Makonda amekonda akili.

Makonda amekonda akili.

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,644
Reaction score
65,141
Akili yenye afya ingemwelekeza kujenga akademi za mpira walau 5 tu nchi nzima, halafu akawa anaweleta hao wacheza mpira wa zamani kuja kuwatia hamasa vijana kwenye hizo akademi za mpira.

Anachokifanya sasa hivi ni kuwafanya hao wachezaji kuwa twiga wa maonesho . Maana wanakuja ili tuwatazame lkn hawaachi chocbote cha maana.

Au Makonda kaamua kutengeneza mfereji wa upigaji kupitia hiyo wizara uchwara isiyokuwa na mcchango wowote hapa nchini tangu tupate uhuru?
 
Sasa wewe unataka kwenye b500+ ya bajeti tupateje 0.1 yetu?
 
Akili yenye afya ingemwelekeza kujenga akademi za mpira walau 5 tu nchi nzima, halafu akawa anaweleta hao wacheza mpira wa zamani kuja kuwatia hamasa vijana kwenye hizo akademi za mpira.

Anachokifanya sasa hivi ni kuwafanya hao wachezaji kuwa twiga wa maonesho . Maana wanakuja ili tuwatazame lkn hawaachi chocbote cha maana.

Au Makonda kaamua kutengeneza mfereji wa upigaji kupitia hiyo wizara uchwara isiyokuwa na mcchango wowote hapa nchini tangu tupate uhuru?
Kuna fursa ya upigaji ameigundua katika kuwaleta hawa watu maarufu na kwa vile anajua Samia hapindui kwake anafanya anavyotaka haguswi kabisa.
 
Akili yenye afya ingemwelekeza kujenga akademi za mpira walau 5 tu nchi nzima, halafu akawa anaweleta hao wacheza mpira wa zamani kuja kuwatia hamasa vijana kwenye hizo akademi za mpira.

Anachokifanya sasa hivi ni kuwafanya hao wachezaji kuwa twiga wa maonesho . Maana wanakuja ili tuwatazame lkn hawaachi chocbote cha maana.

Au Makonda kaamua kutengeneza mfereji wa upigaji kupitia hiyo wizara uchwara isiyokuwa na mcchango wowote hapa nchini tangu tupate uhuru?
kukosa hoja ni umaskini mbaya sana aise,
na unaoweza kumfanya mtu akawa lofa hivi hivi tukishuhudia.

Mwenyezi Mungu Bariki wadau wote wa JF
 
Kwani budget ya kuwaleta hawa wachezaji wa zamani inatoka wap?

Kama inatoka kwenye kodi za wananchi anatukosea sana ambao hatupo CCM

Maana kwa wao wenyewe ni sawa tu chochote wanachofanya ila kwa sisi ambao hatupo CCM ni matusi makubwa sana
 
kukosa hoja ni umaskini mbaya sana aise,
na unaoweza kumfanya mtu akawa lofa hivi hivi tukishuhudia.

Mwenyezi Mungu Bariki wadau wote wa JF

Najua hata ww mwenyewe kimya kimya unaungana hoja zao

Kweli gharama za kuwaleta hawa watu ni kubwa sana, kuanzia tickets mpaka kuwaweka just for show off

Hatuna tofauti na mtu ambae anaenda kukodi gari aonekane tajiri

Tunatumia maela meeeeeeeeengi kwa show off

Then mkutano wa waziri mkuu unatuumbua
 
hakuna haja kufanya mambo kimya kimya humu jukwaani,
uoga wako ndio umaskini wako,

watu mashuhuri na maarufu duniani kote wataendelea kualikwa na kuletwa nchini hata ikibidi kwa gharama za serikali kama mkakati wa kiuchumi wa kuvutia uwekezaji, utalii na kuchochea hamasa kwa vijana kujituma zaidi katika kazi zao za ubunifu au michezo na kujifunza maarifa zaidi na mbinu mpya za mafanikio kutoka kwa hoa watu mashuhuri waliofanikiwa na ambao leo hii dunia nzima inatambua mchango wao kijamii, kisiasa na kijamii,

Taifa letu halitababaika na chuki nonsense ndogondogo kama zako gentleman
 
Au Makonda kaamua kutengeneza mfereji wa upigaji kupitia hiyo wizara uchwara isiyokuwa na mcchango wowote hapa nchini tangu tupate uhuru?
Lengo lake kuu nadhani lipo kwenye haya maelezo yako hapo juu. ☝️
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom