Naona kama mabinti waliohitimu vyuo wanakabiliana vizuri na changamoto ya ajira kuliko vijana wa kiume

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,885
Hii ni kitu nimeiona baada ya kufanya utafiti wa kijuu juu. Nimeona mabinti wengi wanachakarika na ujasiriamali.

Ninekutana na wahitimu wa vyuo ambao ni mama ntilie. Wanapiga umachinga mdogomdogo wa nguo za kike, juice, viatu nk. Pia wamekuwa mstari wa mbele kuhudhuria mafunzo ya ujasiriamali kama kutengeneza sabuni nk.

Imekuwa kazi sana kumkuta mhitimu wa kiume akifanya hizi ishu ndogondogo kama kuchoma chips na mishkaki. Nini shida kwa vijana wakiume kuingia kwenye sekta isiyo rasmi baada ya kumaliza chuo?

Rai yangu, Serikali ijitahidi kwa nguvu zote kuweka mazingira ya vijana kuweza kujiajiri.
 
Wanawake tumeamua kuchakatika na kila shughuli ukitafta hela hamna kuona aibu, tena tumejiunga na vikundi tunacheza na michezo hatutaki utani maisha yetu wanawake tusipofanya kazi tutakuwa jamvi la wageni.
Hali hii imesababisha ongezeko la ving'asti wengi mjini;

Sisi tunawashukuru sana, sisi wazembe sasa kazi yetu imekuwa kwenda GYM kujaza body, kuwavutia zaidi.
 
Wanawake tumeamua kuchakatika na kila shughuli ukitafta hela hamna kuona aibu, tena tumejiunga na vikundi tunacheza na michezo hatutaki utani maisha yetu wanawake tusipofanya kazi tutakuwa jamvi la wageni.
Waachaaa... Naona mada imekugusa kweli.
 
Wanawake tumeamua kuchakarika na kila shughuli ukitafta hela hamna kuona aibu. Tena tumejiunga na vikundi tunacheza na michezo hatutaki utani maisha yetu wanawake tusipofanya kazi tutakuwa jamvi la wageni.
Ni kweli kabisa na ukiongezea na wale masponsa wa kile kipochi chenye asali ya nyuki wadogo....
 
Kuna binti namfahamu ni best yawa mpenzi wangu walimaliza chuo wote mwaka mmoja na chuo kimoja ,kozi moja...Manzi yangu alibahatika kupata kazi mwenzie akabaki mtaani kwa mudabaadae akaamua auze nguo alianza kama utani na mimi mwanzoni nilivaa sana nguo zake za mtumba kwa sasa ana duka ni miaka 3 tu imepita na anajitegemea na maisha yanaenda.
 
wacha wachakarike, zamu yao sasa tuteleze kwenye ganda lao, unakula papuchi na pesa
 
Hii ni kitu nimeiona baada ya kufanya utafiti wa kijuu juu. Nimeona mabinti wengi wanachakarika na ujasiriamali.

Ninekutana na wahitimu wa vyuo ambao ni mama ntilie. Wanapiga umachinga mdogomdogo wa nguo za kike, juice, viatu nk. Pia wamekuwa mstari wa mbele kuhudhuria mafunzo ya ujasiriamali kama kutengeneza sabuni nk.

Imekuwa kazi sana kumkuta mhitimu wa kiume akifanya hizi ishu ndogondogo kama kuchoma chips na mishkaki. Nini shida kwa vijana wakiume kuingia kwenye sekta isiyo rasmi baada ya kumaliza chuo?

Rai yangu, Serikali ijitahidi kwa nguvu zote kuweka mazingira ya vijana kuweza kujiajiri.
Umeiona baada ya kufanya tafiti za kijuu juu, Siku ukifanya tafiti za kichini chini pia utupe na results zetu.
 
Hii ni kitu nimeiona baada ya kufanya utafiti wa kijuu juu. Nimeona mabinti wengi wanachakarika na ujasiriamali.

Ninekutana na wahitimu wa vyuo ambao ni mama ntilie. Wanapiga umachinga mdogomdogo wa nguo za kike, juice, viatu nk. Pia wamekuwa mstari wa mbele kuhudhuria mafunzo ya ujasiriamali kama kutengeneza sabuni nk.

Imekuwa kazi sana kumkuta mhitimu wa kiume akifanya hizi ishu ndogondogo kama kuchoma chips na mishkaki. Nini shida kwa vijana wakiume kuingia kwenye sekta isiyo rasmi baada ya kumaliza chuo?

Rai yangu, Serikali ijitahidi kwa nguvu zote kuweka mazingira ya vijana kuweza kujiajiri.
Wanawake wakiwezeshwa wanaweza! Tafakari
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom