Akili ni neno pana sana ambalo linarejelea uwezo wa kiroho na kiutendaji wa ubongo wa binadamu (au kiumbe hai) kufikiri, kuelewa, kujifunza, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi.
Kwa lugha rahisi, wakati ubongo ni kiungo kinachoonekana ndani ya kichwa (physical organ), akili ni matokeo ya utendaji kazi wa huo ubongo (mind/intellect).
Neno hili hutumika katika mazingira mbalimbali na linaweza kubeba maana zifuatazo kuu:
Uwezo wa Kujifunza na Kuelewa (Intelligence): Hili ni lile kundi la akili la darasani au uwezo wa ubongo kuchakata taarifa mpya haraka. Mfano, tunaposema "Mwanafunzi yule ana akili sana," tunamaanisha ana uwezo mkubwa wa kuelewa masomo na kufaulu.
Busara, Hekima, na Utambuzi (Common Sense): Hii ni uwezo wa mtu kupambanua kati ya jema na baya, na kufanya maamuzi sahihi katika maisha ya kila siku. Mtu anaweza asiwe na elimu kubwa, lakini akawa na akili ya maisha. Mfano: "Jambo hili linahitaji akili, siyo nguvu."
Mbinu, Ubunifu, au Ujanja (Ingenuity/Tact): Huku ni kutumia uwezo wako wa kufikiri kutafuta njia mbadala ya kutatua changamoto ngumu au kujiokoa katika mazingira magumu. Hii mara nyingi huitwa "akili ya kuzaliwa".
Hali ya Ufahamu (Consciousness/Sanity): Akili pia inamaanisha hali ya mtu kuwa sawa kiufahamu bila kuwa na matatizo ya mtikisiko au magonjwa. Mfano, tunaposema "Amepoteza akili," tunamaanisha amepata tatizo la afya ya akili (kuchanganyikiwa) au amelewa kiasi cha kutojitambua.
Takriban roboti 30 wameandamana katika mji mkuu wa Poland, Warsaw, wakipeperusha bendera na kuimba kaulimbiu nje ya Wizara ya Masuala ya Kidijitali. Maandamano hayo yameandaliwa na kundi la Democratism kwa lengo la kuibua mjadala kuhusu athari za Akili Mnemba na matumizi ya roboti katika soko la...
Habari Wana jamii.. Binafsi kulingana na hali inayoendelea Sasa Kuna maswali nimekaa nakutafakari sana..
Ikiwa katiba ya nchi yetu inamtaka raia anaetaka kugombea ngazi ya Raisi.. awe na mwenza wake.
Je katiba inasemaje ikiwa Raisi aliemadarakani amefiwa na mwenza wake?
Nani anatakiwa kumpa...
Ipo hivi jamaa yangu anaishi na mke ambaye tayari Wamejaaliwa kupata watoto wawili ,sasa anasema mwaka jana waliingia kwenye mgogoro mkubwa baada ya kugundua mke wake alikuwa akimsaliti japo huo usaliti ulitokea kipindi cha nyuma hili suala limefika pabaya jamaa aliamua kumufukuza waifu...
YAFUATAYO NI MAWAZO MGANDO YA WANAUME WENGI MABWEGE na WENYE AKILI DUNI.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli.
Yule Shujaa.
Moja ya mambo yaliyonifanya nisipende kukaa vijiweni na kuwaelewa wazazi na walezi wangu ni kutokana na mitazamo, fikara, na mawazo ya vijana na wanaume wengi wanaokaa...
Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.
Katika definition simple kabisa Afya ya akili ni excessive characters zinazokutoa kwenye reality ya maisha ya kawaida .
Sijakaa na Katambi kujua hasa specific symptoms zake lakini trend ya matukio yake na...
Hivi unajua ya kuwa umaskini ni kukosa akili?
Kama ni kweli hakuna mtu anayependa umaskini kwa nini hatuko sawa?
Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini, we share the same existence but live in different realities?
Kumbe mafanikio Sio jitihada wakuu, mafanikio ni ku shift paradigm..
Yaani...
Majibu ya John Mnyika yanadhihiridha uwezo mkubwa wa akili wa John Mnyika dhidi ya maswali yasiyo na weledi ya Katuga. Sijui kwa nini serikali inapendelea kuwa na mawakili matapeli wa taaluma!!
