Akili ni neno pana sana ambalo linarejelea uwezo wa kiroho na kiutendaji wa ubongo wa binadamu (au kiumbe hai) kufikiri, kuelewa, kujifunza, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi.
Kwa lugha rahisi, wakati ubongo ni kiungo kinachoonekana ndani ya kichwa (physical organ), akili ni matokeo ya utendaji kazi wa huo ubongo (mind/intellect).
Neno hili hutumika katika mazingira mbalimbali na linaweza kubeba maana zifuatazo kuu:
Uwezo wa Kujifunza na Kuelewa (Intelligence): Hili ni lile kundi la akili la darasani au uwezo wa ubongo kuchakata taarifa mpya haraka. Mfano, tunaposema "Mwanafunzi yule ana akili sana," tunamaanisha ana uwezo mkubwa wa kuelewa masomo na kufaulu.
Busara, Hekima, na Utambuzi (Common Sense): Hii ni uwezo wa mtu kupambanua kati ya jema na baya, na kufanya maamuzi sahihi katika maisha ya kila siku. Mtu anaweza asiwe na elimu kubwa, lakini akawa na akili ya maisha. Mfano: "Jambo hili linahitaji akili, siyo nguvu."
Mbinu, Ubunifu, au Ujanja (Ingenuity/Tact): Huku ni kutumia uwezo wako wa kufikiri kutafuta njia mbadala ya kutatua changamoto ngumu au kujiokoa katika mazingira magumu. Hii mara nyingi huitwa "akili ya kuzaliwa".
Hali ya Ufahamu (Consciousness/Sanity): Akili pia inamaanisha hali ya mtu kuwa sawa kiufahamu bila kuwa na matatizo ya mtikisiko au magonjwa. Mfano, tunaposema "Amepoteza akili," tunamaanisha amepata tatizo la afya ya akili (kuchanganyikiwa) au amelewa kiasi cha kutojitambua.
Kuna mambo mawili ambayo wenye akili wanayatafakari sana:
1. Nyerere alikuwa ameshaamua Mkapa asingekuwa raisi wa awamu mbili
2. Nyerere angekuwa hai, Kikwete asingekuwa Rais, maana alimshamkataa katakata
3. Mkapa alimwambia Kikwete waziwazi, kwamba kwa mazingira yaliyopo mimi nisipokuwa...
Habari wanajf,
kila siku huwa na sema hapa jf.
Na leo nitasema kwa mara ya mwisho "ishi sasa (Now) hayo mambo ya kesho ,yatajipambania yenyewe".
Matatizo ,maumivu ,na shida zote sio za lazima(unnecessary).
Ni kwa sababu hukubaliani na wakati wa sasa (now),kwa sababu wakati wa sasa(now) mara...
Kuna nyakati nyingi ambazo akili zetu huwaza mambo ya kijinga au yasiyo na mantiki, na hata kutufanya tuyandike au tuyazungumze
Hali hii ni ya kawaida kibiolojia na kisaikolojia, lakini pia hugusa sana maisha yetu ya kiroho na kihisia.
Ubongo wetu unapokosa utulivu wa ndani, unakuwa kama...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media
Salim Kikeke: Tukirejea kwenye tume, ripoti ya Jaji Chande, kuna picha za akili unde ambazo zilizitazamwa. Na kuna madai kwamba pengine kuna picha zinasingiziwa akili...
Maendeleo ya sayansi na teknolojia ni hatua muhimu sana kwa ustawi wa binadamu na ni njia rahisi ya kufikia malengo endelevu ya kidunia "'sustainable development goals" lakini lipo swali la kujiuliza nyuma ya yote hayo.
Sayansi na teknolojia imechangia urahisishaji wa maisha ya binadamu kuliko...
Maana yake yangemuachia Lissu, kwakua Lissu yeye anachotaka ni KATIBA MPYA NA TUME HURU ambayo ndani yake inajali Kila Lilo la HAKI.
Alafu wakamuita LISSU , wakakaa naye Meza Moja, "Bwanaee tunaendelea na mchakato wa KATIBA Mpya wa Jaji Warioba)
Tume huru ya UCHAGUZI Mpya kuanzia Muundo...
