Je, Sokoine alikufa kwa ajali ya gari, Au aliuawa kwa kupigwa risasi 18 kifuani?

Ferruccio Lamborghini

JF-Expert Member
Apr 15, 2020
1,664
2,517
Je, nani anasema ukweli kuhusu kifo cha Sokoine.!? Ni Nyerere aliyedai alikufa kwa ajali ya gari, lakini hakutaka kabisa watu wahoji wala kuchunguza ajali hiyo ilikuwaje au tumuamini Dr. Shaba aliyewahi kudai kwamba wakati anamfanyia postmortem alitoa risasi 18 kifuani..!? Nani alisema ukweli na nani alidanganya..!? Je, ukifa kwa ajali ya gari unatolewa risasi kifuani..!? Je, na aliyekufa kwa ajali ya gari kuna haja ya kuwaomba na hata kuwalazimisha watu waamini kwamba ni kweli kilikuwa kifo cha ajali ya gari..!? Je, kifo cha Edward Moringe Sokoine kitaendelea kuwa siri nyeti na tata ya taifa hili hadi lini…!!!!!!!!!!????????

Of course I found 18 bullets in his chest when I was doing postmortem” haya ni maneno yalitamkwa kwenye Bar moja jijini Dar es Salaam na Dr. Shaba (surgeon) daktari bingwa wa maswala ya upasuaji; ikumbukwe Dr. Shaba ndye aliyeufanyia mwili wa Marehemu Edward Sokoine utafiti baada ya kuuwawa kule Dakawa nje kidogo ya mji wa Morogoro.

Mwalimu Nyerere alifanya safari ya ghafla kwenda Msumbiji kwa Rais Samora Machel kuomba ushauri juu ya kasi ya utendaji wa waziri wake mkuu; kasi ambayo ilitishia usalama wa nafasi yake

haya ni maneno ya afisa mmoja mkubwa na msaidizi wa Mwalimu Nyerere aliyenukuliwa na baadhi ya wananchi.

Ndugu zangu watanzania wenzangu kijana wetu, ndugu yetu waziri mkuu Edward Moringe Sokoine amefariki dunia baada ya msafara wake kupata ajali huko Dakawa nje kidogo ya mji wa Morogoro; ndugu zangu watanzania nawaombeni sana muamini kwamba waziri mkuu Edward Sokoine amefariki kwa ajali ya gari

haya ni maneno ya Mwalimu Nyerere aliyowatangazia watanzania kwenye taarifa ya habari ya saa 10.00 kupitia Redio Tanzania tarehe 12 April 1984. “It’s impossible to believe that Prime Minister Edward Sokoine was died after his Mercedes Benz car crushed..!!! Even if the Mercedes Benz could crush with Scania lorry loaded with 40 tons still couldn’t die..!!! We have to send a team of seven experts to Tanzania to investigate on this issue because it may pose threats to our market strategy

haya ni maneno ya uongozi wa juu wa kampuni ya Mercedes Benz ya Ujerumani ambayo inatengeneza magari ya Mercedes Benz malumu kwa ajili ya kubeba viongozi wa dunia nzima, na gari aliyokuwa amepanda waziri mkuu Sokoine wakati kifo chake kinahusishwa na ajali hiyo ilikuwa Benz. Ajali ya Waziri mkuu Marehemu Edward Sokoine ilitokea muda mfupi baada ya Mzee Rashidi Kawawa ambaye alikuwa waziri katika ofisi ya Rais kuuza meli ya wananchi kinyemela kwa Tsh. 60 millioni ya mwaka 1984 ambapo Tsh. 20 zilikuwa ni sawa na US $ 1; ina maana meli hiyo iliuzwa kwa US $ 3 million (Tsh. 6.6 Billion) kwa thamani ya leo. Meli hii aliuziwa tajiri mmoja wa Kihindi kwa jina maarufu Lord Rajpar.

Pamoja na kwamba Mwalimu Nyerere na Mzee Kawawa ambao ndiyo wahusika wakuu wa ufisadi huu wa kutisha walishatangulia mbele ya haki, lakini shahidi mkuu na mshitakiwa namba tatu Lord Rajpar bado yupo hai na yupo hapa nchini. Je, waziri katika ofisi ya Rais anaweza kufanya ufisadi mkubwa wa kutisha wa Tsh. 6.6 Billion na Rais asiwe na habari na hata akijuwa bado tu abaki kimya….!!!??? Je, Nyerere na Kawawa waligawanaje pesa ya ufisadi huo…!?

Rashidi naenda Dodoma kulihutubia bunge nakupa siku saba uzirudishe pesa za wananchi Tsh. 60 millioni ulizouza meli ya wananchi; na kama ukishindwa nitakupeleka Redio Tanzania ukawaambie watanzania umezipeleka wapi pesa zao

hayo ni maneno ya mwisho kwa watanzania yaliyotamkwa na Marehemu Sokoine kwa kupitia Redio Tanzania wakati anajiandaa kwenda kulihutubia bunge Dodoma na alipoondoka kwenda Dodoma Mzee Kawawa akakimbilia kijijini kwao huko Liwale na Mwalimu Nyerere akafanya safari ya dharura nchini Mozambique. Waziri mkuu Edward Sokoine alitakiwa arudi kwa ndege kutoka Dodoma, lakini ghafla alipangiwa kwamba arudi na gari kwa vile alipangiwa na Mwalimu Nyerere akague mashamba ya mahindi mkoani Morogoro na wakati anarudi Dar es Salaam msafara wake ukapata ajali ya gari baada ya gari lilikokuwa limembeba kugongana na gari la Toyota Landcruser la mtu mmoja anayetajwa kama Dumisan Dube ambaye wengine wanamtaja kama raia wa Afrika ya Kusini na wengine wanamtaja kama raia wa Mozambique ambaye aliingia nchini muda mfupi kabla ya kifo cha Sokoine kutokea.

Inasadikiwa kwamba kwenye mgawo wa ufisadi huo mkubwa wa kutisha enzi hizo Mwalimu Nyerere alichukuwa Tsh. 50 millioni na Mzee Kawawa Tsh. 10 millioni; na hii ndiyo sababu kubwa ambayo Mwalimu Nyerere alikuwa anampenda sana Mzee Kawawa kwa vile hata aliweza kutumwa na Nyerere kufanya jambo baya na la kutisha, lakini bomu likifumuka Nyerere ameshamkana na wala hakuwahi kumtaja Nyerere wala kulalamika, bali siku zote alibeba lawama zote za bosi wake ili aendelee kuwa karibu naye na kutumbua nchi.

Je, kwa mtu mwenye akili timamu anaweza kuamini kwamba waziri mkuu akiwa kwenye msafara anaweza kufa kwa ajali ya gari tena siyo ya gari lake kupinduka, hapana, bali anakufa kwa kuwa gari lake limegongana na gari linguine ambalo halipo katika msafara huo…!!!??? Wote tunajua kwamba msafara wa viongozi wakuu wa kitaifa inakuwa na ulinzi mkali na hata hivyo si rahisi gari kuingilia msafara wa waziri mkuu kwa vile kuna pikipiki na magari mengi yanayotangulia mbele kabla ya gari lake na huku mengine mengi yakiwa nyuma yake pia. Sasa huyo Sokoine amekufaje kwa ajali ya gari..!!!???

Ningeambiwa amekufa kwa vile gari lake lilikuwa kwenye mwendo mkali likaserereka na kupata ajali ningelikubaliana na maneno hayo, lakini tuliambiwa na bado wanaendelea kuambia kwamba Sokoine alikufa kwa kuwa gari yake iligongana na Landcruser ya Dube..!!! “Sitaki uchunguzi wowote wa wataalamu saba wa kampuni ya Mercedes Benz ya Ujerumani; nawataka wachunguzi hao waondoke nchini mwangu mara moja kwa vile nilishawaambia watanzania kwamba Sokoine amekufa kwa ajali ya gari na wameshaamini; sasa wakifanya uchunguzi na wakaja na taarifa tofauti zinazoonyesha kwamba Sokoine hakufa kwa ajali ya gari, bali ameuwawa nitawaambia nini watanzania” haya ni maneno ya Mwalimu Nyerere.

Je, mtu aliyekufa kwa ajali ya gari una haja yoyote ya kuwaomba wananchi na ndugu zake waamini kwamba ni kweli amekufa kwa ajali ya gari..!? Kama kweli alikufa kwa ajali ya gari ni kwanini Mwalimu Nyerere alikataa timu ya Wajerumani wa Mercedes Benz wasifanye uchunguzi wao…!?

Kwanini kifo cha kutatanisha cha Marehemu Edward Sokoine kitokee mara tu baada ya waziri na swahiba wa karibu wa Mwalimu Nyerere Mzee Kawawa alipouza meli ya serikali kwa kiasi cha Tsh. 6.6 Billion na hata Sokoine alipomjulisha Mwalimu Nyerere kuhusu hilo hakupata ushirikiano wowote zaidi ya kujengewa chuki na ratiba ya msafara wake ikabadilishwa kwa kuambiwa kwamba asirudi kwa ndege, bali arudi kwa gari ili akague mahindi mkoani Morogoro na hapo hapo ndipo akauwawa na ajali ya gari…!!!!

Ikumbukwe kwamba wakati anaondoka kwenda Dodoma Marehemu Sokoine alisema maneo ya mwisho yafuatayo “Nikimaliza kuwatumbua majipu mawaziri wangu, basi napanda juu nikamtumbue majipu Mwalimu Nyerere kwa vile anaonekana siyo msafi” maneno haya ya Marehemu Sokoine yalimtisha sana na kumuweka katika wakati mgumu Mwalimu Nyerere na alikuwa hana jinsi yoyote zaidi ya kwenda kuomba ushauri kwa rafiki yake Samora Machel wa Mozambique.

Kulingana na ukweli huu ndiyo maana nawachukia wale wote wanamtaja Mwalimu Nyerere kwa uadilifu. Ufisadi wa kuuza meli ya taifa uliofanywa na Mzee Kawawa ulipata Baraka zote za Mwalimu Nyerere na hata pesa iliyopatikana waligawana na ndiyo maana hata Marehemu Sokoine alipokuwa anamkemea na kumbana Mzee Kawawa Mwalimu Nyerere alikuwa anambeza na ni kipindi hiki ambacho Mwalimu Nyerere alimuona Sokoine kwamba ni mtu hatari katika serikali yake. Sitaki kuzungumzia ufisadi wa Mwalimu Nyerere wa mali nyingi alizojilimbikizia nchi za nje, ila kama Rais Magufuli anakusudia kwa dhati kupambana na ufisadi kwa dhati kwa ajili ya kulikomboa taifa hili, basi anatakiwa aunde tume huru ili imchunguze Mwalimu Nyerere na mfumo wake wote wa utawala; tume hiyo ikiundwa, basi tutataji hadharani wapi Mwalimu Nyerere amezificha mali zake zote ili watanzania wote waweze kufunguka.

