Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,181
- 29,915
Jaji Chande na Tume yake imegeuka kuwa toilet paper ya utawala.
Common sense must prevail.
Bongo Zozo ni mzalendo kuliko fazafaka wa Kizimkazi na vibaraka na chawa wake wote!View attachment 3579790
Jaji Chande na Tume yake imegeuka kuwa toilet paper ya utawala.
Common sense must prevail.
Jaji Chande amedhalilisha heshima ya ujaji. Alichofanya Chande na genge lake ni kusafisha wauaji na kutuhumu wahanga kwa uongo..
View: https://youtu.be/aVN8mZ-Lri8?si=J3pVPOKmP1GcdJGJ
Simple and clear Na Jinai huchunguzwa na Police au vyombo vingine au Mashirika ya upelezi mengine kama FBI, FSB, Scotland Yard n.kChande alikuwa wazi kabisa.
Alishasema kuwa ripoti hii ni Fact finding ,
Kama kuna jinai kuna mamlaka ya kudeal nazo.
Yuko sahihi kabisa huyu Muingereza. Ila jamaa bado tunamdai hela zetu za bitcoinView attachment 3579790
Jaji Chande na Tume yake imegeuka kuwa toilet paper ya utawala.
Common sense must prevail.
Kama wewe ulikuwa kati ya wauaji, sitegemei wewe kuelewa.Ungeanza kumfananisha na Baba yako Mzazi ambaye hajawahi kufikia level za Jaji Mohamed Othmani Chande Bongo zozo nani? Tapeli tuu.
Maoni ya Bongozozo yanaonyesha udhaifu mkubwa Jaji Chande na Tume yake.Bongo Zozo ni mzalendo kuliko fazafaka wa Kizimkazi na vibaraka na chawa wake wote!
Waandamanaji wengi walipigwa risasi za mgongo. Hilo Chande hasemi.Ila ukweli japo tunaweza tusifahamu kiusahihi kanuni za usalama dhidi ua uhalifu lakini mtu ama mhalifu akisha geuza mgongo na kukimbia maana yake si hatari tena kwako wewe afisa wa usalama hivyo busara ni kumpiga mguu ili kumdhibiti lakini kufumua kichwa !
Inafikirisha sana
Serikali ya Mama Samia inashindwa kuelwa kuwa dunia imekereka na mauaji ya watu hasa vijana wanaotaka mbadiliko.View attachment 3579790
Jaji Chande na Tume yake imegeuka kuwa toilet paper ya utawala.
Common sense must prevail.
Funny boekwenye ule uzi wa platinum member muulize na huyu alipataje hii TrophyUngeanza kumfananisha na Baba yako Mzazi ambaye hajawahi kufikia level za Jaji Mohamed Othmani Chande Bongo zozo nani? Tapeli tuu.
Kufikia levels za jaji alafu ukawa mdanganyifu kama Othman Chande ni bora uwe mfu!Ungeanza kumfananisha na Baba yako Mzazi ambaye hajawahi kufikia level za Jaji Mohamed Othmani Chande Bongo zozo nani? Tapeli tuu.