Ndugu zangu Watanzania,
Usicheze na magereza hata siku moja . Kule siyo kwa mchezo mchezo,kule hata uwe Nunda kiasi gani utajikuta umebadilika kitabia na kuwa mtu mwema tu utake usitake upende usipende.
Hakuna ujeuri kule wala ubraza men ama ujuaji.
Ona sasa lissu amekaa mwaka mmoja tu lakini...
Akihojiwa na vyombo vya habari mitandaoni, Mamluki huyo ametamba kwamba yeye ni Taasisi na ni Mkubwa kuliko Chadema.
Ikumbukwe kwamba Yericko hana Cheo chochote CHAUMA Bali ni mbeba begi wa Salum Mwalimu
Kwa kauli yake hiyo mnadhani ana akili timamu au ni kichaa kamili?
Adui yetu ni Genge la Samia , Genge la MAFWELE, Genge la Msoga.
Adui yetu ni Mtanzania yoyote ambaye ama kwa Nafasi yake ametumika Kushabikia, Kutekeleza au kufunika Matukio ya Utekaji, Uuaji, Kumfunga Lissu Jelaz Kufungia CHADEMA, Wanaozuia KATIBA Mpya, Wanaosababisha Maisha magumu kwa...
Wakati wa utawala wa awamu ya 5, ulifanyika utafiti wa kitaalam uliozingatia makundi yote, ukiangazia vyama vikuu viwili vya siasa, CCM na CHADEMA. Pamoja na mambo mengine, yafuatayo yalikuwa ndiyo hitimisho:
CCM
1. CCM inaungwa mkono zaidi na watu ambao ama wana akili ndogo, ama watu wasio na...
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mannara ameandika ujumbe huu baada ya kuona wimbo wa Dulla Makabila,
"Ukijiendekeza utajipiga kitanzi kweli ww shauri yako
Ok nna jirani yangu anatafuta Mume njoo nikulipie mahari usonge mbele.
Najua utaacha kubweka bweka mitandaoni bro
Ahadi zetu Wanaume ni...
Kwa Peter Msigwa, Akili, Uwezo, Ubunifu wake ndani ya CCM Ulikua ni 'Umefungwa'.
Peter Msigwa nayemfaham yeye hawezi kaa kuvumilia Watu watekwe, Kuuwawa, Kusumbua Kanisa, Kufunga wapinzani Kufungia Chama , Maisha ya Mtanzania kua Juu, Gharama kupanda ,huku Mafisadi wachache wakijineemesha ...
Kama unajijua kabisa 6 x 6 nguvu zimeisha, jogoo hawiki, dakika hufiki ushamaliza, n.k.
Mkeo akikwambia huwezi kumridhisha, ukaendelea kubaki nae, siku ukagundua kaanza kutoka nje kwajili ya sex, ni hekima ipi utatumia, kumkomoa anaeweza kazi au kukubali yaishe
ukipita unakutana na anonymous anaeleza kero, ukishuka kidogo unakuta luca anasifu, ukishuka unakutana na story za kina binti wa zamani, ukishuka chini unakutana na habari za ukraine
binafsi huwa nikipitia new posts hua kichwa kinachanganyikiwa sana
Kutokana na mambo ya AI kwasasa mambo mengi sana ya kitaaluma yanabadilika na yatabadilika kabisa. Je, kwa mtu mwenye taaluma ya mambo ya MATHEMATICS na DATA kiasi, na akataka kutafuta eneo la kubobea kwa kujifunza mwenyewe na kujisomea kupitia online-platform. Unaweza kumshauri nini kwa...
Akili yenye afya ingemwelekeza kujenga akademi za mpira walau 5 tu nchi nzima, halafu akawa anaweleta hao wacheza mpira wa zamani kuja kuwatia hamasa vijana kwenye hizo akademi za mpira.
Anachokifanya sasa hivi ni kuwafanya hao wachezaji kuwa twiga wa maonesho . Maana wanakuja ili tuwatazame...
Wakuu, achaneni na mambo ya siasa na uchumi, njoeni hapa pande za ChitChat tupige story za ukweli.
Leo nataka tuongee kuhusu hawa viumbe wa ajabu wanaoitwa "Vibenten" na "Mamarioo." Nitaongea lugha kipimo chao.. Nisamehewe😂
Hivi nyie wavulana wa hovyo mna akili timamu kweli au mmerogwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.