Tuuze tembo halafu tununue matrekta

bigmukolo

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
499
1,000
Kutokana na uhaba wa ajira na uchumi kuwa mgumu mimi nashauri kama itawezekana tuwe tunavuna tembo au nyumbu au nyati kwa kipindi fulani then tunafanya barter trade na Wachina wanatupa matrekta na vifaa vingine vya kilimo ili vijana waweze kujishughulisha na kilimo. Tembo mmoja=trekta 1, nyumbu 20=trekta 1au nyati 5 =trekta 1.

Mimi nadhani itasaidia kupata matrekta kwa urahisi zaidi, mnaonaje wadau?
 
bigmukolo

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
499
1,000
Mkuu kama Nchi ijiandae kuwekewa vikwazo mpaka iwe kama Zimbabwe.Biashara hiyo ya wanyama na hasa ndovu inafanyika ktk black market kwa kuwa tu Dunia nzima inapinga biashara hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ndo iwe hivyo hata kama ni black market ni bora kuliko kushindwa kufanya kilimo kwa vijana na hata hivyo wanyama wenyewe huwa wanakufa tuu
 
Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,754
2,000
Hakuna Suluhisho Zaidi Ni Uzwazwa
Tuna Vyanzo Kibao Vya Fedha Kwann Tutaifishe
Malizetu Za Asili

Huyo Tembo Na Nyumbu Unajuwa Anaingiza Bei Gani Kwa Siku Kila Mtalii Anapo Fungasafari Kuja Kuwaona

Unapo Fikiria Jambo Tizama Hasara Na Faida Kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bigmukolo

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
499
1,000
Sijasema tuuze wote bali tuvune kwa kipindi fulani na kwa mahesabu ili isiharibu ikolojia na pia isiathiri utalii...mi naamini inawezekana af pia ndo namna nzuri ya kutumia resource zetu sio kila siku tunaambiwa sisi matajiri af tunakufa na umasikini
 
UNIVERSE

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
531
500
Tractor inaweza kuwa si tatizo la kilimo nchi hii. Kuna matatizo matatizo mengi zaidi na ya msingi yanayokwamisha kilimo. Tractor zipo tu ni kuandaa 40000 au 50000 tu kwa ekari.
 
bigmukolo

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
499
1,000
Tractor inaweza kuwa si tatizo la kilimo nchi hii. Kuna matatizo matatizo mengi zaidi na ya msingi yanayokwamisha kilimo. Tractor zipo tu ni kuandaa 40000 au 50000 tu kwa ekari.
Tatizo ni nini sasa?? Hakuna vitendea kazi ndo maana kilimo kinakua kigumu
 
dtj

JF-Expert Member
Nov 29, 2014
1,271
2,000
Kutokana na uhaba wa ajira na uchumi kuwa mgumu mimi nashauri kama itawezekana tuwe tunavuna tembo au nyumbu au nyati kwa kipindi fulani then tunafanya barter trade na Wachina wanatupa matrekta na vifaa vingine vya kilimo ili vijana waweze kujishughulisha na kilimo. Tembo mmoja=trekta 1, nyumbu 20=trekta 1au nyati 5 =trekta 1.

Mimi nadhani itasaidia kupata matrekta kwa urahisi zaidi, mnaonaje wadau?
Aisee
 
Baraja

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
745
1,000
Nimefungua huu uzi nikaskitika sana kiukweli, hata hivyo hayo ni mawazo yako. Uko chuo mwaka wa ngapi ndugu?
 
Executive Diary

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
328
1,000
Kwani wamekwambia wanashindwa kulima sababu matrecta hakuna

Inavyoonyesha tu wewe si mkulima ma tracta hayajawahi kua kikwazo kwa vijana kujikita kwenye kilimo

Tatizo lipo kwenye masoko ya hizo bidhaa za kilimo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
1,380
2,000
Mkuu kama Nchi ijiandae kuwekewa vikwazo mpaka iwe kama Zimbabwe.Biashara hiyo ya wanyama na hasa ndovu inafanyika ktk black market kwa kuwa tu Dunia nzima inapinga biashara hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama watu wa kawaida wana access black market seriksli inashindwaje? Iran na Korea kaskazini wanaishi kwa black market kuuza mafuta kutokana na vikwazo
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
1,380
2,000
Kutokana na uhaba wa ajira na uchumi kuwa mgumu mimi nashauri kama itawezekana tuwe tunavuna tembo au nyumbu au nyati kwa kipindi fulani then tunafanya barter trade na Wachina wanatupa matrekta na vifaa vingine vya kilimo ili vijana waweze kujishughulisha na kilimo. Tembo mmoja=trekta 1, nyumbu 20=trekta 1au nyati 5 =trekta 1.

Mimi nadhani itasaidia kupata matrekta kwa urahisi zaidi, mnaonaje wadau?
Huwa tunaishi kwa kutegemea mawazo ya wakoloni na kukopi kwa wengine kama china, Japan nk.Usitegemee wazo lako kukubaliwa.
 
bigmukolo

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
499
1,000
Tractor inaweza kuwa si tatizo la kilimo nchi hii. Kuna matatizo matatizo mengi zaidi na ya msingi yanayokwamisha kilimo. Tractor zipo tu ni kuandaa 40000 au 50000 tu kwa ekari.
Hayo matrekta yapo wapi nami nikachukue
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom