BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,188
- 14,346
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mannara ameandika ujumbe huu baada ya kuona wimbo wa Dulla Makabila,
"Ukijiendekeza utajipiga kitanzi kweli ww shauri yako
Ok nna jirani yangu anatafuta Mume njoo nikulipie mahari usonge mbele.
Najua utaacha kubweka bweka mitandaoni bro
Ahadi zetu Wanaume ni zile zile kumi!!
1- ukiacha acha kweli
2-ukiachwa achika
3-kata Mti Panda Mti
4-Tafuta aliye bora kumzidi
5-Tafuta pesa hawa wamejaa kibao
6-Mwanamke haliliwi
7-kuwa na Moyo mgumu kama chuma
8-Mahaba yasikuhangaishe
9-Ndoa haijengwi kilingeni au kwa Waganga coz uchawi unaisha!!
10- Ishi na anaekupenda sio unaempenda!!! - Aliandika HAji Manara