Nina Stashahada ya Uhasibu, natafuta ajira

Jacky880

Member
Jan 3, 2021
13
11
Elimu ni stashahada ya uhasibu ila kazi yoyote nipo tayari naomba msaada ma boss mliopo humu Mimi binti wa miaka 25 naishi Kibaha, Pwani

0628882267

Asante!
 
Hujaenda kwa Abdulghafir apo Miyomboni ana ana kaza za uhasibu
 
Soko lao kubwa sana,ni ngumu Sana kumkuta mhasibu Hana kazi,maana kwenye kila mradi/ofisi wannahitajika
Aise kama market analysis unaifanya kama hivi mzee utakuja ground ikupige za uso hutoamini

kwa analysis yako hii Walimu ndio wana soko pana saaana mpaka dakika hii walimu wote wangekuwa na ajira Tz kuna mashule kibao yaani Tz kuna shule nyingi ukiwekewa list ya hizo shule kwenye screen yako ya siku uanze ku Scrolling kwenda chini mpaka unamaliza kidore kinauma ila still we have dozen of teachers hawana ajira unaposema eti wana uwanja mpaka ujue una upana wa kihasi gani na wao wapo kihasi gani.
 
Kweli aisee wengi tuna elimu hyo hvyo kupata dah bahati
 
Elimu ni stashahada ya uhasibu ila kazi yoyote nipo tayari naomba msaada ma boss mliopo humu Mimi binti wa miaka 25 naishi Kibaha, Pwani

0628882267

Asante!
Nikushauri tu unapoomba nafasi sehemu yoyote kama ulivyofanya hapa ni vyema ukaweka details za CV yako ambazo sio personal, kama uzoefu, unajua nini, n.k. Ni vigumu mtu kuchukulia serious message kama hii ambayo ni kama unamuandikia rafiki akutunzie siti darasani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom