ajira

  1. dosama

    JamiiForums Tanzania Naona kuna shida ya ajira au kupata fedha. Jimbo moja watia nia zaidi ya 500. Au siasa imekuwa ya yeyote anayeweza?

    1. Magufuli alisema kazi ya urais ni kazi ngumu sana anatamani aondoke hata leo, lakini bado kachukua fomu ya kuomba kuongoza dola (sio fomu ya kuomba nafasi ya chama kuwa mgombea). Na tena fomu ilikuwa moja tu. 2. Naona wakuu wa mikoa, wilaya, DED na wateule karibia wote wanataka kuwa wabunge...
  2. jastertz

    JamiiForums Tanzania Hivi unatambua kuwa hizi ni ajira kubwa sana mtandaoni kwa sasa?

    Hivi unatambua kuwa hizi ni ajira kubwa sana mtandaoni kwa sasa? Authors, trainers, motivators, consultants, councillors, inspirers, and teachers in any field. Kama una uwezo au ujuzi katika Mambo haya uwanja ni wako. Cha msingi ni kujiboresha na kutafuta connection kubwa ya watu...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya ajira ilivyo sasa, Serikali fikirieni upya kuhusu fao la kujitoa kwenye ajira

    Kuna kundi kubwa sana la vijana wasiokuwa na ajira ama wako kwenye ajira zisizo rasmi na ajira za ujira mdogo. Hawa wote wanategemea siku moja kupata kazi zenye maslahi ya kuridhisha. Kibaya zaidi kuna watu wameajiriwa serikalini na sekta binafsi lakini sio wote walio na malengo ya kustaafu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas: Ongezeko la ajira ni sababu kuu iliyotupeleka uchumi wa kati

    Msemaji mkuu wa Serikali Dr Abbas amesema uwekezaji mkubwa katika miradi ya kimkakati iliyozalisha ajira lukuki ndio sababu kuu ya kupaisha uchumi wetu. Dkt. Abbas amesema miradi kama SGR na Stiglers Gorge imekuwa kichocheo cha ongezeko la ajira nchini. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mwezi June Trump aongeza ajira milioni 4.8 kinyume na matarajio ya wataalamu

    Mwezi wa 6 Serikali ya Marekani imeongeza Ajira milion 4.8 kinyume na matarajio ya wataalamu. Wataalamu walitabiri kua ajira milion 5 zitapotea ila imekua kinyume chake, ajira milion 4.8 zimeongezeka. Mwezi wa 5 watabiri walisema ajira milion 7 zingepotea ila ajabu Trump akatengeneza ajira...
  6. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Jamani Rais Muogope Mungu! Ajira mil 6 zimezalishwa kweli?

    Nina madogo watano, wote wana degree na nimewasomesha mwenyewe. Wote wapo mtaani hawana ajira. Huyu mmoja ana degree ya ualim, kaamua kulima bustani.. Je hii ndo ajira ulioitengeneza? Mwingine degree ya HR kabahatika kaolewa ,je hiyo ndo ajira mnazo zungumzia? Huyu mwingine bachelor of...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Hivi hili la kuweka limit ya Umri kwa vijana wa sasa katika ajira kwa mazingira ya sasa liko sawa?

    Wakuu, Hakuna asiyejua ajira kwa sasa ni changamoto hapa nchini, Sekta binafsi ndiyo hiyo inakufa ambayo ilikuwa na uwezo wa kutoa ajira kwa wingi. Cha kushangaza naona Serikali imekuja na masharti makali kidogo tofauti na zamani kwa baadhi ya matangazo ya ajira kwenye age limit. Inatangazwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ukitumbuliwa ajira yako inakoma na mshahara unakoma hapohapo?

    Swali: Hivi ukitumbuliwa mshahara unakoma hapo hapo? Kama huyu aliyetumbuliwa leo hapati mshahara tena?
  9. KiwandaniTz

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira katika Sekta ya Afya nipo Kanda ya Ziwa

    Natafuta kazi idara ya afya nimesoma shahada ya UKUNGA (Bachelor of Science in Midwifery) nipo tayari kufanya kazi Kanda ya Ziwa. Naweza kufanya kufundisha chuo cha afya au kufanya kazi hospitali. Mawasiliano 0714513631 Inbox me
  10. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania BAVICHA: Ajira rasmi zimepungua kwa 78.1% katika kipindi cha Awamu ya Tano

  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya fani zenye ajira kubwa Duniani: Wazazi somesheni watoto nje Degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering

