Uchaguzi 2020 Nahitaji msimamo wa CCM kuhusu ajira, kuongeza mishahara, Fao lakujitoa na namna ya kukabiriana na majanga ili Lissu apate mawazo

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2016
3,590
8,475
CCM mgombea wake kazungumzia ndege,barabara,stigraz,sgr na meli .

Ningependa kusikia pia akizungumzia mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja na effect zake zinaonekana ndani ya muda mfupi, nayo nihayo niliyoorodhesha kwenye kichwa cha habari cha thread hii.

Lakini niwakumbushe wana CCM "TUMPIGIE KURA TAL" kwa ustawi wa maisha yetu,nchi yetu, pamoja nakizazi chetu kijacho.
 
CCM mgombea wake kazungumzia ndege,barabara,stigraz,sgr na meli....
Tumpigie Tundu Lissu ili Wakenya wamikikishwe Tanzanite yetu, Mlima Kilimanjaro, Benki kuu, na Bandari ya Tanga.
NB Labda angekuwa hata Hashimu Rungwe lakini Tundu Lissu tayari ameingia Mkataba wa Kuhakikisha vishika uchumi wa nchi vinateteleka.

Mwambie TUNDU LISSU Kila anakopita anakiharibu
 
fao la kujitoa linatuhusu sana jamii moja kwa moja na uhakika wa pesa zetu. barabara zitakuja na ndege zitakuja nyuma
Naam, fao la kujitoa linamhusu kila aliye ajiliwa na mwajiliwa mtarajiwa.

- mleta mada anataka CCM walitolee msimamo, kitu ambacho naona hawatofanya kwani kati ya mengi aliyo sema Lissu,walio amuwa kuyajubu tayari wamesha yajibu na hilo si miongoni mwayo.

Hivyo basi CCM wataendelea kukanyaga maslahi ya waajiriwa wa sasa na wajao.
 
Tumpigie Tundu Lissu ili Wakenya wamikikishwe Tanzanite yetu, Mlima Kilimanjaro, Benki kuu, na Bandari ya Tanga.
NB Labda angekuwa hata Hashimu Rungwe lakini Tundu Lissu tayari ameingia Mkataba wa Kuhakikisha vishika uchumi wa nchi vinateteleka.
Mwambie TUNDU LISSU Kila anakopita anakiharibu
Pigia kura Lissu kwa ajili ya "uhuru haki na maendeleo".
 
CCM mgombea wake kazungumzia ndege,barabara,stigraz,sgr na meli...

Mgombea wao anapo ongelea suala la ajira, kuboresha mishahara, nk. Huwa anajawa na uso wa aibu na uliojaa uongo mwingi.

Wahitimu wa vyuo, Wastaafu na Watumishi wa Umma, ni vyema wakaamua kwa pamoja. Hakuna kumpigia kura magufuli! Ili hata kama atashinda kwa bao la mkono, afahamu fika hatumkubali.
 
Tumpigie Tundu Lissu ili Wakenya wamikikishwe Tanzanite yetu, Mlima Kilimanjaro, Benki kuu, na Bandari ya Tanga.
NB Labda angekuwa hata Hashimu Rungwe lakini Tundu Lissu tayari ameingia Mkataba wa Kuhakikisha vishika uchumi wa nchi vinateteleka.
Mwambie TUNDU LISSU Kila anakopita anakiharibu
Hujui kitu Bora ukae kimya.
 
Hii ni JF home of GT,huu upuuzi wako ungepeleka Facebook pengine ungeeleweka!Mnakera sana mnapoandika pumba utafikiri JF ni kwa wajinga wajinga!
 
Mgombea wao anapo ongelea suala la ajira, kuboresha mishahara, nk. Huwa anajawa na uso wa aibu na uliojaa uongo mwingi.

Wahitimu wa vyuo, Wastaafu na Watumishi wa Umma, ni vyema wakaamua kwa pamoja. Hakuna kumpigia kura magufuli! Ili hata kama atashinda kwa bao la mkono, afahamu fika hatumkubali.
Hakika inatakiwa tukampumzishe chato.
 
Back
Top Bottom