanza...
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GEITA: Afisa ardhi Agustino Sibeye mbaroni kwa kuwagonga na gari na kuwaua wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambilwa

    Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Afisa ardhi wilaya ya Nyangwale Agustino Sibeye kwa kuwagonga na gari wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambilwa na kufariki dunia wakati wakivuka barabara kuelekea shuleni. Kamanda wa polisi mkoa wa Geita Hanry Mwaibambe amesema afisa huyo wa ardhi...
  9. Johnyy

    JamiiForums Tanzania Nina 3.9 GPA Diploma nitapata Chuo cha Ardhi Bachelor of Science in Accounts

    Msaada wa mawazo nimehitimu dipl ya uhasibu TIA gpa inasoma 3.9 nitapata kweli Ardhi university b science Accounts.
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Lukuvi ajibu tuhuma za baadhi ya wanasiasa kujimilikisha ardhi. Asema umilikishwaji hufanyika kwa kuguata sheria na hakuna kiongozi aliyejimilikisha a

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amekanusha vikali kauli iliyotolewa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa kuwa kuna baadhi ya viongozi wamepora ardhi ikiwemo ardhi ya eneo la Mbarari mkoa wa Mbeya na kusisitiza kuwa kati ya viongozi waliotuhumiwa hakuna hata...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji kwenye ardhi ukoje

    Jamani wadau naombeni msaada naitaji kujua kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na viwanja sehemu gani zenye tija kwa uwekezaji huu hapa Tanzania kwa sasa.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tuhuma nzito ya ufisadi wa kupora ardhi mpaka sasa haijajibiwa

    Nashindwa kuamini kuwa mpaka muda huu hakuna hata mmoja wao miongoni waliotajwa aliweza kutoka hadharani kukanusha au kufafanua juu ya tuhuma hizi. Yaani hata ofisi zao zimeshindwa kuwatetea! Swali la msingi hapa ni je, kama tuhuma ni za uongo, kwanini ichukue muda kujibu? Tutaelewana tu mwaka...
  13. abagabo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

    Lissu akihutubia wananchi wa Manispaa ya Bukoba amedai Rais Magufuli amepora kiasi cha hekari elfu 25 maeneo ya Kihanga wilayani Karagwe mkoani Kagera. Magufuli tunaomba ujitokeze ujibu hoja hii. Naomba Magufuli nikukumbushe hilo eneo ni pale Kihanga wanapouzia maziwa, na siku hizi kuna ulinzi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania John John Mnyika mmea uliokosa Ardhi yenye rutuba

    Wanajamvi, Tunao wanasiasa ambao ukiwaangalia unaona kitu ndani yao. Binafsi, namuona John Mnyika Kama mwanasiasa wa upinzani asie na mawaa. I stand to be corrected. Hatahivyo, Mnyika kwasasa hayuko sehemu sahihi. Pamoja na kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA bado kwa jicho la ndani namuona John akiwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu ashtushwa na kitendo cha viongozi wakuu wastaafu kuhodhi ardhi kubwa sana na kupelekea migogoro ya wakulima na wafugaji nchini

    Katika hali ya kuendelea na wito wake wa kuliponya Taifa kupitia kusema ukweli mchungu, Ndugu Tundu Lissu amewaeleza wananchi wa Ifakara na Kilombero mshtuko mkubwa alioupata baada ya kufahamu ardhi kubwa sana ya mkoa wa morogoro kumbe inahodhiwa na viongozi wakuu wa nchi wastaafu. Lissu amesema...
  16. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Emmaus Bandekile akanyaga ardhi ya Zanzibar na kukemea hujuma na ukiukwaji wa haki katika Uchaguzi Mkuu

    Tarehe 7 Septemba 2020: Niliendelea kupaza sauti ili kutaka HAKI katika nchi. Nilionya na kutahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea kwa vurugu za kisiasa katika Visiwa vya Unguja na Pemba (Zanzibar) endapo Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) haitawarejesha Wagombea wa Upinzani walioenguliwa hasa...
  17. WaHapahapa

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya Ardhi Jijini Dodoma

    Mhe. Rais na mgombea wa Chama cha mapinduzi, kunajambo yawezekana wasaidizi wako wanakuficha kuhusu migogoro ya ardhi katika eneo la ngome ya CCM Dodoma. Kumekua na migogoro ya kutengenezwa na ile iliyokuwa CDA ambayo uliivunja mara moja ili kuondoa Migogoro ya ardhi jijini Dodoma, Lakini kitu...
  18. Homeboy255

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kufanya maombi Ardhi university

    Mbna hawanipi payment fee .. wanasema application pending
  19. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Watumishi ardhi Jiji Mwanza linawaliza wananchi viwanja

    Watumishi ardhi Jiji Mwanza linawaliza wananchi viwanja JIJI la Mwanza linatuhumiwa kudhurumu viwanja vya familia ya Marehemu Hassan Seif, Mkazi wa Nera wilayani Nyamagana mkoani Mwanza vilivyomilikiwa na familia hiuo tangu mwaka 1984. Viwanja vilivyochukuliwa na Jiji na kuviuza kwa watu...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Tutorial Assistant at Ardhi University

    ARDHI UNIVERSITY JOB VACANCIES Ardhi University has vacant position in the Academic cadre as indicated below. The University subscribes to the policy of an equal opportunity employer and therefore invites applications from candidates who are interested to work in a thriving University...
Back
Top Bottom