Nihitimishe makala hii kwa kusema kwamba hakuna binadamu mwadilifu mpaka athibitishe kwa vitendo. Edward Sokoine alikuwa mwadilifu na msafi kama malaika wa mbinguni na ndiyo maana Mwalimu Nyerere na mafisadi wenzake hawakumpenda na waliona wamsingizie kifo cha ajali ya gari ili watanzania waendelee kuwa watumwa wa mfumo wake wa kidhalimu. Aliyekufa kwa ajali ya gari hubembelezwi uamini, bali unaona wewe mwenyewe. Aliyekufa kwa ajali ya gari wasioamini hawazuiwi kuchunguza kifo chake. Aliyekufa kwa ajali ya gari hawezi kutolewa risasi 18 kifuani mwake.

Ukiyatafakari yote haya unakuta kwamba kifo cha Edward Sokoine kinaendelea kuwa siri nyeti na tata ya taifa hili licha ya kwamba Rais Magufuli anaimba nyimbo za mabadiliko ya kinafiki…!!!!!!!!!!!

©Dr. Noordin Jella
 
Je, nani anasema ukweli kuhusu kifo cha Sokoine.!? Ni Nyerere aliyedai alikufa kwa ajali ya gari, lakini hakutaka kabisa watu wahoji wala kuchunguza ajali hiyo ilikuwaje au tumuamini Dr. Shaba aliyewahi kudai kwamba wakati anamfanyia postmortem alitoa risasi 18 kifuani..!? Nani alisema ukweli na nani alidanganya..!? Je, ukifa kwa ajali ya gari unatolewa risasi kifuani..!? Je, na aliyekufa kwa ajali ya gari kuna haja ya kuwaomba na hata kuwalazimisha watu waamini kwamba ni kweli kilikuwa kifo cha ajali ya gari..!? Je, kifo cha Edward Moringe Sokoine kitaendelea kuwa siri nyeti na tata ya taifa hili hadi lini…!!!!!!!!!!????????
Of course I found 18 bullets in his chest when I was doing postmortem” haya ni maneno yalitamkwa kwenye Bar moja jijini Dar es Salaam na Dr. Shaba (surgeon) daktari bingwa wa maswala ya upasuaji; ikumbukwe Dr. Shaba ndye aliyeufanyia mwili wa Marehemu Edward Sokoine utafiti baada ya kuuwawa kule Dakawa nje kidogo ya mji wa Morogoro.

Mwalimu Nyerere alifanya safari ya ghafla kwenda Msumbiji kwa Rais Samora Machel kuomba ushauri juu ya kasi ya utendaji wa waziri wake mkuu; kasi ambayo ilitishia usalama wa nafasi yake
haya ni maneno ya afisa mmoja mkubwa na msaidizi wa Mwalimu Nyerere aliyenukuliwa na baadhi ya wananchi.
Ndugu zangu watanzania wenzangu kijana wetu, ndugu yetu waziri mkuu Edward Moringe Sokoine amefariki dunia baada ya msafara wake kupata ajali huko Dakawa nje kidogo ya mji wa Morogoro; ndugu zangu watanzania nawaombeni sana muamini kwamba waziri mkuu Edward Sokoine amefariki kwa ajali ya gari
haya ni maneno ya Mwalimu Nyerere aliyowatangazia watanzania kwenye taarifa ya habari ya saa 10.00 kupitia Redio Tanzania tarehe 12 April 1984. “It’s impossible to believe that Prime Minister Edward Sokoine was died after his Mercedes Benz car crushed..!!! Even if the Mercedes Benz could crush with Scania lorry loaded with 40 tons still couldn’t die..!!! We have to send a team of seven experts to Tanzania to investigate on this issue because it may pose threats to our market strategy
haya ni maneno ya uongozi wa juu wa kampuni ya Mercedes Benz ya Ujerumani ambayo inatengeneza magari ya Mercedes Benz malumu kwa ajili ya kubeba viongozi wa dunia nzima, na gari aliyokuwa amepanda waziri mkuu Sokoine wakati kifo chake kinahusishwa na ajali hiyo ilikuwa Benz. Ajali ya Waziri mkuu Marehemu Edward Sokoine ilitokea muda mfupi baada ya Mzee Rashidi Kawawa ambaye alikuwa waziri katika ofisi ya Rais kuuza meli ya wananchi kinyemela kwa Tsh. 60 millioni ya mwaka 1984 ambapo Tsh. 20 zilikuwa ni sawa na US $ 1; ina maana meli hiyo iliuzwa kwa US $ 3 million (Tsh. 6.6 Billion) kwa thamani ya leo. Meli hii aliuziwa tajiri mmoja wa Kihindi kwa jina maarufu Lord Rajpar. Pamoja na kwamba Mwalimu Nyerere na Mzee Kawawa ambao ndiyo wahusika wakuu wa ufisadi huu wa kutisha walishatangulia mbele ya haki, lakini shahidi mkuu na mshitakiwa namba tatu Lord Rajpar bado yupo hai na yupo hapa nchini. Je, waziri katika ofisi ya Rais anaweza kufanya ufisadi mkubwa wa kutisha wa Tsh. 6.6 Billion na Rais asiwe na habari na hata akijuwa bado tu abaki kimya….!!!??? Je, Nyerere na Kawawa waligawanaje pesa ya ufisadi huo…!?
Rashidi naenda Dodoma kulihutubia bunge nakupa siku saba uzirudishe pesa za wananchi Tsh. 60 millioni ulizouza meli ya wananchi; na kama ukishindwa nitakupeleka Redio Tanzania ukawaambie watanzania umezipeleka wapi pesa zao
hayo ni maneno ya mwisho kwa watanzania yaliyotamkwa na Marehemu Sokoine kwa kupitia Redio Tanzania wakati anajiandaa kwenda kulihutubia bunge Dodoma na alipoondoka kwenda Dodoma Mzee Kawawa akakimbilia kijijini kwao huko Liwale na Mwalimu Nyerere akafanya safari ya dharura nchini Mozambique. Waziri mkuu Edward Sokoine alitakiwa arudi kwa ndege kutoka Dodoma, lakini ghafla alipangiwa kwamba arudi na gari kwa vile alipangiwa na Mwalimu Nyerere akague mashamba ya mahindi mkoani Morogoro na wakati anarudi Dar es Salaam msafara wake ukapata ajali ya gari baada ya gari lilikokuwa limembeba kugongana na gari la Toyota Landcruser la mtu mmoja anayetajwa kama Dumisan Dube ambaye wengine wanamtaja kama raia wa Afrika ya Kusini na wengine wanamtaja kama raia wa Mozambique ambaye aliingia nchini muda mfupi kabla ya kifo cha Sokoine kutokea. Inasadikiwa kwamba kwenye mgawo wa ufisadi huo mkubwa wa kutisha enzi hizo Mwalimu Nyerere alichukuwa Tsh. 50 millioni na Mzee Kawawa Tsh. 10 millioni; na hii ndiyo sababu kubwa ambayo Mwalimu Nyerere alikuwa anampenda sana Mzee Kawawa kwa vile hata aliweza kutumwa na Nyerere kufanya jambo baya na la kutisha, lakini bomu likifumuka Nyerere ameshamkana na wala hakuwahi kumtaja Nyerere wala kulalamika, bali siku zote alibeba lawama zote za bosi wake ili aendelee kuwa karibu naye na kutumbua nchi.
Je, kwa mtu mwenye akili timamu anaweza kuamini kwamba waziri mkuu akiwa kwenye msafara anaweza kufa kwa ajali ya gari tena siyo ya gari lake kupinduka, hapana, bali anakufa kwa kuwa gari lake limegongana na gari linguine ambalo halipo katika msafara huo…!!!??? Wote tunajua kwamba msafara wa viongozi wakuu wa kitaifa inakuwa na ulinzi mkali na hata hivyo si rahisi gari kuingilia msafara wa waziri mkuu kwa vile kuna pikipiki na magari mengi yanayotangulia mbele kabla ya gari lake na huku mengine mengi yakiwa nyuma yake pia. Sasa huyo Sokoine amekufaje kwa ajali ya gari..!!!??? Ningeambiwa amekufa kwa vile gari lake lilikuwa kwenye mwendo mkali likaserereka na kupata ajali ningelikubaliana na maneno hayo, lakini tuliambiwa na bado wanaendelea kuambia kwamba Sokoine alikufa kwa kuwa gari yake iligongana na Landcruser ya Dube..!!! “Sitaki uchunguzi wowote wa wataalamu saba wa kampuni ya Mercedes Benz ya Ujerumani; nawataka wachunguzi hao waondoke nchini mwangu mara moja kwa vile nilishawaambia watanzania kwamba Sokoine amekufa kwa ajali ya gari na wameshaamini; sasa wakifanya uchunguzi na wakaja na taarifa tofauti zinazoonyesha kwamba Sokoine hakufa kwa ajali ya gari, bali ameuwawa nitawaambia nini watanzania” haya ni maneno ya Mwalimu Nyerere. Je, mtu aliyekufa kwa ajali ya gari una haja yoyote ya kuwaomba wananchi na ndugu zake waamini kwamba ni kweli amekufa kwa ajali ya gari..!? Kama kweli alikufa kwa ajali ya gari ni kwanini Mwalimu Nyerere alikataa timu ya Wajerumani wa Mercedes Benz wasifanye uchunguzi wao…!?
Kwanini kifo cha kutatanisha cha Marehemu Edward Sokoine kitokee mara tu baada ya waziri na swahiba wa karibu wa Mwalimu Nyerere Mzee Kawawa alipouza meli ya serikali kwa kiasi cha Tsh. 6.6 Billion na hata Sokoine alipomjulisha Mwalimu Nyerere kuhusu hilo hakupata ushirikiano wowote zaidi ya kujengewa chuki na ratiba ya msafara wake ikabadilishwa kwa kuambiwa kwamba asirudi kwa ndege, bali arudi kwa gari ili akague mahindi mkoani Morogoro na hapo hapo ndipo akauwawa na ajali ya gari…!!!! Ikumbukwe kwamba wakati anaondoka kwenda Dodoma Marehemu Sokoine alisema maneo ya mwisho yafuatayo “Nikimaliza kuwatumbua majipu mawaziri wangu, basi napanda juu nikamtumbue majipu Mwalimu Nyerere kwa vile anaonekana siyo msafi” maneno haya ya Marehemu Sokoine yalimtisha sana na kumuweka katika wakati mgumu Mwalimu Nyerere na alikuwa hana jinsi yoyote zaidi ya kwenda kuomba ushauri kwa rafiki yake Samora Machel wa Mozambique.
Kulingana na ukweli huu ndiyo maana nawachukia wale wote wanamtaja Mwalimu Nyerere kwa uadilifu. Ufisadi wa kuuza meli ya taifa uliofanywa na Mzee Kawawa ulipata Baraka zote za Mwalimu Nyerere na hata pesa iliyopatikana waligawana na ndiyo maana hata Marehemu Sokoine alipokuwa anamkemea na kumbana Mzee Kawawa Mwalimu Nyerere alikuwa anambeza na ni kipindi hiki ambacho Mwalimu Nyerere alimuona Sokoine kwamba ni mtu hatari katika serikali yake. Sitaki kuzungumzia ufisadi wa Mwalimu Nyerere wa mali nyingi alizojilimbikizia nchi za nje, ila kama Rais Magufuli anakusudia kwa dhati kupambana na ufisadi kwa dhati kwa ajili ya kulikomboa taifa hili, basi anatakiwa aunde tume huru ili imchunguze Mwalimu Nyerere na mfumo wake wote wa utawala; tume hiyo ikiundwa, basi tutataji hadharani wapi Mwalimu Nyerere amezificha mali zake zote ili watanzania wote waweze kufunguka.
Nihitimishe makala hii kwa kusema kwamba hakuna binadamu mwadilifu mpaka athibitishe kwa vitendo. Edward Sokoine alikuwa mwadilifu na msafi kama malaika wa mbinguni na ndiyo maana Mwalimu Nyerere na mafisadi wenzake hawakumpenda na waliona wamsingizie kifo cha ajali ya gari ili watanzania waendelee kuwa watumwa wa mfumo wake wa kidhalimu. Aliyekufa kwa ajali ya gari hubembelezwi uamini, bali unaona wewe mwenyewe. Aliyekufa kwa ajali ya gari wasioamini hawazuiwi kuchunguza kifo chake. Aliyekufa kwa ajali ya gari hawezi kutolewa risasi 18 kifuani mwake. Ukiyatafakari yote haya unakuta kwamba kifo cha Edward Sokoine kinaendelea kuwa siri nyeti na tata ya taifa hili licha ya kwamba Rais Magufuli anaimba nyimbo za mabadiliko ya kinafiki…!!!!!!!!!!!

