Natafuta ajira

sulebanji

New Member
Oct 10, 2020
3
1
Habari zenu wote,

Nina umri wa miaka 44 na ninatafuta ajira. Niko kwenye matatizo na hali yangu kiuchumi ni ngumu. Nina uzoefu wa mambo ya stationary, kuuza duka, reception. Ninaishi Kijichi na niko tayari kuanza hata Jumatatu ijayo.

Nitashukuru msaada wenu.
 
Habari zenu wote. Nina umri wa miaka 44 na ninatafuta ajira. Niko kwenye matatizo na hali yangu kiuchumi ni ngumu. Nina uzoefu wa mambo ya stationary, kuuza duka, reception. Ninaishi Kijichi na niko tayari kuanza hata Jumatatu ijayo. Nitashukuru msaada wenu.
Daah!miaka 44 bado unatafta ajira ...we njisia gan!
 
Habari zenu wote. Nina umri wa miaka 44 na ninatafuta ajira. Niko kwenye matatizo na hali yangu kiuchumi ni ngumu. Nina uzoefu wa mambo ya stationary, kuuza duka, reception. Ninaishi Kijichi na niko tayari kuanza hata Jumatatu ijayo. Nitashukuru msaada wenu.
Njoo ujiunge kwenye group la telegram la kazi,nakuwekea link hapa chini.
JOBS SEEKERS & EMPLOYER
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom