ardhi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Iramba wanunua kifaa cha kisasa cha upimaji ardhi na urasimishaji makazi

    Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda siku ya Septemba 23, 2021 amezindua kifaa cha kisasa cha upimaji wa ardhi kiitwacho DGPS S86 RTK chenye uwezo wa kutembea Km 30. Akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa kifaa hicho, Mhe Mwenda aliwapongeza kwa pamoja Mwenyekiti...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wanasheria nisaidieni kuhusu issue hii ya Ardhi na District Council authorities

    1. Je mamlaka za wilaya kama District councils, City/Municipal councils district and Town councils ana mamlaka nyingne za aina hiyo kwenye ardhi zinaruhusiwa kuingia kwenye unsurveyed land na kufanya mapimo kama vile kutenga barabara, au kufanya jambo lolote bila mhusika kuwa consulted? 2...
  3. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Kihongosi asema tatizo la Migogoro ya Ardhi kwa wakulima na wafugaji limepungua Nchini

    ZIARA TUNDURU Kihongosi asema tatizo la Migogoro ya Ardhi kwa wakulima na wafugaji limepungua Nchini. Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Kenani Laban Kihongosi (MNEC) amesema tatizo la Migogoro ya Ardhi Sasa limepungua kwa Kasi hivyo niwaombe wananchi wenzangu wale wafugaji ambao wanavamia...
  4. ngotho

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya chuo kikuu cha ardhi

    Wakuu, mdogo wangu amechaguliwa vyuo zaidi ya kimoja, chuo cha ardhi kikiwemo, lakini toka asubuhi mpakaa saiv (saa tatu usiku) akijaribu ko-login inakataa.. alitaka ku-confirm hicho chuo cha ardhi lakini ndo ivoo. Wahusika tunaomba mtusaidie.
  5. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Je, mwekezaji anaruhusiwa kununua ardhi kwa wananchi au sheria ni utwaaaji?

    Habari wadau, Wajuzi wa sheria naomba mnipe vifungu vinavyoruhusu mwekezaji kuruhusiwa kununua mwananchi mmoja mmoja na kuwaondoa kijiji kizima kwa muda usiotabirika (Buyer to Seller). Binafsi natambua kwamba mwekezaji akiitaji ardhi ya wananchi anapaswa kulitwaa na kuwaondoa wote kwa pamoja...
  6. Malaika Gabrieli

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi Arusha, kuna mwingine alilihisi?

    Habari wanafamilia wa JamiiForums. Muda 3:48 am kishindo cha kasi sana/ tetemeko la ardhi limepita maeneo ya Arusha. Je, kuna yeyote aliyepo Arusha amelisikia?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mabaraza ya ardhi na nyumba ya Wilaya ni shida tupu

    Shida zenyewe ni hizi: 1. Yana Mwenyekiti mmoja ambaye anaweza kuwa anahandle kesi za wilaya kama 3 mfano Tanga DLHT kama sikosei (stand to be corrected) ana cater for, Korogwe, Pangani, Kilindi kuna Mwenyekiti mmoja. Backlog ni kubwa kiasi mtu case inapigwa kalenda/tarehe miezi sita!/mitatu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ardhi yenye Ubora

    Kama binadamu inabidi atunzwe au ajitunze kuendelea kuwa hai ndivyo hivyo hivyo ardhi inahitaji matunzo kuweza kuwa hai, uzalishaji mzuri wa mazao katika eneo lako ulilolima ni ishara ya kuwa ardhi yako ni hai. Kuhakikisha ardhi yako inakuwa hai usitumie sana mbolea za viwandani ukasahau mbolea...
  9. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Serikali itumie Tozo ya Mitandao ya Kijamii kwa ajili ya kupanga miji na kupima Ardhi

    Habari zenu. Nimesikia Waziri wa fedha anapanga kutafuta namna ya kupata tozo kwenye mitandao ya kijamii. Kama hili likiwezekana natoa ushauri kwa serikali kutumia fedha hizo kuunda wakala wa Ardhi na mipango miji. Kazi hii imekuwa inafanywa na Halmashauri lakini zimeshindwa kupima viwanja...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa kwanza wanaripoti UDsm na Ardhi lini?

    Habari wadau. Mwaka wa kwanza wanaripoti chuo lini?
  11. MC44

    JamiiForums Tanzania Geita: Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa Richa 4.8 latikisa

    Limepita saa hii 05:38am na kudumu kwa sek 10 hv. Sijui maeneo mengine vipi.
  12. okiwira

    JamiiForums Tanzania Vitu gani ambavyo huzingatiwa ili ulipie kodi ya ardhi?

