Natafuta ajira za viwandani

Lorenzo chuwa

New Member
Mar 27, 2019
3
2
Natumaini mko salama ningependelea kwa yeyote mwenye connection au ushauri wa kiwanda gani naweza kupata ajira haijalishi ni ya muda mfupi au laa.

Nitafanya kazi yeyote itakayokuwepo japo sina professional yeyote niliishia tu kidato cha nne. Nipo dar es salaam

Mawasiliano:+255 743 424 506
 
Mimi pia natafuta msaada wenu
Naitwa kassim
Naishi dsm mbagala
Yoyote hata kuuza chips na zingine zisizo na elimu

0714945058
 
Duh wadogo zangu naona mnataka kutumbukia kwenye shimo la moto,japokuwa hali ngumu lakini huko ni zaidi ya utumwa japokuwa si kote.
 
Wacha kuandika sentensi laini laini we jamaa
Siongelei porojo naongelea hali halisi wanayokumbana nayo Vijana huko Viwandani,wanachukulia shida zao kuwatesa na kuwanyonya vibaya mno. Kwa kuwa wewe labda una kazi yako nzuri kuwa na Moyo wa Kuwahurumia wengine.
 
Back
Top Bottom