safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,164
- 15,841
Utumwa wa kweli ni kufanya usichokipenda katika maisha yako, utumwa ni kulazimishwa, kutokuridhika na kile unachofanya.
Babu zetu walikuwa watumwa kwa sababu walilazimishwa kulima na kufanya kazi zingine bila hiari zao na kufungua nafsi.
Lakini leo babu zetu wanalima pia ila hawalalamiki kuwa ni utumwa kwa sababu wako huru kinafsi wameridhika.
Kwa hiyo unaweza kujiajiri na bado ukawa mtumwa kwa sababu tu unatafuta pesa lakini moyo haupendi hiko kitu unachotumia kutafuta pesa.
Na unaweza kuajiriwa na bado ukawa HURU kwa sababu unachokifanya unapenda na unakifurahia licha ya mshahara mdogo unaoupata.
Uhuru wa nafsi unakupa maana halisi ya utumwa, daktari ambaye anaipenda kazi yake hawezi kuacha kazi hiyo kwa kikwazo cha mshahara mdogo.
Kweli ni mdogo lakini kuenjoy kwake kazi hiyo ni kukubwa kuliko machungu ya kuongezewa laki unusu kwa mwaka.
KAMA UNAIPENDA KAZI UNAYOIFANYA USIACHE, BAKI NA KAZI YAKO KWANI UPO HURU KINAFSI.