Ilikuwa Februari, 6, 1958, Timu ya Manchester United ilikuwa ikitokea Belgrade, kucheza na timu ya Red Star. Manchester ilikuwa chini ya Kocha Matt Busby; wachezaji wake walijulikana kama "Busby Babes".
Sare ya 3-3 waliyoipata kwenye mchezo huo iliifanya Manchester United kutinga nusu fainali...