GREAT VISIONAIRE
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 365
- 453
Madhara ya covid 19 yameishambulia kenya na kuwa nchi ya kwanza kwa sub saharan africa kuingia katika recession tokea miaka 30 iliyopita.
Miezi mitatu ya mwisho october mpaka december 2020, GDP ya Kenya ilishuka kwa 5.5% na uzalishaji katika sekta za usafirishaji, viwanda, biashara vilishuka kwa asilimia 60, na hivyo kusababisha watu takribani milioni 2.8 kukosa ajira.
Mwezi wa December bunge la kenya liliomba mkopo imf wa dola billioni 2.3 ili kusaidia kulipa mishahara ya wafanyakazi kwa sababu serikali haikuwa na pesa za kuendesha shughuli na kulipa mishahara. Changamoto iliyojitokeza bungeni ni kuwa walishafikia kikomo cha mikopo kwa 90% ya GDP na hivyo ili kupata mkopo wa imf wa dola bilioni 2.3 ilibidi warekebishe sheria kuongeza kiwango cha mkopo kwa asilimia dhidi ya GDP.
Hata hivyo imf iliwaonya na kuiambia serikali ya kenya kuacha kuficha madeni kwa maana kuna madeni ya majimbo walikuwa hawayaripoti na ikiwa yakiongezwa basi deni kwa gdp itafikia 98% kabla ya deni jipya waliloliomba la dola billioni 2.3.
Hata hivyo imf imesema uchumi wa nchi ya kenya utakuwa kwa kasi kuanzia mwaka 2021.Wakati huohuo gavana wa kenya bwana Njoroge ameonyesha wasiwasi wake kuhusu uchumi wa kenya kwa mwaka 2021 kuwa na hali mbaya zaidi.
Imf ambao wanaonekana ni taasisi inayotoa taarifa zisizo sahihi kwa mwaka 2020 ilionyesha uchumi wa kenya kukua kwa asilimia 7.1% ikiongoza afrika mashariki lakini hali ikawa tofauti kwa uchumi kushuka kwa asilimia 10.
Huu ni mwanzo na tutapata hakika. Wakati huohuo kenya inajiandaa kupokea chanjo za covid 19.

Virus cuts Sh82b from economy in just 6 months

www.google.com