Angalia maswali machache ya wakili duni wa serikali kwa shahidi mwenye akili kubwa John Mnyika...
Imagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi?
Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town.
Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi zangu zipo Mikocheni.
Haoni aibu na yupo serious ananiuliza umeshatoka home. Namwambia bado...
Hii si hadithi, ni maisha halisi ndani ya Jiji la Dar es Salaam, ni kuhusu mwanafunzi wa kike anayesoma Kidato cha Nne katika Shule ya Kimbiji Secondary School.
Msichana huyo jina nalihifadhi amekuwa katika mgogoro wa muda mrefu na mama yake mzazi, ambapo mama anashinikiza mwanaye aondolewe...
Anonymous
Thread
afya
afya ya akiliakili
kidato
kidato cha 4
kimbiji
mwanafunzi
school
shule
walimu
Hivi karibuni tumeshuhudia mafuriko ya Nepal yanayofahamika kama flash floods yalivyosomba makazi ya watu na kusababisha uharibifu wa mali, majumba, miundo mbinu na zaidi hasa maisha ya watu wengi kupotea. Katikati ya majanga haya, kuna jengo moja lilibaki likisimama peke yake, likistahimili...
Embu angalia Watu wanaoiunga Mkono CHADEMA, ni Wasomi waloelimika, Prof Shivj, Prof Tibaijuka, Jaji warioba, Jumuiya za Wasomi Tanzania, TEC , Nchimbi, Polepole n.k
Sasa njooo CCM, angalia aina ya watu wake chamani na wanaoishabikia CCM 🤣🤣
Hawa Wajinga hawatatuongoza tena !!!
Ukiangalia sura za Viongozi na wafanya Maamuzi,utadhani ni wacha Mungu na wenye kutanguliza watu wengine na utu! Kumbe ni Manyang'au
Mtu amewaachia Mavyeo,mna haja gani kuendeleza ajenda yake? Mungu asipomfuta mtu mtafanya kazi ya kuchosha. Mtoa wazo hilo na waliotekeleza Mungu awalipe...
Kifo cha Rosemary Chemutai Koech Kimwatu, aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Ulinzi wa Data katika KCB Bank Group, kimeibua mjadala kuhusu afya ya akili mahali pa kazi na namna shinikizo la maisha linavyoweza kumuathiri mfanyakazi.
Rosemary, mwenye umri wa miaka 40 na mama wa watoto wanne, alifariki...
Ukiona umeajili mfanyakazi anaamka saa kumi na mbili anaoga maji baridi , linanyoosha nguo, linabrashi viatu, anapiga mswaki, lakini anasaau kujisaidia haja kubwa anakuja kujisaidia ofisini jua ilo litumishi akili halina fukuzia mbali.
Yaani ulilipe mshahara, saa nyingine ulipe ofa ya chakula...
Ule msemo wa wadhungu 'you are what you eat' ni kweli kabisa... muonekano na afya yako vinaendana na tabia zako za kula - espesheli aina ya vyakula unavokula.
ukila haraka haraka bila kutafuna vizuri unaingiza mabonge tumboni, hivyo tumbo na mwili vyatumia nguvu kubwa kusaga, na labda kushindwa...
Miongoni Mwaa Dalili za Changamoto Ya Afya ya Akili Ni
1.kwenda Nyumba za wageni Wakati wewe Ni Mwenyeji.
2.Kutuma Na Ya Kutolea Ili Aje Uyo Unaekutana nae.
3.Kulalia Mashuka Ambayo Wengine Wameyatumia Na Kumwaga Uchafu wao.
4.Kujifutia Taulo Usoni Ambalo Wengine Wamejifutia Kwenye Makalio.
Kampuni zinazojihusisha na nyanja ya akili mnemba (AI) hutoa madai mapana kuhusu uwezo wa zana zao kuchukua nafasi ya nguvu kazi ya binadamu.
Baadhi ya kazi zitaendeshwa kikamilifu na mifumo ya kiotomatiki, huku nyingine zikibadilishwa na kuboreshwa kwa kutumia akili mnemba.
Viongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.