Uchaguzi 2020 Ni kwanini 'Ajira' za kuwa Mshauri Mkuu wa Rais/Kampeni Meneja wa Mgombea Urais nchini Tanzania huwa hazitangazwi wengine tuziombe?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,920
"Ni mara chache sana kukuta watu wamefurika hivi tena asubuhi saa 2, wenzetu kule wanajua kuchakata, wanatumia picha za miaka ya zamani waonekane wamejaza watu kwenye kampeni zao, waje wajionee kwenye kampeni za CCM watu walivyofurika, hongereni sana." - Dkt. Magufuli, Igalula.

Kwa haya 'Maajabu' yanayoendelea sasa kuna Uwezekano mkubwa wengine muda wowote tukaanza kuficha Mgombea tunayemshabikia na Chama.
 
Hivi huyu mzee ataacha upotoshaji linii?
Kazidi sana
Mwambieni mikutano yake wanajaa wanafunzi na wasanii
 
Mkuu huwa ninasema nchi inaweza kuongozwa na mtu yoyote, ili mradi asiwe ni kichaa anayevua nguo hadharani. Nadhani sasa hivi unaojionea hayo Maboko ya mzee baba. Kaenda kwa Esther Bulaya kasema hakuna taa za barabarani kwa kuwa walikosea kwa kuchagua mpinzani. Kufika kwa Zito kakuta taa zipo, anasema kaziweka yeye maana maendeleo hayana chama!

Ninavyokujua ww hata ukipata nafasi na kwenda kuwa mshauri, atasema ww mchana ni ccm, ila usiku ni cdm. Yaani kwa ujumla anataka machizi fresh kama kina Kabudi, Polepole nk. Watu wa aina yako hawatakiwi.
 
Juzi si tulikuwa tunasema wanaojaza mikutano ya wenzetu sio wote wapiga kura??
 
Pole Gentamycine, uzuri chama chako tunakijua comrade
"Ni mara chache sana kukuta watu wamefurika hivi tena asubuhi saa 2, wenzetu kule wanajua kuchakata, wanatumia picha za miaka ya zamani waonekane wamejaza watu kwenye kampeni zao, waje wajionee kwenye kampeni za CCM watu walivyofurika, hongereni sana." - Dkt. Magufuli, Igalula.

Kwa haya 'Maajabu' yanayoendelea sasa kuna Uwezekano mkubwa wengine muda wowote tukaanza Kuficha Mgombea tunayemshabikia na Chama.
 
Utaweza kubeba mikoba yenye hirizi , pembe , mikufu ya kibudha , majini mazimwingara ,uko tayari ? Wanasiasa wa kiafrika we waone hivyohivyo wametoa watoto ,wake , wamebaka , na Mambo mengi machafu wamefanya a .k.a Kigwangalaism .
 
Back
Top Bottom