    Vitu gani ambavyo huzingatiwa ili ulipie kodi ya ardhi? Mfano miji mingi ambayo ndo inaanza kukuwa wengi hawajapima viwanja vyao. Je, mimi binafsi nikitaka kuanza kulipia nahitajika nipitie wapi ili nianze kulipia kiwanja changu ambacho hakina nyumba?
  13. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Temeke jitokezeni muwape ufafanuzi juu ya utwaaji ardhi unaonekana ni wa kiholela unaondelea kwa baadhi ya maeneo

    Habari wadau..! Napita pita zangu baadhi ya mitaa ya Temeke,Chang'ombe,Vetenary,Keko kote huko kuna harakati za watu kuhamishwa makazi yao wengine wanavunja nyumba zao wanakubali kupokea pesa kidogo kutoka kwa watu wanaozaniwa wawekezaji pia kuna baadhi ya watu wanawatisha wenyeji wenye nyumba...
  14. Dr. Wansegamila

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa wilaya ya Mlimba, Morogoro wachoma magari na vifaa vya wapima ardhi

    Wananchi wenye hasira wamewashambulia watumishi wa Ardhi kutoka wilaya ya Mlimba na kuchoma magari, pikipiki pamoja na vifaa vyao vingine wakati wakiendelea na zoezi la uhakiki wa mipaka ya mashamba yanayogambaniwa na muwekezaji na wananchi wilaya ya Mlimba, Morogoro. Watumishi wa ardhi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Waziri wa Ardhi wa kudhalilisha wawekezaji umepitwa na wakati. Akumbuke hii awamu ya 6

    Leo Waziri Wa Ardhi alimwita mwekezaji Bagamoyo na kumdhalalisha mbele ya Wananchi.Inawezekana huyu mwekezaji ni mkosaji lakini utaratibu huu umekufa katika awamu hii ya 6. Utaratibu huu ni kutaka kuzijolea sifa tu,kwani angewaeleza wananchi kuwa suala la mwekezaji na watendaji wake...
  16. D

    JamiiForums Tanzania SoC01 Matumizi Bora ya Ardhi kwa Maendeleo endelevu

    UTANGULIZI: Tanzania ni miongozi mwa nchi za bara la Afrika zinazopatikana kusini mwa jangwa la Sahara, pia ni miongoni mwa nchi zinazoendelea kiuchumi duniani. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa rasilimali nyingi ambazo ni pamoja na ardhi yenye rutuba, bahari ya Hindi, maziwa makubwa na madogo...
  17. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana kutumia ardhi kubwa tuliyonayo kwa Kilimo

    Habari JF, Tanzania kama zilivyo nchi nyingine tatizo la ajira limekua sugu kwa vijana . Takwimu zinaonyesha kundi la vijana linaongezeka; kutakuwa na ongezeko la vijana kufikia million 15 kufikia mwaka 2030 tofauti na sasa ambapo idadi ni million 11. Hili ongezeko la vijana linaweza kuwa na...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nyerere: Ili nchi iendelee inahitaji Watu, Ardhi, Siasa safi na Uongozi bora

    Nasoma moja ya vitabu vilivyoandikwa na hayati Julius Kambarage Nyerere, kwa kweli vimejaa hekima na busara. Naipima Tanzania na vigezo vya maendeleo alivyoainisha Mwalimu Nyerere kwamba ni watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Bado sijajua Tanzania tunakosa nini katika hivyo vinne! Je...
  19. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mgogoro wa ardhi baina ya kanisa la Christ Synagogue Ministries na mjane yaunguruma Arusha

    Kesi ya Mgogoro wa Ardhi baina ya Kanisa la Christ Synagogue Ministries lililopo Sakina jijini Arusha na wasimamizi wa mirathi Bernadette Changuru na Samweli Changuru imeahirishwa hadi Agosti 11 mwaka huu. Shauri hilo namba 57/2021 linasikikizwa na Baraza la Ardhi na Nyumba la wilaya ya...
  20. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tumia ARDHI kwa njia hii kukabiliana na changamoto ya ajira nchini

    Haka kajamaa kakajengewa hata sanamu DSM kule city centre ama hata Dom. Yupo vizuri, sema nimegundua sio muandishi mzuri lakini ana vision. Halafu ukute ni jobless hahahahahaha ndio atajua hajui. Am joking guys! Ametoa madini si mchezo yaani. Kila mtu ajisomee PDF hapo down. Nina wasiwasi...
Back
Top Bottom