Basi la Alfa lililopata ajali Nzega lilibeba abiria 78. Je, kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,829
21,460
Mimi sio mwenyeji sana wamabasi ya abiria.

Ninaomba kuuliza! Je kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78?

Je, basi hilo lilitokea mwanza je lilikaguliwa popote na polisi njiani?

Je, orodha ya waliofariki majina yao yako wapi?

Je, majina ya majeruhi 60 yako wapi?

RPC Tabora, OCD Nzega na mkuu wa wilaya ya Nzega bado wako ofisini na ni watumishi wa UMMA?
 
 
Mimi sio mwenyeji sana wamabasi ya abiria.

Ninaomba kuuliza! Je kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78 ?

Je basi hilo lilitokea mwanza je lilikaguliwa popote na polisi njiani ?

Je orodha ya waliofariki majina yao yako wapi?

Je majina ya majeruhi 60 yako wapi?

RPC tabora, OCD nzega na mkuu wa wilaya ya nzega bado wako ofisini na ni watumishi wa Zumma?
Nchi inateswa na rushwa rushwa
 
Mimi sio mwenyeji sana wamabasi ya abiria.

Ninaomba kuuliza! Je kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78 ?
Leo nimemsikia mkuu wa mkoa wa Tabora akisema maiti watano hawaja tambuliwa.

Hii ni aibu! Bus lilitokaje stand bila manifest?

Askari wa usalama barabarani wako kwa ajili ya rushwa tuu.
Bado hadi leo askari walii kuwa zamu wana enjoy tu.
 
Kinachojitokeza na kuonekana barabarani kwa mikoa ya Kagera, Simiyu, Mara, Mwanza, Shinyanga na Tabora hakuna serikali bsrabarani, hivyo kila abiria alinde maisha yake!
 
Mimi sio mwenyeji sana wamabasi ya abiria.

Ninaomba kuuliza! Je kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78 ?

Je basi hilo lilitokea mwanza je lilikaguliwa popote na polisi njiani ?

Je orodha ya waliofariki majina yao yako wapi?

Je majina ya majeruhi 60 yako wapi?

RPC tabora, OCD nzega na mkuu wa wilaya ya nzega bado wako ofisini na ni watumishi wa UMMA?

Kwani Lori halikuwa na watu? Kulikoni mahesabu yako kuwaweka wote kwenye bus?

Vipi wapiga debe ambao huonekana kuondoka na gari likiondoka kwa umbali fulani?

Idadi yako inazingatia watoto wa kubebwa mikononi na hata wafanyakazi kwenye bus kama abiria?

Nadhani ungejikita kwenye kuomba orodha zaidi, badala ya kukimbilia kwenye hukumu.

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Overloading je kwenye hizi Mizani za TANROADS wanavukaje au ni ile falsafa iliyomshinda Maza ya R for RUSHWA?

Sababu kubwa ya ajali za Barabarani ni pamoja na Overloading.
 
Suala la overloading ni kuwaonea tu Polisi,shida ni abiria wenyewe!

Kwa nini upande gari lililojaa nyakati hizi ambazo usafiri siyo tatizo?

Unakubalije kufaulishwa ili kukwepa mizani na vituo vya ukaguzi vya polisi?
 
Mara oooh! Trafiki wamekuwa wengi sana wapunguzwe lakini ikitokea ajali mara oooh! Kwani trafiki walikuwa wapi mpaka inatokea? Kuwaelewa BAVICHA bila akili za kulalia kazi sana.
 
Back
Top Bottom