Salary for lecturers (Masters degree/PhD.) - NGAZI ZA MISHAHARA SERIKALINI

J1mbo

New Member
Oct 19, 2020
4
1
Halo kila mtu

I am a scientist from Germany and very interested in tanzania. This is why i applied for a funded research project with the university of dar es salaam.
Since I need the actual salaries for admitting it to our german funding agency, I wanted to ask if there is any public table with salaries for professors, lecturers and PhD. candidates available.
I found the "NGAZI ZA MISHAHARA SERIKALINI – AJIRA" from 2014, but it does not really help a lot since there are hundreds of different numbers.
Maybe anyone of you can help me on where to find that information?

Thanks a lot

_________________

Mimi ni mwanasayansi kutoka Ujerumani na ninapenda sana tanzania. Hii ndio sababu niliomba mradi wa utafiti uliofadhiliwa na chuo kikuu cha dar es salaam.

Kwa kuwa ninahitaji mishahara halisi ya kuiingiza kwa wakala wetu wa ufadhili wa ujerumani, nilitaka kuuliza ikiwa kuna meza yoyote ya umma na mishahara ya maprofesa, wahadhiri na PhD. wagombea wanapatikana.

Nilipata "NGAZI ZA MISHAHARA SERIKALINI - AJIRA" kutoka 2014, lakini haisaidii sana kwani kuna mamia ya nambari tofauti.

Labda yeyote kati yenu anaweza kunisaidia ni wapi nipate habari hiyo?

Asante sana
 
Asante kwa majibu yako

Is there any official document for that? Maybe a table from the state or university? Since I need to give this to our funding ministry.
 
Out of point acha kuchafua thread sio level yako hii ni watu wasomi tu
Unajivunia nn kuwa msomi wakati huna hata chembe ya kitu Cha kukufanya ukumbukwe katika taifa lako

Usijimwambafai kwa usomi ulio nao Bali tumia Elimu yako kufanya kitu ili ukumbukwe Zaid na jamii yako na ndugu zako.

Elimu yako Ni makaratasi tu ambayo Kama huna pesa utaonekana mgonga ulimbo tu Kama hao ambao unaona Elimu zao ndogo hzo master's na PhD zimejaa kibao tu na kichwani bado wako empty tu huku kitaa tunachoangalia akili ya kuzaliwa ile uliofundishwa ingali ulimi mzito hata kutamka maji.
 
Ni official documents. Hairuhusiwi kuwa disclosed kwa watu..
Is there still any way to get something official? Who do i have to contact for an official statement? Maybe you have a contact?
 
Naomba muendelee na marumbano JF imepoa kila uzi siasa nimemis battle za members please do continue

Hahaaaaa
 
Msaidieni Basi huyu 'mjarumani' jamani. Kama kuna anaejua wapi anaweza pata official document au hata table tu kuonesha hizo scales mradi iwe official amsaidie.

Kafanya jambo jema kuuliza humu kwa kuwa anaamini atasaidiwa. Tumsaidie Basi tunaojua.

Sent from my Redmi Note 6 Pro using JamiiForums mobile app
 
Unajivunia nn kuwa msomi wakati huna hata chembe ya kitu Cha kukufanya ukumbukwe katika taifa lako

Usijimwambafai kwa usomi ulio nao Bali tumia Elimu yako kufanya kitu ili ukumbukwe Zaid na jamii yako na ndugu zako.

Elimu yako Ni makaratasi tu ambayo Kama huna pesa utaonekana mgonga ulimbo tu Kama hao ambao unaona Elimu zao ndogo hzo master's na PhD zimejaa kibao tu na kichwani bado wako empty tu huku kitaa tunachoangalia akili ya kuzaliwa ile uliofundishwa ingali ulimi mzito hata kutamka maji.
Layman point of view, ulivyoona jina Agogwe ukajua ni pimbi mwenzako?
 
Back
Top Bottom