Kutokana na mambo ya AI kwasasa mambo mengi sana ya kitaaluma yanabadilika na yatabadilika kabisa. Je, kwa mtu mwenye taaluma ya mambo ya MATHEMATICS na DATA kiasi, na akataka kutafuta eneo la kubobea kwa kujifunza mwenyewe na kujisomea kupitia online-platform. Unaweza kumshauri nini kwa yafuatayo.
1. Ni eneo lipi la kujifunza/kujisomea ili kuendana na mabadiliko ya teknolojia na Al. (kwa kiasi kikubwa liwe halitaathiriwa na AI).
2. Ni kupitia platform zipi anaweza kufanikiwa hilo, platform zinazotoa elimu kwa mtiririko mzuri (kama syllubus) na mwisho wa syllabus kupata utaalamu mkubwa kuhusu eneo analotaka kubobea.
3. Ni platform zipi anaweza kujifunza/kujisomea kwa mtiririko mzuri (kama syllubus) na kupata utaalamu mkubwa kuhusu matumizi na jinsi ya kuitumia AI (kuwa na ubobevu fulani kuhusu mambo ya AI).