Akili ni neno pana sana ambalo linarejelea uwezo wa kiroho na kiutendaji wa ubongo wa binadamu (au kiumbe hai) kufikiri, kuelewa, kujifunza, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi.
Kwa lugha rahisi, wakati ubongo ni kiungo kinachoonekana ndani ya kichwa (physical organ), akili ni matokeo ya utendaji kazi wa huo ubongo (mind/intellect).
Neno hili hutumika katika mazingira mbalimbali na linaweza kubeba maana zifuatazo kuu:
Uwezo wa Kujifunza na Kuelewa (Intelligence): Hili ni lile kundi la akili la darasani au uwezo wa ubongo kuchakata taarifa mpya haraka. Mfano, tunaposema "Mwanafunzi yule ana akili sana," tunamaanisha ana uwezo mkubwa wa kuelewa masomo na kufaulu.
Busara, Hekima, na Utambuzi (Common Sense): Hii ni uwezo wa mtu kupambanua kati ya jema na baya, na kufanya maamuzi sahihi katika maisha ya kila siku. Mtu anaweza asiwe na elimu kubwa, lakini akawa na akili ya maisha. Mfano: "Jambo hili linahitaji akili, siyo nguvu."
Mbinu, Ubunifu, au Ujanja (Ingenuity/Tact): Huku ni kutumia uwezo wako wa kufikiri kutafuta njia mbadala ya kutatua changamoto ngumu au kujiokoa katika mazingira magumu. Hii mara nyingi huitwa "akili ya kuzaliwa".
Hali ya Ufahamu (Consciousness/Sanity): Akili pia inamaanisha hali ya mtu kuwa sawa kiufahamu bila kuwa na matatizo ya mtikisiko au magonjwa. Mfano, tunaposema "Amepoteza akili," tunamaanisha amepata tatizo la afya ya akili (kuchanganyikiwa) au amelewa kiasi cha kutojitambua.
Chalamila badala ya kwenda kuhutubia na kujitamba kwa abiria Ubungo, Shekilango na Kigamboni kwamba mshahara wake unamtosha ameenda kuhutubia kwa vibaka, makuli na wapiga debe wa stendi ya Mbezi Magufuli ambao sio walengwa wa usafirishaji.
Kama Chalamila anafikiri ana akili sana aende Ubungo...
ONYO KWA WAFIA DINI ZA MELI: Andiko hili halitawapendeza hata kidogo na linaweza kuwakwaza sana. Kama huna uvumilivu wa kutosha kusikia ukweli unaochungu kuhusu imani mlizozikumbatia kwa upofu, na kama akili yako haiko tayari kuchambua mambo kwa kina, nakushauri upite mbali na uzi huu. Hapa...
Naamini MACHAWA WOTE wana akili timamu,ila wameamua KUJITOA AKILI,kujizima data,kujitoa ufahamu kuna machawa wamesoma vyuo vikuu,wengine ni maprofesa kabisa
Usifikiri hawa wanaoposti hapa UCHAWA UCHAWA ni kwamba wao hawana akili timamu au hawaoni,ni watu walioamia KUTUMIKA wakiwa na akili zao...
Kama inavyoonekana hapa Gen Z uwezo wenu wa akili umethibitika kuwa ni mdogo na hiyo ipo wazi tunaiona hata kwenye maisha ya kila siku. Hata hivi juzi kuna mhadhiri wa chuo kikikuu cha Dar es Saalam alieleza pia.
Hivyo mnatakiwa mtuheshimu sana sisi kaka na dada zenu Millennial.
This major...
Kukamatwa kwa Nabii Tito ni Ishara tosha kwamba Polisi wanatumilka Kisiasa.
Mwaka 2018 Polisi walimkamata Dodoma, Halafu wakampeleka Mirembe, kisha wakamuachia eti ana matatizo ya akili. Kipindi hicho alikuwa anaisifia CCM.
Alipoanza kusema CCM na Samia ni wauaji wa Oktoba 29 mwaka 2025...
Ukimuuliza Atheist " Hicho kitanda ulicho lalia kimetengenezwa au kimetokea tu chenyewe? " . Atakujibu kimetengenezwa na mtu.". Haya sasa muulize " Huyo mtu alie tengeneza hicho kitanda unamjua au umewahi kumuona au ulimuona wakati anakitengeneza? .. Atakwambia " Sijawahi kumuona".
Muulize tena...
Acha Kiherehere cha Kutaka Kuona Yasiyoonekana
Utazika Furaha Yako Milele!
Watu wengi mpo hai na mna amani kwasababu tu Mungu amewaziba macho msione uchafu na uozo unaowazunguka.
Mnaishi kwenye uongo wa kutengenezwa na ndio maana mnakula, mnalala na kucheka. Lakini kuna wajinga fulani wana...
Watu wengi huamini mtu mwenye vyeti vingi vya shule ndiye mwenye akili,lakini mimi naamini akili ni zaidi ya kumiliki vyeti vya shule.
Mgogoro wa Simba ni mfano mzuri kuonesha watanzania wengi,hususan walio kwenye media na wanaojitokeza sana kuzungumza,hawana akili kabisa.
Sijasikia mtu hata...
Ukisikiliza speech ya tajiri namba moja,unaona mtu kilaza sana ambaye unaweza kudhani hakupita hata shule yoyote.
Jambo hili linanifanya niamini utajiri ni majaliwa ya Mungu tu,na ukishaupata,unautumia utajiri wako kudhulumu watu ili uzidi kuwa tajiri.Na uzuri unapata machawa ambao ndio watakupa...
Wenye Akili tupo na huenda tunajiona tuna Akili Kila mmoja katika Fani yake, ila ukweli ni kua, hata katika Fani yako wewe mwenye Akili, Kama Lissu naye angekua hapo ulipo, Angeifanya kwa Uwezo Mkubwa sana na waajabu Kiakili !!.
Kama Kuna Mtanzania alikua bado ana mashaka na uwezo wa Akili ya...
Historia bila hiyana imeweza kutunza kumbukumbu nyingi za utu, nguvu na bidii za jamii ya Waafrika. Historia inapotaja ustaarabu wa mwanzo wa Mtu haijaacha kuitaja Afrika. Mabaki ya mifupa ya mtu wa kale zaidi yanathibitisha ukweli kuwa ukongwe wa Jamii ya binadamu una asili katika eneo hili...
Mlokole mwenzangu sikiliza!
1. Bibilia inaposema , "usizini", inawataka watu wasizae watoto hovyo hovyo ili waje kuteseka duniani bila matunzo. Bibilia haisemi kazini/kujamiiana ni kitu kibaya bali inakuambia kuzaa watoto usioweza kuwalea ni kosa maana watateseka. Amri hii imewekwa ili...
Nasikitika kusema kuna mashabiki maarufu kama influencer wa Simba hawana akili timamu na nikama hayawani mmoja anaitwa nyumbu.
Rais Samia ndiye huyu mlimzomea kwenye Simba day mwaka jana,leo mnajitoa akili eti mnaenda kushitaki viongozi wenu?
Nyumbu ni mnyama ambaye akikimbizwa na Simba na...
“Kuna minyororo ambayo haionekani kwa macho, lakini humfunga mtu kuliko chuma.
Minyororo hiyo ni hisia.”
Moyo unataka kile kinachokufurahisha leo.
Akili inapaswa kujiuliza: “Hiki ninachotaka leo, kitanigharimu nini kesho?”
Ndiyo maana mtu anaweza kujua kabisa kwamba jambo fulani linamuumiza...
Dada yangu alipoteza akili zake baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume X
Nasema hivi kwasababu kabla ya hapo alikuwa vizuri , alikuwa akipangilia mshahara wake kutimiza malengo yake kama kuanzisha biashara, kujenga nk
Lakini punde si punde akapata mwanaume X wakapendana kwa kadri...
Mimi leo ndo napata majibu ya kwanini zamani tulikuwa tunaona watu wana-staff hawana nyumba Wala kiwanja licha ya kuwa walikuwa na vyeo vikubwa sana serikalin/private sectors.
Baadhi ya Sababu za mtu kushindwa kujenga kipindi cha utumishi ni:
• kuwa na boss asiyeamini kwenye uwekezaji wa...
Umasikini wa kipato umetajwa kuwa kichocheo kikubwa cha migogoro katika familia na hatimaye kusabaisha msongo wa mawazo na changamoto za afya za akili.
Hayo yameelezwa Agosti 6, 2026 katika mkutano wa tathini ya matokeo wa mradi wa unasihi wa busara, Faraja na Ustawi uliofanywa kwa miezi sita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.