ardhi

  1. Chalikidunda

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Sheria ya Ardhi Serikali za Mitaa

    Samahani wanasheria wasomii, napenda kujua kuhusu sheria ya umiliki wa ardhi serikali la mitaaa, kwani tumekuwa tukiteswa na migambo na vuobgozi wa maendeleo kuhusu uharibifu wa mazibgira ,hata kama ukilima sehemu isiyokuwa ndani ya hidadhi wanakukamata na fine ni zaid ya laki 6. Napenda...
  2. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyoituhumu Tanzania akiwa ughaibuni, Lissu hatakiwi kabisa kukanyaga ardhi ya Tanzania

    The man is naive ameropoka toka mwaka Jana serikali haijamjibu chochote Amezunguka akihamasisha mabaya yote ya nchi serikali imekaa kimya Nadhani huyu jamaa anaichukulia poa sn Tanzania kwamba unaweza Fanya chochote bila kufanywa chochote . Jamaa anasahasau kwamba anaowategemea tuliwafurusha...
  3. Mkikuyu- Akili timamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Uganda wamekataa SGR ya Kenya na ardhi waliopewa bure huko Naivasha

    Wakuu, Ukajanja wa Kenyatta umekwisha. Hongera Museveni, wacha linchi la njaa na ukabila likule ujeuri wao. ======
  4. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja, ardhi au shamba Morogoro Manispaa

    NATAFUTA KIWANJA , SHAMBA , ARDHI MOROGORO MANISPAA Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, natafuta Kiwanja, Shamba au Ardhi ya kununua Morogoro Manispaa.Ardhi ninayohitaji iwe aidha imepimwa (i.e Surveyed land) au haijapimwa (i.e unsurveyed land or Squatter ), isipokuwa kitu cha...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kiti tunaomba na ardhi ya kuotesha miti

    Huu ni ubunifu wa kuvutia watalii. India vitu kama hivi vinauzika sana kwa watalii. Huu ni ubunifu wa Hispania kuwakutuma Miti ya mizeituni (olive)
  6. R

    JamiiForums Tanzania Lukuvi, mbona ofisi za kila mkoa ulizozifungua kumaliza taratibu za umiliki wa ardhi hazifanyi kazi? Bado tunalazimika kwenda ofisi za Kanda na Dar

    Ulitutangazia na tukakuona kwenyeTv ukisema kuwa process/procedure zote za umiliki wa ardhi ( kiwanja/viwanja) zitamalizwa na mkoa (ulianzisha ofisi za ardhi kwa baadhi ya mikoa) bila kwenda Dar/ Moshi/Mwanza kwenye kanda kama taratibu za zamani zilivyo kuwa. Leo naona bado utaratibu wa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Sasa migogoro ya wakulima na wafugaji imekomeshwa

    Hivi ni kweli kwamba migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji sasa imeisha,au labda vyombo vya habari vinaogopa kureport kwakua rais alisha piga mkwala kwamba vina uhuru "but not to that extent". Kama bado ipo na vyombo vya habari vinaogopa kureport nini hatima yake na kama kweli...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe yafanya toba kwa mabeberu. Yatunga sheria ya kurudisha ardhi iliyoporwa na utawala wa Mugabe.

    Zim to give back farms taken under land reform programme 20:20 10/03/2020 Crecey Kuyedzwa Zimbabwe has announced plans to give back land controversially taken over under its controversial fast track land reform programme, which started in 2000. The programme, which was criticised for being...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya ardhi:Kati ya mikaba na sheria ya ardhi,kipi hutumika kuamua migogoro/mashauri yanayohusu ardhi katika vyombo vya kutoa haki?

    Hivi katika utatuzi wa migogoro ya ardhi au mashauri ya ardhi katika vyombo vya kutoa haki(mabaraza ya ardhi na mahakama) kipi hutumika katika kufanya maamuzi? Kwa maneno mengine,inapotokea mikabata ya watu kuuziana ardhi au watu kuweka ardhi rehani ili kupata mkopo,n.k na baadae ukaibuka...
  10. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kericho: Kaka amuua dada yake Mjamzito kwa sababu ya kugombea ardhi

    Caroline who was three months pregnant was injured while trying to stop a fight between her brother and her uncle who were fighting over a parcel of land. The area chief says the suspect arrived home while drunk and armed himself with a panga before proceeding to wake his uncle who he was...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbowe alipokuwa anaingia viwanja vya Bomang'ombe - Ardhi yatikisika, Umati ni mkubwa kuliko maelezo!