Dr. Noordin Jella
Daaah
Mkuu, umesaga kunguni vya kutosha.

Haya yote mngeyaleta enzi zile hata kipindi cha awamu ya kwanza ya Mkapa tungewaelewa.

Lakini kwa sasa ni kama kuna kisasi fulani mnakifanya kupitia huu utunzi mahiri
 
Je, nani anasema ukweli kuhusu kifo cha Sokoine.!? Ni Nyerere aliyedai alikufa kwa ajali ya gari, lakini hakutaka kabisa watu wahoji wala kuchunguza ajali hiyo ilikuwaje au tumuamini Dr. Shaba aliyewahi kudai kwamba wakati anamfanyia postmortem alitoa risasi 18 kifuani..!?
Kama unashindwa kuamini kauli ya viongozi wako wa kitaifa utamuamini nani tena mkuu? The world is now infested with conspiracy theories all around.
 
Kama Sokoine alikuwa na ulinzi mkali na magari yakimfuata kila anapoenda je Ina maana ni Dr tu ndie aliejuwa kuwa kapigwa risasi kifuani?

Dereva na bodyguards walikuwa wapi na je wapo hai kama yule mhindi alieuziwa meli?

Lazima wapo wengi walioshuhudia kupigwa kwake risasi hata wana vijiji

Hivi hakuna hata picha ya Benz waliopiga hao wajerumani wakati wamekuja kuliona gari lao kwenye archives?
Maswali ni mengi hapa bado najiuliza
 
It’s impossible to believe that Prime Minister Edward Sokoine was died after his Mercedes Benz car crushed..!!! Even if the Mercedes Benz could crush with Scania lorry loaded with 40 tons still couldn’t die..!!!
Hapo kwenye Prime Minister Edward Sokoine toa hilo jina kisha andika Princess Diana. Niliwahi kukutana na statement kama hii katika kitabu changu kuhusiana na mzozo baina ya idara za usalama za Ufaransa (DGSE) na engineers wa kampuni ya Daimler inayounda gari za Mrecedes Benz.

Engineers wa Ujerumani walikuwa wanataka mabaki ya Mercedes Benz S280 aliyopanda Diana na Dodi ila hao DGSE wanagoma ku allow access to the wreckage.
 
Tatizo vilabu vinaruhusu story za aina yoyote. Kwahiyo msimuliaji anasema walimuua kwa risasi 18? Kuna ulazima gani wa kumpiga risasi 18 mtu aliye chini ya ulinzi wako. Hakuna muuaji mpuuzi anayeacha ushahidi mkubwa hivo, risasi 18 hata kuzificha kwa mwili wa marehemu ni vigumu.

Na hizo 18 zote ziko kifuani. Kwamba aliyeshoot alikuwa naye pale pale kisha akatoa zote hizo? Aliyetunga hii kamba itakuwa ana akili chache.
 
Je, nani anasema ukweli kuhusu kifo cha Sokoine.!? Ni Nyerere aliyedai alikufa kwa ajali ya gari, lakini hakutaka kabisa watu wahoji wala kuchunguza ajali hiyo ilikuwaje au tumuamini Dr. Shaba aliyewahi kudai kwamba wakati anamfanyia postmortem alitoa risasi 18 kifuani..!? Nani alisema ukweli na nani alidanganya..!? Je, ukifa kwa ajali ya gari unatolewa risasi kifuani..!? Je, na aliyekufa kwa ajali ya gari kuna haja ya kuwaomba na hata kuwalazimisha watu waamini kwamba ni kweli kilikuwa kifo cha ajali ya gari..!? Je, kifo cha Edward Moringe Sokoine kitaendelea kuwa siri nyeti na tata ya taifa hili hadi lini…!!!!!!!!!!????????
Of course I found 18 bullets in his chest when I was doing postmortem” haya ni maneno yalitamkwa kwenye Bar moja jijini Dar es Salaam na Dr. Shaba (surgeon) daktari bingwa wa maswala ya upasuaji; ikumbukwe Dr. Shaba ndye aliyeufanyia mwili wa Marehemu Edward Sokoine utafiti baada ya kuuwawa kule Dakawa nje kidogo ya mji wa Morogoro.

