Changamoto za ajira: Nafasi 1 usaili watu 280

ilala yetu

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
1,237
1,919
Wakuu hiki kitu kinakatisha tamaa na kinatisha sana.

Sijui serikali inaliona hili jambo na ina mipango gani ya haraka itusaide tutoke huku tulipo.

Maana tunapoelekea hili ni bomu linaendelea kujitengeneza.
TBA wametangaza majina ya vijana walioitwa kwenye usaili wa kazi mechanical engineer watu 280 nafasi mtu mmoja t anahitajika.

Yani probapility ni 0.001 kwa kila mtu, kiukweli inakatisha tamaa sana.

Serikali inabidi ituangalie na sie wakada hii ya uhandisi hali ni mbaya kwakweli. Hapo mtu unaenda kwenye usaili kichwa kinawaza vitu vingi sana hamna tumaini

Kifupi unakuwa ushafeli teyari.
 
Mbona kawaida tu mzee baba,, sisi malegend tumeshazoea huku kitaani,,

Wewe unalalamika nafasi moja kuitwa watu 280?!

Umesahau ule usaili wa TRA uliofanyika Uwanja wa Mkapa karibu watu 6000 walienda wakati walitakiwa watu kiduchu?!

Umesahau usaili wa immigration?!

Inakuwaje kwa ajira za walimu waliositishiwa ajira zao karibu miaka mitatu sasa?! Alafu zikitoka utaambiwa age limit 28?!

Tatizo la ajira ni wimbo wa taifa mkuu, tena ni janga la dunia nzima, fikiria Nigeria kuna watu zaidi ya milioni 150,000 watatoa ajira ngapi?! Sembuse sisi million almost 60 tu!

Tusubiri kwanza Papaa Mukulu, Mobimba, meko akusanye fedha zote kwaajiri ya Mega project "huenda" akatufikiria mkuu,, au ndo tukaambiwa tujiajiri kwa vitambulisho vya wamachinga!
 
Nenda wew mi hata wangekuwa buku kama ni utumishi na nina nauli yangu ya kutosha lazima nitimbe hata kama utakosa kuna kitu utakuwa umeongeza bt ukikaa usibirie muitwe 50 hutohudhuria hata saili moja maaan siku hizi kila mtu anasoma syo mijini wala vijijn na vyuo kila mwaka vnamwaga watu mtaani so cha msingi wwe kama wew unatakiwa uwe deep sana kwenye fani yako yani usikubali kitu kiwe kwenye fani yako alafu hukijui yani unakuwa ni uzembe na usirizike tu kwa kuwa unagamba sijui lenye GPA za kibabe ikawa basi.

Jifunze vitu vingi ili kwenye mchujo na oral uwakimbize wenzako mwisho ni kumtanguliza sir god kwa kila jambo.
 
Sasa mtu amezaliwa huko vichochoron ht connection hana cjui analiaje hapo
 
Wakuu hiki kitu kinakatisha tamaa na kinatisha sana.

Sijui serikali inaliona hili jambo na ina mipango gani ya haraka itusaide tutoke huku tulipo.

Maana tunapoelekea hili ni bomu linaendelea kujitengeneza.
TBA wametangaza majina ya vijana walioitwa kwenye usaili wa kazi mechanical engineer watu 280 nafasi mtu mmoja t anahitajika.

Yani probapility ni 0.001 kwa kila mtu, kiukweli inakatisha tamaa sana.

Serikali inabidi ituangalie na sie wakada hii ya uhandisi hali ni mbaya kwakweli. Hapo mtu unaenda kwenye usaili kichwa kinawaza vitu vingi sana hamna tumaini

Kifupi unakuwa ushafeli teyari.
Chagua lisu acha kulialia wakati unajua dawa
 
😁😁😁 tuliosoma Propability tunasema probability never exceed one 1 so hapo ni sawa kabisa
 
Wakuu hiki kitu kinakatisha tamaa na kinatisha sana.

Sijui serikali inaliona hili jambo na ina mipango gani ya haraka itusaide tutoke huku tulipo.

Maana tunapoelekea hili ni bomu linaendelea kujitengeneza.
TBA wametangaza majina ya vijana walioitwa kwenye usaili wa kazi mechanical engineer watu 280 nafasi mtu mmoja t anahitajika.

Yani probapility ni 0.001 kwa kila mtu, kiukweli inakatisha tamaa sana.

Serikali inabidi ituangalie na sie wakada hii ya uhandisi hali ni mbaya kwakweli. Hapo mtu unaenda kwenye usaili kichwa kinawaza vitu vingi sana hamna tumaini

Kifupi unakuwa ushafeli teyari.
Mbona ratio nzuri tu
 
Nenda wew mi hata wangekuwa buku kama ni utumishi na nina nauli yangu ya kutosha lazima nitimbe hata kama utakosa kuna kitu utakuwa umeongeza bt ukikaa usibirie muitwe 50 hutohudhuria hata saili moja maaan siku hizi kila mtu anasoma syo mijini wala vijijn na vyuo kila mwaka vnamwaga watu mtaani so cha msingi wwe kama wew unatakiwa uwe deep sana kwenye fani yako yani usikubali kitu kiwe kwenye fani yako alafu hukijui yani unakuwa ni uzembe na usirizike tu kwa kuwa unagamba sijui lenye GPA za kibabe ikawa basi.

Jifunze vitu vingi ili kwenye mchujo na oral uwakimbize wenzako mwisho ni kumtanguliza sir god kwa kila jambo.
Wanataka ulaini WAKATI hali halisi wanaijua, hyo ratio Ni nzuri kabisa na ndio maana halisi ya SURVIVAL FOR THE FITTEST.
 
Back
Top Bottom