ajira

  1. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutangaza ajira katika ya kampeni ni Rushwa

    Ahadi ya Rais ya kuajiri walimu ni rushwa ya waziwazi. Alitakiwa aseme akichaguliwa tu, anaanza kuajiri hao walimu Novemba baada ya kuapishwa. Tutegemee mengi ndani ya muda huu mfupi kama kupandisha madaraja na increment. TAKUKURU mna ubavu wa kulishughulikia hili?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Dirisha la ajira za walimu 13,000 wa msingi na sekondari kufunguliwa Jumatatu!

    Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo. Hii ni neema kwa mliosomea ualimu. Maendeleo hayana vyama!
  3. mamba1

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa ajira tuna letu jambo tukutane Oktoba

    Habari wana jamvi wale wahanga wa ajira hususani waalimu tuna letu jambo ama tuamue kitu au tubaki kuendelea kuwa mitaani kwa miaka mingine 5. Watumishi pia ikumbikwe kwa miaka 5 imepita bila chochote sasa tuamue either tuongeze miaka 5 bila chochote au tuamue jambo. Pia na watumishi...
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira, walimu 5,000 wanahitajika Kenya

    • The teachers recruited will serve on permanent and pensionable terms of service. • Interested and qualified candidates should submit their applications online through the commission’s website not later than September 14, 2020. The Teachers Service Commission has announced a massive...
  5. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya CCM 2020: Mkitupa kura ndani ya miaka 5 tutatengeneza ajira milioni 8

    Wajumbe Nasoma hapa ukurasa wa 5 mwanzoni kabisa, kwamba CCM imezamiria kustawisha maisha ya kila Mtanzania kwa kutokomeza umaskini na kuhakikisha taifa linafikia uchumi wa kati ( Kumbe bado hatujafika au wamecopy na kupaste ya 2015 😁😁😁😁 ) kwa kuongeza ajira zaidi ya MILIONI 8 ( 1,2,3 ...
  6. Mwamba1961

    JamiiForums Tanzania HR Officer - Industrial Relation

    QUALIFICATION REQUIREMENTS: Bachelor’s degree in either Employee Relations, Law,HR,Public Administration or related discipline.
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye ajira hizi wanapata shida kwenye Soko la Ndoa. Wanaume huwakwepa

    Kumekuwa na malalamiko sana kutoka kwa Makundi haya ya Wanawake kuhusiana na mtizamo wa Wanaume wengi juu ya Kazi zao. 1. Wanasiasa 2. Manesi 3. Masekretari 4. Askari/ Wanajeshi 5. Wanasheria 6. Wafanya biashara wanaosafiri safiri 7. Air hostess 8. Wasanii Wanaume wengi wamekuwa wakiogopa kuoa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kuepuka huu mlinganyo wa shetani, njooni mtoe ushuhuda, (kukosa ajira + biashara kufeli)

    Naposema mlinganyo wa shetani namaanisha hivi, una-graduate chuo na gpa nzuri tu, una-apply kazi sehemu tofauti zaidi ya Mara 104 hivi, na zote unakosa.. Unajaribu biashara kadhaa, lakini biashara zote zinafeli, na kabla ya kufeli, zikiwa zinaendelea, zinakupa hela ya kula tu, hela ambayo...
  9. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Cheti kwenye Ajira

    Nafasi ya Cheti kwenye Ajira Miaka ya 1980s kurudi nyuma, hali ilivyokuwa ni kwamba serikali ilikuwa ikihitaji watumishi wengi, lakini waliokuwa na sifa ambazo serikali ilikuwa ikizitafuta, walikuwa wachache. Wanafunzi waliokuwa wakihitimu kidato cha nne, walikuwa na fursa za kuajiriwa moja...
  10. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA AJIRA 12,000 ZA UALIMU TAMISEMI: Ni la kweli au ni magumashi ya CCM na siasa za uchaguzi mkuu tu?

