Msaada wenu kwenye hili la mfumo wa Ajira Portal

Parabora

JF-Expert Member
Jul 6, 2019
1,504
2,180
Najaribu kufanya application kwa ajili ya ndugu yangu nafasi ya kazi ninayoapply PSRS lakini alikuwa na Qualification zaidi ya hizo zilizohitajika, nimepunguza wee lakini bado inagoma, ndugu zangu nyie mna ujuzi na hii system kuliko Mimi nijuzeni tatzo nini .wengine hatujawahi kuitumia hii na huku tuliko mifumo uko vizuri zaidi

Natanguliza shukrani.
 
Kuna nafasi ya kazi naaplly Psrs lakini nilikuwa na Qualification zaidi ya hizo zilizohitajika, ikabidi nianze kupunguza kwenye profile yangu baadhi ya sifa tangu jana na kila nikijaribu kutuma naletewa ujumbe "Sorry, you can not Apply for the job post. Required Only candidates with Certificate level Qualification" wakati kwenye profile langu elimu ya juu imebaki ni ya form six tu..., na kila nikiangalia naona vigezo vyote nimekidhi ila nikituma inagoma, tatzo litakuwa nini wakuu.

natanguliza shukrani.

wanataka "certificate level" nawe umebakisha form six? huwezi toboa
 
System ndio inasema hivi "Required Only candidates with Certificate level Qualification" hutowea bishana nayo....upload you "certificate level" cheti
nimepunguza pia inaleta meseji ileile
 
System ndio inasema hivi "Required Only candidates with Certificate level Qualification" hutowea bishana nayo....upload you "certificate level" cheti
naweza kufungua account mpya
 
naweza kufungua account mpya
Usifungue , nakushauri kwa maana kule itasoma una account mbili moja yenye level ya juu nyingine hy.
Kwahy kufanyiwa shortlisting inabd usahau kbs. Maana kila kazi utaonekana una ACSE so huna vigezo vingnevyo
Au kama ukifungua nyingine inabd uwapigie simu wafute account yako ya zamani
 
ina maana wanaangalia account ulizonazo ama account zilizotuma application?
 
Usifungue , nakushauri kwa maana kule itasoma una account mbili moja yenye level ya juu nyingine hy.
Kwahy kufanyiwa shortlisting inabd usahau kbs. Maana kila kazi utaonekana una ACSE so huna vigezo vingnevyo
Au kama ukifungua nyingine inabd uwapigie simu wafute account yako ya zamani
hakuna kitu kama hiki
 
hujamuelewa jamaa
Nimemuelewa mkuu, kwa maelezo yake kazi inahitaj mwenye level ya certificate na yy katoa vyote kaacha kuanzia ACSE ikiwa level yake ya juu, sasa akiomba anakataliwa, nimemjibu kuwa ACSE sio sifa ya hyo kazi mana si professional hyo, kwenye hyo kazi wameweka anapaswa pia kuwa na ASCE lakin yy hajaelewa, anadhan hyo inaweza kuwa sifa pekee kumbe anapaswa ku certificate ya utaalamu unaohitajika, mfano kwa walimu tunaita grade 1
 
Back
Top Bottom