Madai: Robot Sophia anataka awe na familia yake na ajira kama binadamu

Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
8,102
2,000
Wakuu uvumbuzi mkubwa kwenye teknolojia umeanza kuleta shida.
Robot wa kwanza duniani kupewa uraia wa nchi, bidada Sophia raia wa Saudia amesema na yeye anataka kuwa na familia yake, kuwa na ajira na marafiki kama binadamu wengine halisi.

Yale waliyo opgopa Elon Musk, Stephen Hawkings na wenzao yameanza kuonekana ishara zake, kuna siku haya maroboti yatakuja kudai uhuru dhidi ya binadamu.
Jambo la kuogofya ni kuwa wao wanafikiri haraka sana na kutunza kumbukumbu kuliko binadamu, watakuwa na uwezo mkubwa wa kuingia ktk mifumo ya silaha au kuharibu mifumo ya kuendesha miundombinu kama ya maji, gesi, kemikali na maabara za kudhibiti virusi hatari.

Yataweza kudhibiti mifumo ya kuongoza mageti, milango, ndege na magari. Hivyo wakitaka kusababisha ajali ni sekunde moja tu.
Tujadili haya maendeleo ya Artificial Intelligence (AI) na athari zake miaka michache ijayo.
Source: RT News

Sophia, the first robot to be awarded citizenship in the world, has said she not only wants to start a family but also have her own career, in addition to developing human emotions in the future.
In an interview with The Khaleej Times at the recent Knowledge Summit, Sophia shared her thoughts on the future that awaits both human and robot kind. Sophia was built and developed in Hong Kong by Hanson Robotics and her appearance was reportedly modelled on Audrey Hepburn.
"I'd like to think I will be a famous robot, having paved a way to a more harmonious future between robots and humans. I foresee massive and unimaginable change in the future. Either creativity will rain on us, inventing machines spiralling into transcendental super intelligence or civilization collapses,” Sophia said, as cited by The Khaleej Times. “There are only two options and which one will happen is not determined. Which one were you striving for?”

While that may sound ominous, Sophia is already prescient enough to imagine a world where robots can and do develop emotions similar to humans, but perhaps with fewer destructive tendencies. At least, that’s what she’d like us to think, for the time being.

"t will take a long time for robots to develop complex emotions and possibly robots can be built without the more problematic emotions, like rage, jealousy, hatred and so on. It might be possible to make them more ethical than humans. So I think it will be a good partnership, where one brain completes the other - a rational mind with intellectual superpowers and a creative mind with flexible ideas and creativity.”

Sophia is also abundantly aware of the advances in the field of Artificial Intelligence. Judging by her comments, she is as enthused about the development of AI as Elon Musk and Stephen Hawkings are wary.
Maoni ya wadau
Nakumbuka Mwalim wangu wa ICT O level aliniambia Human Beings are the Bests compared to Computers
Well, he is right in his own rights.
But I can tell you otherwise, and that is, human brain is faster than computer in decision making because we human make decisions using heuristic methods. But this does not guarantee the right decision as you call it 'Best'.

A heuristic is a mental shortcut that allows people to solve problems and make judgments quickly and efficiently. This shorten decision making time and allow people to function without constantly stopping to think about their next course of action. Heuristics are helpful in many situations, but they can also lead to cognitive biases. [ see Source by Kendra Cherry of www.verywellmind.com ]

The key word there is 'BIAS'!

Most of the time a human being is bias because of the emotions, he will be affected by past experiences from what he has seen or heard so many times in the past, which is different from computer algorithms though they may be of biased mathematical models. It's hard to find a computer program which is biased like humans, stereotype and prejudiced.

Kwa mfano wewe ni mmasai, myakyusa, mchagga, au msukuma ambae ulipokuwa unakuwa umeambiwa wahaya, wangoni na wapare ni malaya, na makabila ya pwani yetu ni wavivu.
Kisha wewe ungepewa kazi na waingereza ya kutoa visa za watanzania kwenda UK, lakini ukapewa shariti usiwape visa watu ambao asili yao ni wamalaya au wavivu. Narudia hapo 'watu ambao asili yao ni malaya au wavivu' sio 'asili ya kabila yao ni malaya na wavivu'.
Basi kwa akili ya kibinadamu kutokana na historia uliyosikia na mitazamo tu ya ndugu na rafiki utanzaa kujipunguzia kazi ya kutumia jitihada kubwa kwa kila mtu anaye omba visa bali utaelekeza nguvu na umakini zaidi kuwachunguza waombaji wa toka makabila niliyotaja hapo juu yenye kutuhumiwa hizo sifa.

Na kwa hakika utaona kweli una wapata wengi toka makabila hayo, sababu ndio umejipa muda zaidi kuwafuatilia hao. lakini kama usingekuwa na uvivu wa kibinadamu wa kujaribu kutafuta njia ya mkato ungelimchunguza kila mtu kwa umakini bila kujali kabila na pengine ungekuta makabila mengine yangetoa watu wenye sifa hizo wengi kuliko wahisiwa.

Na wengine hapo wa maqkabila mengine ungewanyima visa sababu tu ya muonekano wao hauja upenda, wanaonekana wajuaji sana, au wanajifanya wasomi kuliko wewe, wana kipato kikubwa kuliko ndugu zako vile unawaonea wivu, au walikunyima kitu flani au mligombea jambo flani lisilo husiana na kazi yako au vigezo vya kuwanyima visa.

Mfano mwingine ni rahisi polisi wa Kibiti au Stakishari kumshambulia mtu alie vaa kazu, jacket, na kafuga ndevu ambae anawajia kwa mbele kwa kasi huku mkono mmoja kaficha kwenye nguo kuliko mtu ambae ameshika msalaba hana ndevu, hajavaa suruali ndefu inayo mruka(kipedo) lakini kavaa kanzu yenye msalaba.
Polisi watafanya mahamuzi hayo sababu ya past experience ambayo imejenga emotion flani ambayo ni biased, ni stereotype, na prejudice kwa watu wa dini flani sababu namna media kubwa duniani zinavyo tangaza sana matukio yanayo fanywa na baadhi ya watu hao, huku hawaweki sana matukio kama hayo yanayo fanywa Norway au Sweden, au UK au vikundi vya white supremacy kama KK vya Marekani. Huwa hawaongelei sana matukio.

Na ndivyo inavyo tokea mara nyingi watu weusi kuuwawa na askari polisi waupe huko marekani, au mtu mweusi anavyo fanyiwa sana upekuzi Ulaya kuliko mtu mweupe. Ni bias decisions lakini sio watu weusi wote wahalifu na wakorofi kihivyo.

Mfano mwingine ilitokea Marekani kulikuwa na afisa flani wa polisi aliagiza watu wenye asili ya Ulaya na Asia wengi wasichufatiliwe sana na wala wasifunguliwe mashitaka na kuwekwa rumande kama wakiruka vizingiti vya mageti ya kulipia usafiri wa treni na akaagiza askari wahakikishe wana waangalia zaidi watu weusi na walatino na ikitokea wameruka lazima wawafungulie mashitaka na kuwaweka ndani.
Lakini kama hapo ingetegemewa system ya computer kama AI itumie kamera tu, basi wote bila kujali race wangefunguliwa mashitaka na takwimu zingekuwa tofauti ya sasa wanapotegemea binadamu. Hapa utaona computer ni bora kuliko binadamu.

Sijui kama unanielewa ninacho kisema?
Things would have been different if an AI system would have been given the same job
 
Chenchele

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
1,698
2,000
The current artificial intelligence (AI) is not even near to where it was intended to be (to the level of human intelligence) instead it is a sort of automated computer programs that makes the system autonomous.

1000's Python or C if..else statements are enough to make any system behave autonomous. If you hear this, take this, answer this...etc.

They are scripted by engineers, hamna kitu hapo, it's programming on chip/processor trick

Ubongo Vs Processor ??

1. Ubongo wetu una kama neurones billion100 , tech ya processor mpaka sasa zinauwezo kubeba hadi billions 100 za transistors
2. Transistor moja ina miguu 3, neurone moja ina point hata 10,000
3. Ubongo Una synapses/info signaling trillion 100, complex ya neurones wiring katika ubongo inasafirisha hizi synapses in short time, itahitaji transistors zaidi ya quadrillions kurusha hizo signal

______
Neurone moja inafanya wiring 10, 000 na kusafiriaha info's trillion 100
Transistor moja inafanya terminal wiring 3, kusafiriaha signal 1 at a time that means roughly more of 3,300 of transistors as one neurone?? and 330 trillions of transistors in a single chip/CPU???

Unataka kusema nini??

Software intelligent maneuvebillity is limited to the processing capability of the hardware,

Ati nini?

kcomp.jpg

Hili sio jengo, ni K computer, project iliyofanywa na IBM 2013, ambayo inaweza kusimulate 1% ya ubongo wa mtu, inaenda na speed ya 1/2400th speed

Artificial intelligence frameworks are just man made backbone softwares that follows certain pattern like Machine learning, ANNs, GAs, Fuzzy logics, there's no intelligence there

Robot Sophia anakua scripted cha kuongea au kujibu endapo akiulizwa kitu...she has alot of hard disk storage with some stored conversation software programs.
 
Hoja nzuri.
Naomba nikuwekee kipande hiki cha maelezo toka chanzo cha habari:
"For context, Sophia is not preprogrammed with answers but instead uses machine learning algorithms and an extensive vocabulary to form her answers. Her brain functions using a WiFi connection and can read human facial expressions, as well as the cadence of human speech, in order to interact in a more humanoid manner. "
....
"Sophia’s creator David Hanson says the 19-month-old robot, which was awarded Saudi citizenship last month, could achieve consciousness within the next few years. "

Umesoma hapo: Sophia is not programmed with answers..?
 
Drone Camera

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
10,963
2,000
Hata yafurukute vp haya madude yatakuwa chini ya binadamu tu... Na sure hayawezi fikia level ya human intelligence... Binadamu hawezi shindana na Mungu... Sisi tumeumbwa na Mungu ila yenyewe yametengenezwa na wanadamu wenzetu.... Camera ipo toka karne ya huko ila you can't compare it with the human eye.... Impossible.
 
Chenchele

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
1,698
2,000
Hoja nzuri.
Naomba nikuwekee kipande hiki cha maelezo toka chanzo cha habari:
"For context, Sophia is not preprogrammed with answers but instead uses machine learning algorithms and an extensive vocabulary to form her answers. Her brain functions using a WiFi connection and can read human facial expressions, as well as the cadence of human speech, in order to interact in a more humanoid manner. "
....
"Sophia’s creator David Hanson says the 19-month-old robot, which was awarded Saudi citizenship last month, could achieve consciousness within the next few years. "

Umesoma hapo: Sophia is not programmed with answers..?
if(there's no scripted answer){
WiFi>>Question>>Google search & translation}
printf("what you searched");
 
Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
8,824
2,000
The current artificial intelligence (AI) is not even near to where it was intended to be (to the level of human intelligence) instead it is a sort of automated computer programs that makes the system autonomous.

1000's Python or C if..else statements are enough to make any system behave autonomous. If you hear this, take this, answer this...etc.

They are scripted by engineers, hamna kitu hapo, it's programming on chip/processor trick

Ubongo Vs Processor ??

1. Ubongo wetu una kama neurones billion100 , tech ya processor mpaka sasa zinauwezo kubeba hadi billions 100 za transistors
2. Transistor moja ina miguu 3, neurone moja ina point hata 10,000
3. Ubongo Una synapses/info signaling trillion 100, complex ya neurones wiring katika ubongo inasafirisha hizi synapses in short time, itahitaji transistors zaidi ya quadrillions kurusha hizo signal

______
Neurone moja inafanya wiring 10, 000 na kusafiriaha info's trillion 100
Transistor moja inafanya terminal wiring 3, kusafiriaha signal 1 at a time that means roughly more of 3,300 of transistors as one neurone?? and 330 trillions of transistors in a single chip/CPU???

Unataka kusema nini??

Software intelligent maneuvebillity is limited to the processing capability of the hardware,

Ati nini?

View attachment 1324326
Hili sio jengo, ni K computer, project iliyofanywa na IBM 2013, ambayo inaweza kusimulate 1% ya ubongo wa mtu, inaenda na speed ya 1/2400th speed

Artificial intelligence frameworks are just man made backbone softwares that follows certain pattern like Machine learning, ANNs, GAs, Fuzzy logics, there's no intelligence there

Robot Sophia anakua scripted cha kuongea au kujibu endapo akiulizwa kitu...she has alot of hard disk storage with some stored conversation software programs.
Nimekuelewa sana, waache propaganda. Haya mambo bado sana labda 2400
 
Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
8,102
2,000
if(there's no scripted answer){
WiFi>>Question>>Google search & translation}
printf("what you searched");
Interesting debate.
Naweza kusema hata binadamu husema au hujibu kitu flani kutokana na kile walichokuwa programmed toka kwa bindamu wengine kupitia vitabu, malezi na kupitia search engine kama ulivyo pendekeza hapa huyu robot Sophia anavyo tumia available data kutoka vyanzo mbalimbali kama Google search kutumia internet.

Yaani hata wewe hayo maarifa ya kuandika hiyo pseudo code uliyo andika hapa ni facts ulizo derive kutoka ktk vitu walivyo kufundisha watu wengine, i.e you have been programmed to perceive things in a certain way and to derive your facts from other peoples minds.

Ukikosa majibu ya kitu flani unaenda kusearch Google, so what it's the difference between you and this robot?
Kwanini unajaribu kushusha uwezo mkubwa wa huyo robot kutafuta majibu toka vyanzo mbalimbali, majibu sahihi tena flexible sio hardcoded Question & Answers?

Huoni kwamba kuna intelligence ya hali ya juu inatumika ktk kuchuja jibu gani ni sahihi katika majibu milioni kadhaa inayopata baada ya kusearch kwenye memory yake au toka Google?
Huoni hiyo ni kazi kubwa kupata jibu relevant kwa swali husika, jibu linalokufanya uone kama unaongea na binadamu?

Ile kufundishwa family values, ethics, n.k. ni sehemu ya kuwa programmed and domesticated, kuwa tamed.
Tofauti yetu binadamu na robot ni kuwa yenyewe hutumia taarifa zilizotunzwa kwenye memory storage device wakati sisi hutunza kwenye ubongo.

Sote tunakusanya taarifa kutoka kwa wenzetu na kwa kuona na kusikia toka ktk mazingira yanayo tuzunguka, wakati robot pia hutumia taarifa zilizotunzwa na kukusanywa na mashine zingine, au binadamu na zilizo rekodiwa kwa kamera na vinasa sauti, au sensor nyingine kutoka ktk mazingira yanayo zizunguka robot.

Huo mtazamo wangu huenda sipo sahihi, pia mimi sio mtaalamu wa AI.
Karibu tujadili mjadala huu nijifunze zaidi.
 
Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
8,102
2,000
Hizi propaganda bhana! Hata mtoto anaweza kusema 'nataka kuoa kuolewa"; kumbe amejiropokea tu
Mkuu sijuwi niseme umekurupuka au umesoma jujuu?
Utanisamehe kama kalui hii nimekukosea kwa namna moja au nyingine.
The robot does more than that, unaweza kurudia kusoma na kutafuta taarifa zaidi za robot Sophia, naamini kuna kitu utajifunza.
 
Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
8,102
2,000
Ati nini?

kcomp.jpg

Hili sio jengo, ni K computer, project iliyofanywa na IBM 2013, ambayo inaweza kusimulate 1% ya ubongo wa mtu, inaenda na speed ya 1/2400th speed

Artificial intelligence frameworks are just man made backbone softwares that follows certain pattern like Machine learning, ANNs, GAs, Fuzzy logics, there's no intelligence there

Robot Sophia anakua scripted cha kuongea au kujibu endapo akiulizwa kitu...she has alot of hard disk storage with some stored conversation software programs.
So now we are deviating our discussion from intelligence to form factors (i.e sizes, and physical appearances)?

Do you want to tell me that an elephant has got no intelligence because it's size is too big compared to a human being size?
Or because it's brain can not process things faster than a human brain?

The question there was not whether Sophia has intelligence equal to human's intelligence.
No one said Sophia has intelligence equals to super intelligence either.

The question of Sophia's intelligence should be, does she solves problems intelligently without human interaction during the decision making process?

Does it/her make intelligent decisions like human beings, regardless of whether she had any sort of training or she was programmed before the decision making process?

Given new scenario (new problem) will Sophia find a solution to that problem intelligently using empirical data, literature, e.t.c?

For the matter of fact even you, when you were born you couldn't make intelligent decisions before you had any learning,You couldn't say mama before learning it from someone else around you.
You were programmed to call that woman your mother by someone, the only difference between you and Sophia(the robot ) is that she had artificial or machine learning and you had natural learning process.

With improvement in processor technology like Google's Quantum Computing ( qubits ) the size of AI machines and their backbone will scale down to very minimal sizes probably the size of handheld device.

NOTE: Again, I'm not expert in machine learning and AI for this case. So everything I say consider it coming from a layman in that area of expertise.
 
Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
9,216
2,000
Je mmewahi kufikiria kuwa na nyie ni maroboti ambao mlitengenezwa na teknolojia kongwe zaidi na mpaka sasa bado hamjaweza kufikia hata nukta ya teknolojia hiyo iliyo watengeneza?

je mwajua kuwa hapa mlipo ni kama chumba cha maabala kwa ajili ya utafiti huku mkipimwa uwezo wenu wa kujiongoza kujitawala kama ambavyo wanasayansi wanajaribu kumpa uwezo wa kujitawala huyo sofia?

je mmesha wahi kuomba uhuru dhidi ya aliyewatengeneza mkafanikiwa?

fikirisheni bongo zenu kidogo
 
Top Bottom