Nape adai Januari Makamba ana akili sana

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
9,579
Reaction score
14,316
Screenshot_20260516_042813_Instagram.jpg

Akihojiwa kwenye podcast ya Omari Kashera/Salma Dakota amedai hivyo.

"Ukimpima nyani kwa kigezo cha kupanda miti, utadhani kobe ni mzembe na nyani ni genius."
 
Jazia jazia zaidi
Sifa za Nape Nnauye kwa Januari Makamba zimeacha maswali mengi kuliko majibu. Nape anapomnyanyua Makamba na kumwona ana akili sana, anashindwa kutambua kuwa viwango vyake vya kupima akili vimeshuka thamani. Hii inathibitisha uhalisia wa kisiasa kuwa upeo wa mtu hupimwa na wale wanaomzunguka. Nape anajidanganya kwa kuamini kuwa ujanja wa maneno ndio ubeba akili kubwa. Hakika, kwenye kijiji cha vipofu, mwenye chongo ndio rubani wao. Nape amepofushwa na siasa za kujuana kiasi cha kuona uwezo wa kawaida wa Makamba kama jambo la kipekee duniani
 
Kwa wakongwe wanakumbuka ile sherehe ya kifamilia ya makamba, jekee na huyu jamaa, baba yake makamba alisema kbs wao ni ndugu na baba nnauye aliwakabidhi yeye na jekee wamlee na kila watakapokuwa watainuana so huu ni wito sasa wa kuishtua mamlaka kwa kumtenga kaka yake wa hiyari
 
Kiukweli mwamba anaakili sana tena sana ila kwa vile yupo CCM .. mm binafs ukiwa CCM hata kama una akili automatically unakuwa hauna akili

Yaani ukiwa CCM kama mwanamke hata kama una akili plus nyashi.. ukinitaka nakukataa
 
Kiukweli mwamba anaakili sana tena sana ila kwa vile yupo CCM .. mm binafs ukiwa CCM hata kama una akili automatically unakuwa hauna akili

Yaani ukiwa CCM jama mwanamke hata kama una akili plus nyashi.. ukinitaka nakukataa
Usiingizwe mkenge na Nape ukahisi anasema kweli. Huyo anaangalia hatimae yake 2030, na baba January shamwambia January, akifanikiwa asimsahau Nape.
 
View attachment 3589373

Akihojiwa kwenye podcast ya Omari Kashera/Salma Dakota amedai hivyo.

"Ukimpima nyani kwa kigezo cha kupanda miti, utadhani kobe ni mzembe na nyani ni genius."
Makamba amekuwa Mbunge miaka 20.

Amekaa Ikulu miaka 10.

Amekuwa waziri miaka 20.

Hana LEGACY wala chochote cha kukumbukwa.

Hizo akili alikuwa anazitumia wapi, KWENDA KUNYA???
 
Makamba amekuwa Mbunge miaka 20.

Amekaa Ikulu miaka 10.

Amekuwa waziri miaka 20.

Hana LEGACY wala chochote cha kukumbukwa.

Hizo akili alikuwa anazitumia wqpi, KWENDA KUNYA.
Samia alimuachia wizara ya Nishati kuanzia 2021 hadi alipomtoa, aliingiza nchi kwenye load shedding ya umeme kama ile ya 1993. Kipara hana nywele na hana akili pia
 
Sifa za Nape Nnauye kwa Januari Makamba zimeacha maswali mengi kuliko majibu. Nape anapomnyanyua Makamba na kumwona ana akili sana, anashindwa kutambua kuwa viwango vyake vya kupima akili vimeshuka thamani. Hii inathibitisha uhalisia wa kisiasa kuwa upeo wa mtu hupimwa na wale wanaomzunguka. Nape anajidanganya kwa kuamini kuwa ujanja wa maneno ndio ubeba akili kubwa. Hakika, kwenye kijiji cha vipofu, mwenye chongo ndio rubani wao. Nape amepofushwa na siasa za kujuana kiasi cha kuona uwezo wa kawaida wa Makamba kama jambo la kipekee duniani
Makamba,membe ni watu waliopingwa hadharani na katoliki,na Hilo linaendelezwa na waamini
Najua membe alikua potential wa urais,ni mkatoliki wa lindi,lakini ana ndugu wengi waislam,hakuwa na shida na Tanzania kujiunga OIC,basi hili liliwapanua sana midomo maaskofu
Kwa makamba sijui shida ni nini mpaka kadinali mwanya kumpinga hadharani
 
Sifa za Nape Nnauye kwa Januari Makamba zimeacha maswali mengi kuliko majibu. Nape anapomnyanyua Makamba na kumwona ana akili sana, anashindwa kutambua kuwa viwango vyake vya kupima akili vimeshuka thamani. Hii inathibitisha uhalisia wa kisiasa kuwa upeo wa mtu hupimwa na wale wanaomzunguka. Nape anajidanganya kwa kuamini kuwa ujanja wa maneno ndio ubeba akili kubwa. Hakika, kwenye kijiji cha vipofu, mwenye chongo ndio rubani wao. Nape amepofushwa na siasa za kujuana kiasi cha kuona uwezo wa kawaida wa Makamba kama jambo la kipekee duniani
Hizo ni mbinu zao za kimkakati hizo.hao ni majambazi
 
Back
Top Bottom