Mwalimu Nyerere alifanya safari ya ghafla kwenda Msumbiji kwa Rais Samora Machel kuomba ushauri juu ya kasi ya utendaji wa waziri wake mkuu; kasi ambayo ilitishia usalama wa nafasi yake
haya ni maneno ya afisa mmoja mkubwa na msaidizi wa Mwalimu Nyerere aliyenukuliwa na baadhi ya wananchi.
Ndugu zangu watanzania wenzangu kijana wetu, ndugu yetu waziri mkuu Edward Moringe Sokoine amefariki dunia baada ya msafara wake kupata ajali huko Dakawa nje kidogo ya mji wa Morogoro; ndugu zangu watanzania nawaombeni sana muamini kwamba waziri mkuu Edward Sokoine amefariki kwa ajali ya gari
haya ni maneno ya Mwalimu Nyerere aliyowatangazia watanzania kwenye taarifa ya habari ya saa 10.00 kupitia Redio Tanzania tarehe 12 April 1984. “It’s impossible to believe that Prime Minister Edward Sokoine was died after his Mercedes Benz car crushed..!!! Even if the Mercedes Benz could crush with Scania lorry loaded with 40 tons still couldn’t die..!!! We have to send a team of seven experts to Tanzania to investigate on this issue because it may pose threats to our market strategy
haya ni maneno ya uongozi wa juu wa kampuni ya Mercedes Benz ya Ujerumani ambayo inatengeneza magari ya Mercedes Benz malumu kwa ajili ya kubeba viongozi wa dunia nzima, na gari aliyokuwa amepanda waziri mkuu Sokoine wakati kifo chake kinahusishwa na ajali hiyo ilikuwa Benz. Ajali ya Waziri mkuu Marehemu Edward Sokoine ilitokea muda mfupi baada ya Mzee Rashidi Kawawa ambaye alikuwa waziri katika ofisi ya Rais kuuza meli ya wananchi kinyemela kwa Tsh. 60 millioni ya mwaka 1984 ambapo Tsh. 20 zilikuwa ni sawa na US $ 1; ina maana meli hiyo iliuzwa kwa US $ 3 million (Tsh. 6.6 Billion) kwa thamani ya leo. Meli hii aliuziwa tajiri mmoja wa Kihindi kwa jina maarufu Lord Rajpar. Pamoja na kwamba Mwalimu Nyerere na Mzee Kawawa ambao ndiyo wahusika wakuu wa ufisadi huu wa kutisha walishatangulia mbele ya haki, lakini shahidi mkuu na mshitakiwa namba tatu Lord Rajpar bado yupo hai na yupo hapa nchini. Je, waziri katika ofisi ya Rais anaweza kufanya ufisadi mkubwa wa kutisha wa Tsh. 6.6 Billion na Rais asiwe na habari na hata akijuwa bado tu abaki kimya….!!!??? Je, Nyerere na Kawawa waligawanaje pesa ya ufisadi huo…!?
Rashidi naenda Dodoma kulihutubia bunge nakupa siku saba uzirudishe pesa za wananchi Tsh. 60 millioni ulizouza meli ya wananchi; na kama ukishindwa nitakupeleka Redio Tanzania ukawaambie watanzania umezipeleka wapi pesa zao
hayo ni maneno ya mwisho kwa watanzania yaliyotamkwa na Marehemu Sokoine kwa kupitia Redio Tanzania wakati anajiandaa kwenda kulihutubia bunge Dodoma na alipoondoka kwenda Dodoma Mzee Kawawa akakimbilia kijijini kwao huko Liwale na Mwalimu Nyerere akafanya safari ya dharura nchini Mozambique. Waziri mkuu Edward Sokoine alitakiwa arudi kwa ndege kutoka Dodoma, lakini ghafla alipangiwa kwamba arudi na gari kwa vile alipangiwa na Mwalimu Nyerere akague mashamba ya mahindi mkoani Morogoro na wakati anarudi Dar es Salaam msafara wake ukapata ajali ya gari baada ya gari lilikokuwa limembeba kugongana na gari la Toyota Landcruser la mtu mmoja anayetajwa kama Dumisan Dube ambaye wengine wanamtaja kama raia wa Afrika ya Kusini na wengine wanamtaja kama raia wa Mozambique ambaye aliingia nchini muda mfupi kabla ya kifo cha Sokoine kutokea. Inasadikiwa kwamba kwenye mgawo wa ufisadi huo mkubwa wa kutisha enzi hizo Mwalimu Nyerere alichukuwa Tsh. 50 millioni na Mzee Kawawa Tsh. 10 millioni; na hii ndiyo sababu kubwa ambayo Mwalimu Nyerere alikuwa anampenda sana Mzee Kawawa kwa vile hata aliweza kutumwa na Nyerere kufanya jambo baya na la kutisha, lakini bomu likifumuka Nyerere ameshamkana na wala hakuwahi kumtaja Nyerere wala kulalamika, bali siku zote alibeba lawama zote za bosi wake ili aendelee kuwa karibu naye na kutumbua nchi.
