Bustani zote kuwekwa Wi-Fi ili vijana wetu watumie kwenye shughuli zao za kielimu na ajira pia

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,746
48,386
Hii safi sana, vijana wetu waendelee kufundishwa systems developments ikiwemo apps na games development na mengine mengi, wawe wanakaa kwenye hizi bustani mchana kutwa wakifanya kazi zao....

Pia itarahisisha kwa tuliobobea kwenye tasnia ili kuwasaidia vijana, unatenga masaa mawili kila siku na kuwachukua kama 20 hivi na kuwapa darasa hayo maeneo kabla kurudi ofisini.....

=====

Green spaces and parks in Nairobi will soon have streetlights integrated with free Wi-Fi for use by residents who frequent them, Nairobi Metropolitan Services (NMS) has said.

NMS Director-General Mohamed Badi said that the new development is part of plans to modernise streetlights in Nairobi into smart light system.

Some of the green spaces targeted include Michuki Park, City Park, Central and Uhuru parks, Jevanjee Gardens, Jamhuri Park and Ngong Road forest.

“We have been repairing and replacing streetlights within Nairobi, upgrading them to a smart light system,” said Maj Gen Badi.

The NMS boss said that since taking over the four transferred functions in mid-March, they have repaired 50,000 street lights.

The shift to smart light system will also see some of the street lights integrated with cameras for protection and security.

The streetlights have also been retrofitted with high-pressure sodium (HPS) lights to brighten up the city.

Smart street lighting control system consists of controllers and a cloud-based software for real-time management.

It uses open wireless mesh communication, enabling standalone street lighting infrastructures to become hubs for internet.

The smart communication controllers are GSM-based with a SIM card able to transmit data from street sensors to the cloud.

“We hope that with modern streetlights, we will be able to light up Nairobi city as it should be. This is by having intelligent lighting in the city which will eventually lead to Nairobi being a smart city, where the streetlights and public lights will do much more than just lighting the city,” he said.

NMS has reclaimed and beautified a number of parks and green spaces in Nairobi since March with Michuki Park rehabilitated to a botanical garden and recreational park within an urban set-up.

This has seen the famous recreational park have flood lights installed, walkways rehabilitated, a 500-sitter amphitheater, a new guard house, a café as well as an event’s ground set up .


 
Nakumbuka TTCL walifunga free WiFi kwenye vituo vyote vikubwa vya daladala Dar, wakaondoa baada ya kuona hamna watumiaji

Huku hata daladala zina free WiFI, ila hii ya kuiweka kwenye bustani za umma ni hatua kali sana, vijana watahitaji tu laptops na kupiga kazi.
 
Huku hata daladala zina free WiFI, ila hii ya kuiweka kwenye bustani za umma ni hatua kali sana, vijana watahitaji tu laptops na kupiga kazi.
Watafanya kazi gani na Wi-Fi wakati kazi mtaani za kuzibua mitaro zinawasubiri?
 
Wi-Fi za nini wakati county imejaa hustlers ? Zingewekwa wheelbarrows tu
1-80.jpg
 
Kapate elimu kwanza ndio uje kuhoji, vitu kama hivi vinahitaji wanaojua English sio nyie wa wa buza ze ze ze hehehehe
Kwa uelewa wangu finyu najua kazi mtaani ni kuzoa taka na kufyeka majani pembeni mwa barabara kama wafanyavyo Tanroads, pia kutengeneza Park areas maeneo ya mabanda, nitafutie kibarua basi jirani?

Hustler ndio alipatia slogan yake ya wilbaro kutokana na hiyo kazi mtaani ilioanzishwa na uhuru lakini mnamsulubisha utafikiri kaleta dini mpya ya makafiri
 
Nchi ya watu wasiokua na elimu na maskini kama kwenu huko hamtaelewa hili, upeo wako umeishia kwenye hilo la kuzibua vyoo.
Mbona kenya pia mnasifa ukizotaja
Anyway iyo Ni hatua nzuri big up
 
Huku hata daladala zina free WiFI, ila hii ya kuiweka kwenye bustani za umma ni hatua kali sana, vijana watahitaji tu laptops na kupiga kazi.
Sasa ndio mtumie fursa hiyo kujifunza vitu vya kujenga, ila kwa asili yenu ya wizi na utapeli mtajifunza wizi /ulaghai wa kwenye mitandao na sitashangaa soon mkiwapiku wanigeria kwenye wizi wa kwenye mitandao.
 
Back
Top Bottom