ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Same: Watu 11 wafariki kwa ajali ya gari

    Moshi, Same. Watu 10 wamefariki katika ajali ya gari iliyotokea kijiji cha Kirinjiko Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro. Baadhi ya waliofariki katika ajali hiyo iliyotokea leo jioni Jumanne Aprili 13, 2021 baada ya gari aina ya Toyota Alphard kugongana uso kwa uso na gari jingine aina ya Toyota...
  2. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kijazi Interchange ni hujuma au ni ajali?

    Wameanza fensii zile za waya kila siku zinadondoshwa, sijajua next itakuwa ni nini. Naomba vyombo vya ulinzi wafuatilie isijekuwa ni hujuma za wazi wazi.
  3. JamiiForums Tanzania Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

    Sasa najiuliza ikiwa ripoti ya CAG imeonesha madudu je, ni jinsi gani sasa kama taifa tumeingiaje uchumi wa Kati? Ikiwa tumeibiwa Sana namna hii. Kuna bandiko linatembea nazani ni kutoka timu Sukuma Gang kujibu tuhuma za Msoga gang. ===== MWAMBIENI CAG, SISI TUMERIDHIKA! 1. Mwambieni CAG...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Ajali ya mabasi yaua 15

    Watu 15 wameripotiwa kufariki dunia nchini Kenya baada ya mabasi mawili kugongana maeneo ya Kizingo katika barabara Kuu ya Malindi kwenda Mombasa. Majeruhi wamepelekwa hospitali ya Malindi Kamishna Kutswa Olaka wa Kilifi amesema basi la Muhsin lilipoteza uelekeo na kuligonga gari la Sabaki...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tuepuke ajali za barabarani sambamba na ajali za mahusiano

    Ukimpa mtu ufunguo wa gari, mtu asiyejua kuendesha gari na kisha umwambie aendeshe gari unadhani nini kitatokea? Ni dhahiri kwamba itatokea ajali, tena ajali mbaya, itakayomdhuru yeye mwenyewe na walio karibu na yeye na chombo chenyewe. Mtu ambaye hajui kuendesha gari na anataka kuendesha gari...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya kumzuia mwendesha pikipiki asiumie pindi anapopata ajali

    Dunia inazidi kusonga mbele kwa kasi. Japo wanadamu wa kiafrika tupo kama tumesimama huku tu kutazama mwendo wa dunia. Sina shaka kwamba ajali za pikipikiHii ndio zinaongoza kwa kusababisha vifo vingi Afrika. Kuna teknolojia inakuja itaweza kupunguza vifo teknolojia hii ndio itaweza kuzuia...
  7. JamiiForums Tanzania Msafara wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar wapata ajali. Mmoja wa Watumishi wake afariki

    Hii ni kwa mujibu wa ITV . Taarifa zaidi zitawajia .... UPDATE Mhudumu wa ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hamis Machenga amefariki dunia baada ya msafara wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kupata ajali nje kidogo ya mji wa Zanzibar na watu kadhaa wamejeruhiwa.
  8. JamiiForums Tanzania Tiger Wood apata ajali mbaya ya gari, akimbizwa hospitali

    Taarifa zinasema kwamba ajali hiyo imetokea mjini California , huku dereva akiwa yeye mwenyewe ambapo ndani ya gari hilo alikuwa peke yake . Huenda akafanyiwa upasuaji . ====== Bingwa mara 15 wa mchezo wa gofu, Tiger Woods amepata ajali ya gari Los Angeles na anafanyiwa upausaji kufuatia...
  9. JamiiForums Tanzania Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

    Habari za jioni wakuu Nimeona taarifa za msiba za huyu mheshimiwa naibu Waziri wa zamani na sababu ya kifo chake imeelezwa ni ajali.. Binafsi sijawahi hata kuona picha wala hababri kuhusu hii ajali yake inayotajwa kuondoa uhai wake, hii ni ajali kweli au ni futa linatumaliza huku tukificha...
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu Tawala Arusha, Bw. Richard Kwitega afariki Dunia

    Salaam Wakuu, Habari Mbaya ni kwamba Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw.Richard Kwitega amefariki Dunia kutokana na ajali. Richard Kwitega kafariki alasiri ya leo kwa ajali ya gari katika kituo cha afya cha Magugu. Alikuwa anaenda Dodoma Kikazi, alipofika maeneo ya Mdori Manyara gari lake...
  11. JamiiForums Tanzania Ajali ya lori na treni ya abiria Buguruni

    Ajali ya Treni imetokea Vingunguti ikihusisha lori lililokuwa limebeba sukari lenye namba za usajili T 278 DQS na treni ya abiria. - Treni haikuwa na abiria. Chanzo: Azam TV
  12. JamiiForums Tanzania Gari ya Jaji yasababisha ajali baada ya kutanua, vijana wa ujenzi Mwenge-Morocco wagongwa

    Utanuaji wa magari ya Serikali sasa yameanza kusababisha maafa. Leo jioni gari Kilimo Kwanza la Jaji mmoja, pale Mwenge limesababisa ajali na kupelekea daladala lililouwa linamkwepa huyo mkubwa kugonga wajenzi wa barabara Mwenge-Morocco. Vijana kadhaa wajenzi wamegongwa na kukimbizwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Tarime mjini apata ajali Manyoni Singida

    Taarifa ya ajali Manyoni, Singida. Jamani hii ajali mbaya nimeishuhudia nipo kwenye Nyehunge ya Mwanza kuja Morogoro mjini duuhh mbaya sana imehusisha fuso moja hivi nayo tairi za mbele zote zimechomoka ndio chanzo cha ajali hii. ===== Mkurugenzi wa Tarime Mjini amepata Ajali mbaya sana maeneo...
  14. JamiiForums Tanzania Indonesia: Ndege aina ya Boeing 737 jet iliyokuwa na watu 62 yapata ajali na kupotelea ndani ya bahari

    Sriwijaya Air,Ndege ya abiria ya Indonesia ambayo iliripotiwa kupoteza mawasiliano mda mfupi baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Jakarta,imeanguka ikiwa na abiria 62, Wizara ya usafirishaji ya Nchi ya Indonesia imethibitisha. Mashuhuda wanasema wameiona Ndege ikilipuka karibu na Kisiwa cha...
  15. JamiiForums Tanzania Morogoro: Vifo vitokanavyo na ajali za barabarani vyapungua kwa asilimia 25

    Vifo ajali barabarani vyapungua 25% Vifo vinavyotokana na ajali za barabarani mkoani Morogoro vimepungua kutoka 90 mwaka 2019 hadi 57 mwaka jana, sawa na asilimia 25. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Musilimu, alisema jana kuwa vifo hivyo vimepungua kutokana na elimu inayoendelea...
  16. JamiiForums Tanzania TRC na Ajali ya Dodoma: Kuna tatizo la kiutendaji

    Hii ajali ya majuzi, treni kuacha njia baada ya mvua kubwa, limeniacha na maswali ambayo lazima yajibiwe. Baada ya ajali mbaya ya train na MV Bukoba zilizotokea miaka ya My Mkapa, Awamu ya pili, nilitegemea tutakuwa kumetengenezwa Standard Operatinal Procedures kwa kuendesha hivi vifaa vyetu...
  17. JamiiForums Tanzania Bahi, Dodoma: Treni iliyokuwa ikitoka Dar kuelekea bara imepata ajali. Majeruhi na vifo vyaripotiwa

    Nimepigiwa simu na mpwa wangu ambaye ni miongoni mwa abiria walionusurikana, kuwa treni iliyokuwa ikitoka Dar - Kigoma imepata ajali kilometa chache kutoka stesheni ya Dodoma. Inasemekana watu kadhaa wamejeruhiwa na inadaiwa watu 3 wamepoteza maisha. Naomba wahusika wafuatilie. ======...
  18. JamiiForums Tanzania MOI: Kuna ongezeko la Wagonjwa wengi watokanao na ajali. Nusu ya Wagonjwa ni ajali za bodaboda

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI), imesema imekuwa ikiwapoteza wagonjwa kati ya wawili hadi watatu kila mwezi katika Idara ya Wagonjwa wa Dharura kutokana na ajali zikiwamo za pikipiki. Ofisa wa Takwimu wa MOI, Joshua Ngahyoma, aliiambia Nipashe...
  19. JamiiForums Tanzania Iran yapata Pigo, sasa hivi si kutoka Israel bali ajali na majanga ya asili

    Mzuka Wanajamvi! Ayatollah pressure inazidi na anazidi kupata wakati mgumu Wapanda milima (climbers) 10 wamekufa katika milima ya kaskazini mwa Tehran baada ya dhoruba kubwa ya theluji kuanguka na wengi kadhaa hawafahamiki walipo. Pia mabaharia saba wamepoteza maisha baada ya dhoruba kali...
  20. JamiiForums Tanzania Wamama wamekuwa wakali na ajali za barabarani

    Dereva la lorry amekiona cha mtemakuni 😁😁😁😁😁😁
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…