    Takribani wiki NNE au TATU zilizopita waziri wa OR - TAMISEMI Ndg Selemani Jaffo alizungumza na waandishi wa habari... Kati ya mambo mengi aliyozungumza, aliutangazia umma pia kuwa, serikali imeshatangaza AJIRA MPYA ZA UALIMU 12,000 kwa shule za Msingi & Sekondari... Ukiingia katika website ya...
  11. kali linux

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea uchaguzi huu hasa nafasi ya Rais njooni na suluhiso la ajira nchini, leteni sera za kuinua wawekezaji wa ndani

    Hello bosses, Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni aibu kuona wanavyuo wengi wanahitimu wakati bado wengine wengi wako mitaani bila kazi au wanafanya kazi za chini sana ambazo hata hawakutegemea(kama vile ulinzi, vibarua, etc....) Ni muda sasa wagombea wetu mje na sera za kutatua tatizo la...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa ajira siku hizi

    Habari? Natumaini mu wazima wa afya, kwa wasio vizuri kiafya poleni sana. Jamani kwa upande wangu nimetafuta sana kazi bila mafanikio mpaka nahisi kukata tamaa. Nafikiria kujiajiri lakini mtaji nao changamoto kwangu. Kwa mwenye kazi au hata anaeweza kuniunganisha sehemu inapopatikana...
  13. excel

    JamiiForums Tanzania Nina Shahada ya Logistics and Transport Management, natafuta kazi

    Habari JF, Mimi ni kijana mwenye elimu ya Shahada ya Logistics and Transport Management Nimependa kuja mbele zenu kuomba connection ya kazi katika Field za logistics and Transport management. Naweza kufanya kazi katika field za: - Warehousing and Stores Administration - Inventory...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Hii inaweza kuwa sababu mojawapo kwanini Graduates wengi wanakosa ajira au kushindwa Interview

    Aliyeandika taarifa hii ni kiongozi wa serikali ya wanafunzi UDOM.
  15. cblhbn

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hassan Abass: Pato la Tanzania limekua mara mbili zaidi katika miaka minne ya Rais Magufuli

  16. mwangaza africa

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira za muda 2020 Tanzania Democracy Support Project (2020TDSP)

    kumbuka malipo hayo yanajumuisha chakula, malazi na usafiri === Project Title: 2020 Tanzania Democracy Support Project (2020TDSP) Organization: Mwangaza Africa Job Title: Civic and Voters Education Field Officers (250 positions) Salary: Tsh 4,530,000/= (2,700,000 for form six) for 3 Months Job...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais atakayetatua tatizo sugu la ajira ila sisi wenyewe kama China

    Hakuna Rais atakaye tatua tatizo sugu la ajira ila sisi wenyewe kama watu wa China walivyo jielimisha, hata kama CCM ikiondoka madarakani. Kwa sababu tatizo la ajira linatokana na ukosefu wa uzalishaji mali barani Afrika, ukosefu wa wataalamu wa viwanda ingawaje tuna wasomi wengi. Rais wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kilio Cha Walimu Wasio na Ajira chasikika: Serikali yajipanga kuajiri walimu mwezi huu

    Habari wanaJF, kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii...
  19. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hongera Tundu Lissu. Watanzania wamepata wa kuwafuta machozi

    Leo nina furaha sana. Nina furaha kwa Lissu kuteuliwa na Chama chake. Ninaamini sasa tutakuwa na uchaguzi. Watanzania wengi wamefurahi wamepata mtu wa kuwafuta machozi kutokana na kifungo, minyororo, na mateso ya miaka mitano. Hongera sana. Nimemuona Lissu halisi. Mungu akulinde na akupe...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupata vibarua na ajira za muda mfupi

    Tunaishi kwenye dunia ya utandawazi. Mara nyingi nyumbani hatuna kazi nyingi kila siku. Tulilazimika kuajiri wasaidizi na kuishi nao kwasababu za kiulinzi na usalama. Sikuhizi apartments nyingi zina uhakika wa ulinzi na usalama na hivi vyote vinakuwa sehemu ya kodi. Zile kazi za kufua kama...
Back
Top Bottom