Je, kwa mtu mwenye akili timamu anaweza kuamini kwamba waziri mkuu akiwa kwenye msafara anaweza kufa kwa ajali ya gari tena siyo ya gari lake kupinduka, hapana, bali anakufa kwa kuwa gari lake limegongana na gari linguine ambalo halipo katika msafara huo…!!!??? Wote tunajua kwamba msafara wa viongozi wakuu wa kitaifa inakuwa na ulinzi mkali na hata hivyo si rahisi gari kuingilia msafara wa waziri mkuu kwa vile kuna pikipiki na magari mengi yanayotangulia mbele kabla ya gari lake na huku mengine mengi yakiwa nyuma yake pia. Sasa huyo Sokoine amekufaje kwa ajali ya gari..!!!??? Ningeambiwa amekufa kwa vile gari lake lilikuwa kwenye mwendo mkali likaserereka na kupata ajali ningelikubaliana na maneno hayo, lakini tuliambiwa na bado wanaendelea kuambia kwamba Sokoine alikufa kwa kuwa gari yake iligongana na Landcruser ya Dube..!!! “Sitaki uchunguzi wowote wa wataalamu saba wa kampuni ya Mercedes Benz ya Ujerumani; nawataka wachunguzi hao waondoke nchini mwangu mara moja kwa vile nilishawaambia watanzania kwamba Sokoine amekufa kwa ajali ya gari na wameshaamini; sasa wakifanya uchunguzi na wakaja na taarifa tofauti zinazoonyesha kwamba Sokoine hakufa kwa ajali ya gari, bali ameuwawa nitawaambia nini watanzania” haya ni maneno ya Mwalimu Nyerere. Je, mtu aliyekufa kwa ajali ya gari una haja yoyote ya kuwaomba wananchi na ndugu zake waamini kwamba ni kweli amekufa kwa ajali ya gari..!? Kama kweli alikufa kwa ajali ya gari ni kwanini Mwalimu Nyerere alikataa timu ya Wajerumani wa Mercedes Benz wasifanye uchunguzi wao…!?
Kwanini kifo cha kutatanisha cha Marehemu Edward Sokoine kitokee mara tu baada ya waziri na swahiba wa karibu wa Mwalimu Nyerere Mzee Kawawa alipouza meli ya serikali kwa kiasi cha Tsh. 6.6 Billion na hata Sokoine alipomjulisha Mwalimu Nyerere kuhusu hilo hakupata ushirikiano wowote zaidi ya kujengewa chuki na ratiba ya msafara wake ikabadilishwa kwa kuambiwa kwamba asirudi kwa ndege, bali arudi kwa gari ili akague mahindi mkoani Morogoro na hapo hapo ndipo akauwawa na ajali ya gari…!!!! Ikumbukwe kwamba wakati anaondoka kwenda Dodoma Marehemu Sokoine alisema maneo ya mwisho yafuatayo “Nikimaliza kuwatumbua majipu mawaziri wangu, basi napanda juu nikamtumbue majipu Mwalimu Nyerere kwa vile anaonekana siyo msafi” maneno haya ya Marehemu Sokoine yalimtisha sana na kumuweka katika wakati mgumu Mwalimu Nyerere na alikuwa hana jinsi yoyote zaidi ya kwenda kuomba ushauri kwa rafiki yake Samora Machel wa Mozambique.
Kulingana na ukweli huu ndiyo maana nawachukia wale wote wanamtaja Mwalimu Nyerere kwa uadilifu. Ufisadi wa kuuza meli ya taifa uliofanywa na Mzee Kawawa ulipata Baraka zote za Mwalimu Nyerere na hata pesa iliyopatikana waligawana na ndiyo maana hata Marehemu Sokoine alipokuwa anamkemea na kumbana Mzee Kawawa Mwalimu Nyerere alikuwa anambeza na ni kipindi hiki ambacho Mwalimu Nyerere alimuona Sokoine kwamba ni mtu hatari katika serikali yake. Sitaki kuzungumzia ufisadi wa Mwalimu Nyerere wa mali nyingi alizojilimbikizia nchi za nje, ila kama Rais Magufuli anakusudia kwa dhati kupambana na ufisadi kwa dhati kwa ajili ya kulikomboa taifa hili, basi anatakiwa aunde tume huru ili imchunguze Mwalimu Nyerere na mfumo wake wote wa utawala; tume hiyo ikiundwa, basi tutataji hadharani wapi Mwalimu Nyerere amezificha mali zake zote ili watanzania wote waweze kufunguka.
Nihitimishe makala hii kwa kusema kwamba hakuna binadamu mwadilifu mpaka athibitishe kwa vitendo. Edward Sokoine alikuwa mwadilifu na msafi kama malaika wa mbinguni na ndiyo maana Mwalimu Nyerere na mafisadi wenzake hawakumpenda na waliona wamsingizie kifo cha ajali ya gari ili watanzania waendelee kuwa watumwa wa mfumo wake wa kidhalimu. Aliyekufa kwa ajali ya gari hubembelezwi uamini, bali unaona wewe mwenyewe. Aliyekufa kwa ajali ya gari wasioamini hawazuiwi kuchunguza kifo chake. Aliyekufa kwa ajali ya gari hawezi kutolewa risasi 18 kifuani mwake. Ukiyatafakari yote haya unakuta kwamba kifo cha Edward Sokoine kinaendelea kuwa siri nyeti na tata ya taifa hili licha ya kwamba Rais Magufuli anaimba nyimbo za mabadiliko ya kinafiki…!!!!!!!!!!!

©Dr. Noordin Jella

Mada hii imejaa upotoshaji wa hali duni kabisa wenye kufanana na zile simulizi pendwa zilizo zoeleka za bwana Deo tu 😂😂😂😂!

Mkuu, Nyerere utakuwa wewe unamsikia au labda hata kumfananisha fananisha tu?

Kwani yahitaji hata jitihada sana kukufahamisha kuwa bwana Nyerere alikuwa jembe?

Upotoshaji wa wazi kwenye mada yako umejaa kila mahali. Hebu labda angalia tena maeneo haya:

1. “Of course I found 18 bullets in his chest when I was doing postmortem” haya ni maneno yalitamkwa kwenye Bar moja jijini Dar es Salaam na Dr. Shaba (surgeon).

Tumwamini mlevi fulani tu anayeongelea bar kwenye mambo nyeti kama haya?

Itakuwa je basi pale mlevi mwingine atakapo kuja na hadithi zenye kumtambua baba yake binadamu fulani kuwa kumbe ni mnyama punda mbeba mizigo mahali?

2. “Rashidi naenda Dodoma kulihutubia bunge nakupa siku saba uzirudishe pesa za wananchi Tsh. 60 millioni ulizouza meli ya wananchi; na kama ukishindwa nitakupeleka Redio Tanzania ukawaambie watanzania umezipeleka wapi pesa zao

Haya ni maneno mageni kabisa kumhusu marehemu Sokoine. Aliyasemea wapi haya na akiwapo nani?

Ama kweli "the dead stay dumb." Ila si haba kuona aibu kumwekea marehemu maneno mdomoni mwake.

Si kuwa maneno thabiti yaliyozoeleka ya marehemu Sokoine ya kutoa siku 7 ili kupata maelezo stahiki, hapa yametiwa chumvi ili ku inogesha mada yako hii isiyokuwa hata na aya?

3. “Nikimaliza kuwatumbua majipu mawaziri wangu, basi napanda juu nikamtumbue majipu Mwalimu Nyerere kwa vile anaonekana siyo msafi

Maneno mengine mapya ya Sokoine. Sokoine alikuwa ni mteuliwa tu wa Nyerere. Nyerere aliweza kumtumbua huyu kwa neno moja tu. Sokoine apate wapi ujasiri huo wa hata kuthubutu kudhani kumtumbua Nyerere?

Ikumbukwe pia hata neno "kutumbua" halikuwahi kutumika kwenye tenguzi popote kabla ya awamu ya 5.

4. Nk ,nk.

Mkuu bila ya kuwasilisha rejea za msingi zenye ushahidi wa wazi kuhusiana na tuhuma zako, nisiache kukufahamisha kuwa ulichoandika kitabaki kuwa ni utopolo mwingine tu tena wa kiwango cha chini kabisa 😂😂😂😂😂.

Hiiiiii bagosha!
 
Mada hii imejaa upotoshaji wa hali duni kabisa wenye kufanana na zile pendwa zilizo zipeleka za bwana Deo tu 😂😂😂😂!

Mkuu, Nyerere utakuwa wewe unamsikia au labda hata kumfananisha fananisha tu?

Kwani yahitaji hata jitihada sana kukufahamisha kuwa yule bwana alikuwa jembe?

Upotoshaji wa wazi kwenye mada yako umejaa kila mahali. Hebu labda angalia tena maeneo haya:

1. “Of course I found 18 bullets in his chest when I was doing postmortem” haya ni maneno yalitamkwa kwenye Bar moja jijini Dar es Salaam na Dr. Shaba (surgeon).

Tumwamini mlevi fulani tu anayeongelea bar kwenye mambo nyeti kama haya?

Itakuwa je basi pale mlevi mwingine atakapo kuja na hadithi zenye kumtambua baba yake binadamu fulani kumbe ni mnyama punda mbeba mizigo mahali?

2. “Rashidi naenda Dodoma kulihutubia bunge nakupa siku saba uzirudishe pesa za wananchi Tsh. 60 millioni ulizouza meli ya wananchi; na kama ukishindwa nitakupeleka Redio Tanzania ukawaambie watanzania umezipeleka wapi pesa zao

Haya ni maneno mageni kabisa kumhusu marehemu Sokoine. Aliyesemea wapi haya na akiwapo nani, hayati Sokoine?

Ama kweli "the dead stay dumb." Ila si haba kuona aibu kumwekea marehemu maneno mdomoni mwake.

Si kuwa maneno thabiti yaliyozoeleka ya marehemu Sokoine ya kutoa siku 7 ili kupata maelezo stahiki, hapa yametiwa chumvi ili ku inogesha mada yako?

3. “Nikimaliza kuwatumbua majipu mawaziri wangu, basi napanda juu nikamtumbue majipu Mwalimu Nyerere kwa vile anaonekana siyo msafi

Maneno mengine mapya ya Sokoine. Sokoine alikuwa ni mteuliwa tu wa Nyerere. Nyerere aliweza kumtumbua huyu kwa neno moja tu, Sokoine apate wapi ujasiri huo wa hata kuthubutu kudhani kumtumbua Nyerere?

Ikumbukwe pia neno "kutumbua" halikuwahi kutumika kwenye tenguzi popote kabla ya awamu ya 5.

4. Nk ,nk.

Mkuu bila ya kuwasilisha rejea za msingi zenye ushahidi wa wazi kuhusiana na tuhuma zako, nisiache kukufahamisha kuwa ulichoandika kitabaki kuwa ni utopolo mwingine tu tena wa kiwango cha chini kabisa 😂😂😂😂😂.

Hiiiiii bagosha!
"Dead men tells no tale"
 
Back
Top Bottom