Unajenga nyumba ya milion 300 ili upangishe laki 3, ni akili au matope?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,589
Reaction score
38,740
Tubuni njia nyingine za kuwekeza, kwenye mijengo ni kutupa pesa.
Ukishapata kimjengo cha kuishi achana na show offs ati unamiliki mijengo mingi

Ili kurudishwa milion 300 itachukua muda wa miaka 83.
Hapa hujahesabu gharama za ukarabati na muda mwingine wapangaji hakuna

Miaka 83 ni mingi mno washikaji duuuh
Miaka 83 unasubiri kupata m 300
 
Bila hata kupepesa macho na kuwaza sana HAYO NI MATOPE
 
Jengo la 300m leo litakuwa na thamani ya Tsh ngapi baada ya miaka 5? Kwa akili kama hizi wengi mtachelewa sana kupata maendeleo. Ukinunua ardhi ya milioni 2 leo huko vijijini ukaiendeleza kwa kujenga kijumba itapanda thamani na kuwa mamilioni mengi baada ya miaka 5. Ukienda na hesabu za kodi ya pango utachelewa sana.
 
Umejenga leo kwa ml 20 baada ya miaka 5 unaiuza ml 80 bado sijatengeneza faida?
 
Tubuni njia nyingine za kuwekeza, kwenye mijengo ni kutupa pesa.
Ukishapata kimjengo cha kuishi achana na show offs ati unamiliki mijengo mingi

Ili kurudishwa milion 300 itachukua muda wa miaka 83.
Hapa hujahesabu gharama za ukarabati na muda mwingine wapangaji hakuna

Miaka 83 ni mingi mno washikaji duuuh
Miaka 83 unasubiri kupata m 300
Genge la mnaojiita washauri wa mausal ya pesa mmezidi.

Pumbavuuuuuuu
 
Back
Top Bottom