    Kuna degree Tanzania hamna ila zina soko sana duniani, vijana wa PCM zinawafaa. Wazazi, mkiwa na pesa na mkiwa na watoto wazuri waliofaulu vizuri PCM pelekeni Ulaya au Marekani wakasome degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering. Ni baadhi ya hot cake degrees, dunia nzima inawataka.
  12. Empower Africa

    JamiiForums Tanzania Ajira Chuo kikuu kishiriki cha Marian- MARUCO cha Bagamoyo

    Chuo kikuu kishiriki cha Marian- MARUCO kilichopo Bagamoyo kinatangaza nafasi za assistant lecturer, lecturer na senior lecturer katika masomo ya Chemistry, Physics, English, History na Economics Vigezo ni 3.5 undergraduate na 4.0 Masters (Minimum requirements) Kwa maelezo zaidi I have...
  13. mgt software

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge mmemaliza muda wenu msirudi Dodoma kupiga mizinga. Pesa zenu ziwekeze mzalishe ajira; msizitumie kwenye rushwa ya kuomba kura

    wana JF Haya sasa mshapewa chenu, sasa tunataka kuona mahubiri yenu mliyokuwa mnatuhutubia kuhusu ajira , kilimo kwanza, viwanda. tayari mtaji wa kuwa na viherani saba kuwa kiwanda mnazo hela. Sisi wasio na kazi tunangoja hela zenu zitutengenezee ajia. Muigeni Mh. Pinda anafuga Nyuki, anafuga...
  14. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tumetengeneza ajira laki 6.5 | Rais: Tumetengeneza ajira milioni 6+; Nani tumwamini?

    Waziri mkuu wakati akitoa hotuba ya kuaga bunge alisema ametengeneza ajira laki 6.5, Jana Mheshimiwa, mkuu, mtukufu Rais kasema wametengeneza ajira milioni 6+. Nataka kujua, nimesikia vibaya au? Na nani nimwamini? Na hizo ajira milioni 6 za nchi hii au wapi?
  15. G Sam

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, ulipotaja kuwa umezalisha ajira milioni 6 huoni kuwa unanidanganya hata mimi?

    Rais wangu, hivi unajua kuwa pamoja na kukupinga sana ila ni miongoni mwa watendaji wako wasaidizi wakuu ndani ya serikali? Kwa taarifa yako ninasimamia moja ya taasisi ambazo kwa siku za hivi karibuni umeelekeza macho yako yote pale. Nipo na vijana wako unaowatuma kila siku na mambo yanaenda...
  16. madola

    JamiiForums Tanzania Waliosoma BCOM UDSM na shida ya vyeti vyao kwenye ajira

    Kama mnakumbuka miaka ya nyuma wale waliosoma BCOM University of Dar es salaam walikuwa wanamajor au wanachagua kwenye core kozi mwaka wa pili kama utasomea accounting,human resources, management science,finance au banking. Lakini ukimaliza chuo mwaka wa mwisho vyeti vyao havikuandikwa kwamba...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Utalii Ajira zazidi kupotea tuwaombe wenzetu-Arusha

    Hali si swari kwa wenzetu
  18. T

    JamiiForums Tanzania Trump aanza kuirudisha Marekani mahala pake, mwezi May aongeza ajira mpya 2.5M

    Ndio maana mimi sio muumini wa hizi zinaitwa projections au utabiri kutoka kwa wataalamu au wachambuzi wa utabiri sijui analysts projects this, projects that. Mimi hua nasema hizi ni sawa na usoma nyota na upiga ramli. Kwa mfano wanaoitwa wataalamu wa uchambuzi walitabiri Afrika tutakua na vifo...
  19. Breezyman

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhakika wa ajira endapo mtu utaambiwa utume hela kwa ajili ya maswali na majibu ya mchujo?

    Nimepokea ujumbe huu, "CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi salary ni 1,300,000/=(net) ukipata salary yako ya kwanza utanipa 400,000 na kabla ya saa 10 jioni leo uwe umetuma elfu 45 through tigopesa nimpe mtu wa interview atanipa maswali na majibu nitakutumia kwenye email so una...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: UVCCM Zanzibar warejesha kadi Kisiwandui, kumbe walitapeliwa kwamba watapewa ajira, imebainika ni uongo!

    Chama cha Mapinduzi Zanzibar kimepata pigo kubwa baada ya mamia ya Vijana wa uvccm waliotumikishwa kwa miaka mingi kwenye sekta ya Mazombie na Janjaweed kuzinduka na kuanza kukumbushia ahadi walizopewa na viongozi wao , kwamba watapatiwa ajira . Leo baada ya danadana za kipindi kirefu...
Back
Top Bottom