Sekretarieti ya Ajira na uboreshaji wa Ajira Portal

Local Mwalimu

Member
May 12, 2019
16
17
Napenda kutoa ushauri kwa Sekretarieti ya Ajira juu ya maboresho mazuri ya tovuti ya kuombea ajira, ila naomba kuwakumbusha kuwa wanafunzi wa VETA (Basic Technician, Certificate na Techncian Certificate) mmewasahau katika Academic qualification hakuna machaguo yao ya name of the programme.

Hivyo naomba muweze kuwasiliana na mamlaka husika VETA au NACTE wawape majina ya kozi wanazozitoa ili na wao wapate fursa ya kuomba ajira maana kwa maboresho haya watashindwa kuomba ajira.

Au kama itakuwa ngumu basi wekeni kipengele cha other ili kuwapa nafasi ya kuandika wenyewe jina la chuo na jina la program husika.

Nawasilisha na napongeza kwa maboresho mazuri.
 
Elimu yeyote inayotolewa na VETA huwa considered kama si ya ushindani hivyo mjiajiri. Hushangai qualification uwe umemaliza Darasa la 7?
 
Elimu yeyote inayotolewa na VETA huwa considered kama si ya ushindani hivyo mjiajiri. Hushangai qualification uwe umemaliza Darasa la 7?
Fanya mind updates itakusaidia sana mkuu mambo yamebadilika siku hizi Veta ni Elimu kubwa kuliko ile Degree yako ya mass communication
 
Elimu yeyote inayotolewa na VETA huwa considered kama si ya ushindani hivyo mjiajiri. Hushangai qualification uwe umemaliza Darasa la 7?
ww jaribu kufuatilia matangazo ya kazi wanayo yatoa Elimu ya VETA ina dememnd kubwa kuliko izo digriii
 
Mass communication ni complex issue ndiyo maana haifundishwi VETA
veta inajitosheleza mkuu ina kila kitu hiyo mass communication ni somo wenzako wanasoma pamoja na ufundi narudia tena fanya mind updates
 
Hv wadau katka kujaza zile detail kule ajiraportal pale kwenye Personal detail nimechanganya kwenye kile kipengele cha jinsi ,nimekuja kutambua Baada ya kuwa nimemaliza kila kitu,sasa kila nikjaribu kubadili hko kipengele hakitokei sasa nauliza kuwa inawezekana hii kitu kubadilika na kama inawezekana naanzia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee...!
 
Back
Top Bottom