Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 573
- 2,553
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema uchunguzi wa kamati aliyoiunda umebaini moto uliotokea eneo la Mnadani, Kariakoo jijini Dar es Salaam sio ajali bali ni hujuma ndani ya wafanyabiashara wenyewe.
Baadhi ya kamera za CCTV zimebainisha haya ambapo wafanyabiashara wa awali walisema sababu ya moto huo ulikuwa ni jenereta, lakini uchunguzi umebaini jenereta likukuwa zima, halikuungua na halikuwa chanzo cha moto huo.
Tukio hili liliokea Oktoba 1, 2023.
Pia soma: Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi