Wale waliokutana na ajira toka UNCIED, kimbieni mnaibiwa! UN wanasema hawana chombo kama hicho

msanawa

Senior Member
Nov 27, 2014
161
177
Jamani wadau nimehangaika na hawa watu tangu May nikiamini nimekula shavu but nimetembelea ukurasa wa UN nimekuta tahadhari kubwa mno juu ya utapeli wao.

Japo hawajafanikiwa kuniibia chochote but wamenipotezea muda sana. Na tangazo lao lilikuwa hili. Waliolipata na kujaribu kulifanyia kazi, mnaenda kuumiaa🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️
 

Attachments

  • United-Nations-Commission-for-Industrial-and-Economic-Development-UNCIED.pdf
    243.2 KB · Views: 13
Back
Top Bottom