    Wakuu wakati mwingine tunaandika humu JF hadi tunashindwa kueleza , Kiukweli haya mambo sometimes hayaelezeki . Tunaomba radhi sana kwa tunaowakwaza kwa habari zetu hizi motomoro za Mbowe na Chadema , hatuwezi kuficha , maana kuna msemo wa kiswahili unasena hivi , Kizuri kula na nduguyo
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mzee auawa kisa mgogoro wa ardhi, watano mbaroni wakihusishwa na mauaji hayo

    JESHI la Polisi mkoani Tabora linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kumuua mkazi na mkulima wa kijiji cha Wita, Kata ya Ndala Wilaya ya Nzega mkoani hapa, Andrea Kipela (72) chanzo kikiwa ni mgogoro wa ardhi. Akizungumza katika mkutano wa hadhara kati ya wananchi wa kijiji hicho na Kamati ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hawa wananchi wa Chato waliolima bangi kwenye ardhi waliyopewa na Rais wachukuliwe hatua stahiki

    Imeripotiwa na luninga ya ITV kuwa baadhi ya wananchi waliopewa ardhi na Rais Magufuli kwa ajili ya kilimo cha mazao ya chakula wao wamepanda bangi. Mkuu wa wilaya ya Chato na kamati yake ya ulinzi na usalama imewalazimu kuvamia mashamba hayo na kuwashurutisha wale waliolima bangi waing'oe na...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi atekeleza agizo la Rais Magufuli, aikabidhi Halmashauri ya Kigamboni ekari 715 za ardhi

    Waziri wa ardhi mh Lukuvi leo ametekeleza agizo la Rais Magufuli kwa kuikabidhi halmashauri ya Kigamboni ekari 715 zilizokuwa za Quality group iliyozimiliki kupitia International Village ltd. Rais Magufuli alitoa siku 7 kwa Waziri Lukuvi awe ameikabidhi ardhi hiyo kwa halmashauri ya Kigamboni...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Wizara ya Ardhi imeshindwa kutatua kero za wapangaji nchini?

    Zaidi ya asilimia 80 ya wananchi hasa mijini wanaishi nyumba za kupanga. Kwa mji kama DSM ambapo bado kuna uhitaji mkubwa wa makazi bora, watu hutumia zaidi ya robo ya vipato vyao kulipia kodi za nyumba kila mwezi, lakini cha kushangaza, serikali haioni unyeti wa kuingilia na kusimammia sehemu...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Mabaraza ya Mawaziri

    Juzi kwenye maadhimisho ya siku ya sheria, Mh. Rais pamoja na mambo mengine alizungumzia matatizo ya Mabaraza ya Ardhi na Nyumba (ya Wilaya) na baadaye akatoa rai kwa Jaji Mkuu kutazama namna ambayo Mahakama inaweza kusimamia Mabaraza haya ili kukabiliana na malalamiko ya migogoro ya ardhi...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu 46 wafariki kafuatia maporomoko ya ardhi yalaiosababishwa ba mvua kali Brazil

    Mvua kali zilizonyesha nchini Brazil zimepelekea maporomoko ya ardhi ambayo yamesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu. Watu 46 wafariki katika maporomoko ya ardhi yaliosababishwa na mvua kali zilizonyesha nchini Brazil. Kiongozi wa kitengo kinachohusikana na usalama wa rais katika eneo la...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi la ukubwa wa 6.7 Elazığ Uturuki

    Watu 14 wafariki katika tetemeko la ardhi katika eneo la Mashariki mwa Uturuki. Tetemeko la ardhi ambalo lilikuwa na ukubwa wa 6.7 katika kipimo cha Richter limetokea Elaziğ na kusababisha vifo vya watu 14 na kuwajeruhi watu wengine zaidi ya 300. Tetemeko hilo limetokea majira ya saa mbili...
  19. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Israel: Ujenzi wa mfumo mpya wa ulinzi wa chini ya ardhi

    Israel imeanza hii leo kuchimba eneo la mpaka wake na Lebanon kwa ajili ya kufunga mfumo wa kujilinda utakaopita chini ya ardhi hii ikiwa ni mujibu wa jeshi la nchi hiyo. Luteni kanali Jonathan Conrius amesema kwenye mfumo huo kutafungwa vifaa vya kutambua shughuli zozote za uchokozi. Amesema...
  20. peter msuku

    JamiiForums Tanzania Jamii masikini yenye ardhi tajiri (Msangano Momba)

    JAMII MASKINI KWENYE ARDHI TAJIRI (MSANGANO MOMBA) BY MSUKU PETER UTANGULIZI Umasikini. Ni hali ya ukosefu wa mahitaji ya msingi ya binadamu kama vile malazi, mavazi na chakula. Lakini pia maji safi na salama, huduma za afya, kutokana na kukosa uwezo wa kununua au kulipia. Hii pia...
Back
Top Bottom